Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake
Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya kusoma madai ya Mh Tundu Lissu kuhusu matibabu yake aliposhambuliwa hayajalipwa Hadi Leo.
Kwa kuwa pesa anazodai Mh Tundu Lissu Si Mali binafsi ya kiongozi yeyote serikalini Bali ni pesa itokanayo na Kodi za wananchi na Iko kisheria kwamba matibabu ya mbunge hugharamiwa na Serikali chini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1. Swali LANGU Kwa Mh Lissu, anadai kiasi gani?
2. Swali Kwa Serikali, Kwanini TUNDU Lissu hajalipwa pesa zake za matibabu Hadi sasa?
Karibuni🙏