wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,939
Kuwahi mahakamani sio kushinda kesi!Upande mmoja wa mkataba ukivunja masharti, ni nini kinatakiwa kifanyike? Unadhani hizo International Courts ziliwekwa kwanini?
Kuwahi mahakamani sio kushinda kesi!Upande mmoja wa mkataba ukivunja masharti, ni nini kinatakiwa kifanyike? Unadhani hizo International Courts ziliwekwa kwanini?
Tuko mahakamani hapa,tunamsubiri GM wa acacia aje na lisu!daah kumbe mpo.....sawa sawa kabisa
Mkuu kutaka watu radhi ni utashi tu wa mtu....kuna watu waliita wenzao mafisadi papa,lakini leo hii wanagonga nao mvinyo na hawajawataka radhi!ndugu tukana tu lakni hifadh maneno yako... sku mambo yakiwa tofaut uwe tayar kuja tena hapa ututake radhi
Ushauri wangu ni Acacia wamtumie Lisu mahakamani,maana alishaona upepo wa kupiga pesa hapo!Wewe mikataba unayo??? Je kuna kipengele kinasema mwekezaji ndo adeclare kiasi!. Wajibu wa TZ kwny kuhakikisha vipengele vya mkataba vinafuatwa upo wapi? Wakikuulza km ni uongo mbona TMAA walibandika stika na kuidhinishwa. Waongo ni TMAA co hao!.
Km huo ushauri wa Lissu sio!...Je ushauri wako upi???? Yy ameeleza akatoa na ushauri wake ww umekosoa pekee bila kutoa ushauri wako!! Toa na wewe co kukosoa pekee....
Hoja hapa ni kanuni , ambazo mawaziri wote walizizingatia nazo ni kudeckare nn unaexport ndo nawe unapwewa export permin , sasa utadeckare vitu ambavyo test analysis haijaonesha?kilichokuwa kinafanyiwa ni hicho tukilipa mrahabaWewe ulikuwa unadeclare amount sahihi!?
kabla ya mikatba ya madin kusainiwa na kupitishwa bungen wapinzani walionesha waz kutordhika na kupaza saut wakapuuzwa sasa huu ushaur wa Lisu angeutoa mwanzon unfikir angeeleweka?? hata sahv hmtamuelewa baada ya matokeo ya alichokisema mtaanza kutafta pa kujishikilia
Kama kweli ulikuwa unadeclare kiwango sahihi basi inaelekea we ni mgeni ktk biashara au ni Mlokole!Hoja hapa ni kanuni , ambazo mawaziri wote walizizingatia nazo ni kudeckare nn unaexport ndo nawe unapwewa export permin , sasa utadeckare vitu ambavyo test analysis haijaonesha?kilichokuwa kinafanyiwa ni hicho tukilipa mrahaba
Hakika kama TMAA walihongwa ni sahihi kabisa kwa serikali kuchukua hatua. Swali ni, hatua zipi na zinachukuliwaje? Tahadhari kwamba hatua hizi zisiache mwanya wa kupigwa zaidi. Unafumania halafu unapigwa, inauma sana.Unataka kusema kuwa km TMAA walihongwa then the gvmnt haipaswi kuchukua hatua?
mmmh, hata bashite think tank wa chama hana akili hii kweli!Hii akili huwezi kuipata huko CCM.
Lisu anapaswa kuwa real patriot kwa kuonyesha way forward kwa hapa tulipofikia na sio kujifanya mamlaka ya hali ya hewa kwa kubashiri yajayo!
Ngoja nikuitiea wenyewe, wewe mbishi. Lizaboni &Co. Ltd, mwingine huyu anamsena vibaya Mwalimu!Kuwa na nia njema ni jambo moja ila njia ya kufikia malengo ya nia njema ni muhimu sana.
Hakuna uwezekano katika maisha kutumia mbinu mbaya kufanikia jambo jema. Hivi mtu akivunja benki na kuiba pesa kwa nia ya kuwasomesha watoto yatima na kuwatibisha wagonjwa atafungwa?
Bashite alikuwa na nia njema ya kupambana na madawa ya kulevya ili alitumia njia mbaya ya kuvunja sheria kwa hiyo hakufaulu. JPM ametumia pia njia mbaya, angefuata sheria kufuta mikataba iliyosainiwa na serikali ya ccm angefanikiwa lengo lake zuri alilonalo.
Hahaha mkuu mbona unatutisha mwenye haki ana haki ya kusema pakinyamazwa kimya uongo hugeuka kuwa ukweli kama kama Bashite amekosea hamna namna ni kiambiwa tu asije sema hakuambiwaNgoja nikuitiea wenyewe, wewe mbishi. Lizaboni &Co. Ltd, mwingine huyu anamsena vibaya Mwalimu!
Hawawez kutia kwato hapa jombaaHaya haya haya... Commenting Machinery mnaitwa huku...
MOTOCHINI
Troll JF
Barbarosa
Simiyu Yetu
jingalao
cocochanel
Mudawote