Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,532
- 13,258
Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.
Badala ya kuhangaika na mifumo ya gesi kwenye magari tupambanie magari ya umeme. Tujenge charging stations mijini na kwenye highway zetu. Tuanze Dar-Dom na Dar- Arusha kujenga charging stations. Tuwekeze kwenye uchimbaji wa lithium, graphite nk, hata tusipotengeneza betri lakini tutakuwa na kasauti kwenye dunia ya magari ya umeme. Twende na wakati.