Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Yani mnunua Malaya Wa Corner bar na ambiance pale sinza Leo anapata wapi uthubutu Wa kumkosoa MTU Mwenye uwezo uliotukuka kama tundu lisu ....

Jery usitake tuweke picha zako za utupu ukizopigwa na Malaya mmoja Wa Sinza ... Kama wewe ni kidume endelea kutukwaza na njaa njaa zako .... Tunakujua in/out .... Na mambo yako yote unayofanya pale kwa yule shoe shiner usidhani hatujui

Acha cheap publicity , Fanya kazi.

Sent From My Nokia Ya Tochi
Amewakamata pabaya poleni sana mnaoshadadia kila upuuzi anaoufanya mungu mtu wenu lisu. Hivi lissu yeye huwa hakosei au kwasababu ni msomi kuliko chadema wote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni hoja inayopinga post zaidi ya madhambulizi ya kishabiki. Post nzuri leteni hoja zenye mashiko. Sisi tupo kwa kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuona hoja katikati ya Hit&hitbacks! Kama hujaona motive ya maneno yaliyotumiwa na huyo muro kama vile 'akili ndogo',mfalme****'nk basi wewe na muro akili yenu moja! Hujui hata kuwa Lissu amewasilisha tu maamuzi ya TLS! Kama Lissu angekuwa amewawekea TLS maneno mdomoni basi wa kwanza kupinga presentation ile wangekuwa ni TLS wenyewe na si kanjanja kama muro!naamini kuwa TLS ni smart kuliko wewe na muro! Muro anafanya personal attack kwa lissu,mukijibiwa accordingly munalalamika eti tujadili hoja!Pathetic!
 
Mmeshaanza mgomo au mmeahirisha na Leo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro ndio yule alikamatwaga kwa kula rushwa ya 10mil. au ni mwingine? Na ambaye alikuwa msemaji wa Yanga akafukuzwa!!?
mkuu jielekeze kwenye issues zilizotolewa siyo personality ya mtu kwani hata lissu tulishawahi kuambiwa aliugua ugonjwa wa...(network ilikata) lakini leo hii akiongea kwenye public hakuna anaejiulizaga kama anakuaga timamu au inakua imekata tena.
 
Hapa ishu iko hivo, kwa wale wazee wa ufipa (chadema) hawatakuja na arguments yenye mashiko unless they will attack muro's personality! Hii ni kuonesha hawajakomaa kisiasa na wanamsujudia huyo lissu kama ndio msomi wa kwanza kutokea ndani ya CDM..that a big shame

Sent using Jamii Forums mobile

app
We Lissu ndiye Tls? Huyo mwehu wenu anapomwita lissu Akili ndogo hakuiona personality ya mtu hapo? Hilo andiko la muro ni Null and void kwa kuwa limeelekezwa upande usio sahihi,bila kujali usahihi wa hoja yake! Huyo anagombana na spika ya redio kwa kuwa imetangaza asichokipenda yeye!
 
Tundu Lissu, TUNDUNI
Na Jerry C. Muro

Nianze kwa Kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA advocates, Bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS Chama Chenu 'MAHIRI' cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza Rasmi Safari ya Kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari kuhusiana na Tukio la IMMA advocates.
Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na "AKILI NDOGO" za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.

Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme "****" na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.

KWANINI BATILI
1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF [HASHTAG]#teammaalim[/HASHTAG], ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.

2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo "WATUHUMIWA" Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na "MTUHUMIWA" boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais "WENU "alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa" ANAMFUATILIA FUATILIA "sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na" MTESI " wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema" mwizi" alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.

3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya? Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na "WATESI "wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.

4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au? Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi "WEZI" mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.

MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.

1. Hivi Mbona walipouwawa *WANASHERIA* na *MAWAKILI* nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha *HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO,* au mmesahau Vifo vya *"UTATA"* vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA*, Leo hao wazee wamekuwa *"LIABILITY"* kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa *"ASSET"*kwenu?

2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?

3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?

4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?

5. Katika Sheria kuna neno linaitwa *"INNUENDO"*hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?

6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao.

Sasa Sikilizeni, *AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.LEO TUNDU, TUNDUNI.*

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*28/08 /2017*
Tumbo ndio tatizo la Jerry na katiba isipobadilika tutakuwa na shida sana kila mtu anahitaji mfalme amuone ktk ufalme wake,tuzidi kuwaombea
 
Huyu jamaa nakumbuka aliwahi sema kuwa ipo siku atagombea ubunge,naona safari imeanza,ila swali ni kuwa kama alishindwa kuwa msemaji wa Yanga akapata zero kabisa na kutimuliwa,je atawezaje kuwasemea mawakili
 
...hivi ni nani alikua anamtetea jerry Muro kwenye ile kesi yake ya rushwa ya mil.10???....kama ni wakili alimtetea leo anawezaje kupinga tamko la TLS???....yeye kama mwandishi wa habari Ana weledi gani kupinga tamko la mwanasheria??.....tunapoambiwa hii nchi imejaa mabashite tusishae...
Kwahiyo mkuu wewe unaona sahihi mawakili wagome?? Wakigoma wanaoumia ni nani?? Ni hao polisi?? Hivi Kwani jeshi la polisi limeshasema bado linafanya upelelezi je Kwanini wasingesubiri matokeo ya upelelezi ndo wagome??? Hivi kuna watu wapo magereza na wengine wapo nje Kwa dhamana na wamewalipa fedha nyingi sana hawa mawakili ili wawatetee, huoni wataumia sana??? Halafu kweli kwann mwenyekit wa TLS na hiyo bodies yake hawakuamua mgomo uwe j3?? Mbna yeye hataki kesi yake icheleweshwe?? Huzani kwamba mgomo haukutakiwa Jana Kwa ajili mwenyekiti alkua na kesi mahakamani?? Mwisho kabisa kufatana na hizi kiki cheap zinazoendelea je ikibainika hao IMMA wamejilipua wenyewe itakua je??? Mawakili msidhalilishe taaluma yenu, MGOMO hauna mantiki kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I saw this coming.

Hao wanasheria wenyewe vilaza watupu,they can't even question kwa nini wasigome J3 bali iwe J4 na J5.

Yaani kwa kuwa rais wao kesi yake inasikilizwa J3 basi akafanya mgomo uwe J4 na J5.
 
Jery atakiwa ajue,sheria ni kazi kama kazi haijalishi unayemtetea unakubaliana na alichofanya.Kumtetea mtu mahakamani ninkutaka haki ionekanebikitendeka haina uhusiano na maoni binafsi ya mwanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....mgomo hauwezi kuwa Na mantiki kama haukuhusu....kwa unaowahusu Una mantiki....Lissu kuongea kama mwenyekiti wa TLS Na si yeye binafsi...Na mawakili hawakulazimishwa wagome bali ni utashi wao utawafanya wafanye maamuzi..ni suala lile lile la mantiki/lojiki.....rudia andiko la lissu ...soma uelewe...pia tumia lojiki...kama kweli unayo....

Kwahiyo mkuu wewe unaona sahihi mawakili wagome?? Wakigoma wanaoumia ni nani?? Ni hao polisi?? Hivi Kwani jeshi la polisi limeshasema bado linafanya upelelezi je Kwanini wasingesubiri matokeo ya upelelezi ndo wagome??? Hivi kuna watu wapo magereza na wengine wapo nje Kwa dhamana na wamewalipa fedha nyingi sana hawa mawakili ili wawatetee, huoni wataumia sana??? Halafu kweli kwann mwenyekit wa TLS na hiyo bodies yake hawakuamua mgomo uwe j3?? Mbna yeye hataki kesi yake icheleweshwe?? Huzani kwamba mgomo haukutakiwa Jana Kwa ajili mwenyekiti alkua na kesi mahakamani?? Mwisho kabisa kufatana na hizi kiki cheap zinazoendelea je ikibainika hao IMMA wamejilipua wenyewe itakua je??? Mawakili msidhalilishe taaluma yenu, MGOMO hauna mantiki kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nyani haoni kudule TL alisema hata pale bungeni na kumwambia dhahiri mwenyekiti wa kikao Zungu,''mimi siongei na hao wanaoshangilia"lugha ya dharau kwa wabunge wa ccm hadi Zungu akamtahadharisha atumie lugha zenye staha hii yote ni kwa watu kama huyu MURO kwa akili ipi ya kum challenge Lisu?
 
Back
Top Bottom