Tundu moja style kibao

Tundu moja style kibao

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,898
Reaction score
828,498
Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo
Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote ni ili upate nini wakati shimo ni lile lile moja?

Mchezo huu wa gofu huwa unanifikirisha na kunishangaza sana! Je wewe hujawahi kushangazwa?😂
3de47837-577a-4fa3-97cb-d2f72bfc8743.jpeg
 
Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo
Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote ni ili upate nini wakati shimo ni lile lile moja?

Mchezo huu wa gofu huwa unanifikirisha na kunishangaza sana! Je wewe hujawahi kushangazwa?😂View attachment 3537552
Hadi mshana kaanza uchokozi, basi tupeni tu katiba mpya aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom