Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Tundu Lissu, tunduni - na Jerry C. Muro

Hiki ni kipindi ambacho kila anayeandika kuhusu jambo ana agenda ya siri.
Tumeweka pembeni weledi, ukweli na athari ya kile tunachokiandika.
Sio wakati wa kuchagua upande.
 
Tundu Lissu, TUNDUNI
Na Jerry C. Muro

Nianze kwa Kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA advocates, Bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS Chama Chenu 'MAHIRI' cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza Rasmi Safari ya Kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari kuhusiana na Tukio la IMMA advocates.
Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na "AKILI NDOGO" za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.

Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme "****" na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.

KWANINI BATILI
1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF [HASHTAG]#teammaalim[/HASHTAG], ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.

2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo "WATUHUMIWA" Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na "MTUHUMIWA" boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais "WENU "alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa" ANAMFUATILIA FUATILIA "sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na" MTESI " wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema" mwizi" alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.

3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya? Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na "WATESI "wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.

4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au? Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi "WEZI" mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.

MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.

1. Hivi Mbona walipouwawa *WANASHERIA* na *MAWAKILI* nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha *HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO,* au mmesahau Vifo vya *"UTATA"* vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA*, Leo hao wazee wamekuwa *"LIABILITY"* kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa *"ASSET"*kwenu?

2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?

3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?

4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?

5. Katika Sheria kuna neno linaitwa *"INNUENDO"*hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?

6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao.

Sasa Sikilizeni, *AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.LEO TUNDU, TUNDUNI.*

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*28/08 /2017*
Wewe si ndio ulifungiwa kuwa msemaji wa timu ya yanga maana waliona umlopokaji huna staha hata hapo umeropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry is an opportunist na kama kawaida yake hajachoka kujichomeka sehemu anayofikiri itamkung'uta vumbi mavazi yake machafu! Kumsema Lissu na TLS kuwa inaongozwa kisiasa kisa Lissu ni mwanasiasa ni kutokuona jambo kwa jicho fikirishi na kuishia kugeneralize kirejareja tu.
Nimuulize, Lissu alichaguliwa na cdm kuiongoza tls?
Waliomchagua tena akikabiliwa na vikwazo vingi wanaujua na kuuhitaji uongozi wake.
Hizi fallacy generalisity zako hazitawaokoa wahusika wa kutumia mabomu kunyamazisha wasema ukweli na usisahau hata hao maboss wa vyombo vya usalama walikuwepo humo wakati wa tuhuma za epa na nyinginezo zilizowahi kutokea na hawakuchukua hatua hadi leo!
Jerry you're the grave digger eeh! Bado pako ni pakavu na mchuzi umekuishia! Rudi road na pingu zako ukakione cha mtenakuni safari hii.
 
Tundu Lissu, TUNDUNI
Na Jerry C. Muro

Nianze kwa Kutoa pole kwa jumuiya nzima ya wanasheria nchini, pole yangu sio ya tukio la IMMA advocates, Bali pole yangu ni ya kuchagua Rais wa TLS Chama Chenu 'MAHIRI' cha wanasheria Tanganyika - TLS Ndugu Tundu Lissu ambae AMEDHIHIRISHA kuwa ameanza Rasmi Safari ya Kuizika TLS, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari kuhusiana na Tukio la IMMA advocates.
Nianze kwa kuweka msingi wa HOJA yangu kuwa sifurahishwi na kilichotokea kwenye IMMA advocates, ila pia SIFURAHISHWI zaidi na "AKILI NDOGO" za Rais wenu katika hatua za AWALI za kushughulikia suala hili.

Mimi ni Profesional communicator kama mwandishi wa Habari, na Nyinyi wanasheria ni Profesional kwenye Sheria, ukisoma na Kusikiliza kwa umakini TAARIFA ya Mhe Rais wa TLS utagundua makosa makubwa sana ya KIUFUNDI ambayo yanaifanya taarifa nzima kuwa kama taarifa ya Mfalme "****" na kwa sisi MAFUNDI wa taarifa tunasema taarifa ikikosewa katika UANDAAJI na UWASILISHWAJI inakuwa imekosa MASHIKO, na hivyo taarifa nzima kuwa BATILI.

KWANINI BATILI
1. Taarifa iliyowasilishwa na Rais wa TLS tayari kwa kiasi kikubwaa ilishatolewa na Chama cha wananchi CUF [HASHTAG]#teammaalim[/HASHTAG], ukisoma taarifa ya cuf ambayo ilitoka siku moja kabla ya hii ya Rais utaona nachosema, ila hii ya Rais imewaka mbwembwe ya Vifungu Vifungu vingi vya SHERIA tu, ila taarifa zote zimeonyesha kuwa IMMA advocate ni WABIA katika kazi mana cuf inatetewa na IMMA advocate na Rais Lissu anatetewa na IMMA advocate hivyo wote WANAOMBELEZA DHORUBA YA MMBIA WAO., japo TLS ni Chama na Lissu ni Rais, na ni mteja wa IMMA katika hoja hii ya kwanza nimalizie kwa kusema tu Hoi taarifa ni BATILI kwa kuwa Imekuwa taarifa ya KISIASA na Imetolewa na wanasiasa wa vyama viwili tofauti, japo Mmoja ni Rais wa TLS, hapa utaona sasa Hatari ya kuwa na Rais wa TLS ambae ni mwanasiasa.

2. Taarifa ni BATILI kwa kuwa imeanza kwanza kwa KUHUKUMU kuwa Ofisi za IMMA advocate zimepigwa BOMU na POLISI, japo hizi ni taarifa za AWALI lakini kwa maoni yangu TAARIFA haikupaswa kujielekeza kwenye kazi za mamlaka nyingine, mana kama mmeshajua waliolipua ni POLISI basi hamkuitaji kutoa taarifa Bali kufuata SHERIA kuwashtaki POLISI.
Katika hoja hii MWENDELEZO wake inasema wanavitaka vyombo husika wakiwemo "WATUHUMIWA" Polisi kufanya uchunguzi, mbele zaidi tena wanataka kukutana na "MTUHUMIWA" boss wao IGP, hivi hii ni SAWA WANASHERIA, mnataka kukutana kufanya nini tena na IGP au mkurugenzi wa usalama wa taifa ambae majuzi juzi hapa wakati wa Sakata la Bombadier Rais "WENU "alishema kuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa" ANAMFUATILIA FUATILIA "sasa iweje Leo aombe mwenyewe kukutana na" MTESI " wake, NDIO MANA NASEMA HAPA KUNA TATIZO YA HIKI CHAMA KUONGOZWA NA MWANASIASA, labda niwakumbushe tu hawa wanasiasa enzi ya Lowassa Walisema" mwizi" alipokwenda kwao wakamuita mfalme wa AMANI hawa ndio wana SIASA.

3. Taarifa ni BATILI, kwa sababu taarifa inataka WANASHERIA kugoma jumanne na jumatano, huu ni MGOMO ambao katika taarifa yao wanaomba ufanywe UCHUNGUZI, lakini pia kwenye taarifa yao wanaomba kuonana na kaimu Jaji Mkuu ambae mmekuja kusema tena hapo Chini ASUSIWE hamtaki kwenda kwenye mahakama anazoziongoza, JAMANI mnajua mnachofanya? Hii ni sawa na KUJITEKENYA MWENYEWE KISHA UKACHEKA MWENYEWE. nadhani Wasomi wana Sheria tukubaliane katika jambo moja MGOMO au KUONANA na "WATESI "wenu huwezi kushika mambo mawili kwa wakati Mmoja lazima MOJA litaponyoka.

4. Hii taarifa ni BATILI, kwa sababu imemtangaza MGOMO pasipo kusema ADUI ni Nani, hivi Hebu tuambieni mnagoma mkilenga KUMUUMIZA Nani? Kuwaumiza wateja wenu walioko MAGEREZANI au? Hivi nyinyi hii kazi ya UANASHERIA ni ya kujitolea katika kazi zenu zote? Hivi hakuna pesa mmechukua za wateja wenu ambazo mnapaswa kuzifanyia kazi, au TUSEME na nyinyi "WEZI" mnachukua hela za wateja wenu kisha mnagoma?
Hebu mtuambie Nani ADUI YENU basi.

MASWALI MAGUMU ZAIDI TLS.

1. Hivi Mbona walipouwawa *WANASHERIA* na *MAWAKILI* nguli nchini, tena waliowasomesha na kuwafundisha *HAMKUGOMA KUSHINIKIZA HAKI ITENDEKE KAMA HIVI LEO,* au mmesahau Vifo vya *"UTATA"* vya Mawakili Marehemu Kapinga, Marehemu Mvungi, Marehemu Mwaikusa? Kwa kuwa mnasahau ngoja tuwakumbushe tu *HAKUNA NAMNA*, Leo hao wazee wamekuwa *"LIABILITY"* kwenu halafu cuf, Lissu, acaccia zimekuwa *"ASSET"*kwenu?

2. Hivi tangu lini mmeanza kushirikiana press releases na vyama vya siasa mfano cuf?

3. Hivi TLS kimekuwa Chama cha Siasa, au kwakuwa Rais wenu ni mwanasiasa?

4. Mnawezaje kuitenganisha TLS na siasa?

5. Katika Sheria kuna neno linaitwa *"INNUENDO"*hivi mnajua maana ya hilo neno katika Sakata hili la IMMA advocate?

6. Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

7. Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao.

Sasa Sikilizeni, *AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.LEO TUNDU, TUNDUNI.*

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*28/08 /2017*
Umenikumbusha kamanda Kova na zile pingu alizokubamba nazo pale City garden!
 
Huyu ni raia pekee aliyekamatwa akimiliki pingu na kuachiwa huru , ni nyoka lakini wa bei rahisi sana .

Hata wewe una comment kwenye uzi unaohitaji akili? Ama kweli demokrasia nzuri, mwezi mchanga ana hadhi sawa na profesa mahiri aliyebobea katika tiba, eti wote wapo sawa!
 
WAKUMBUSHE MJOMBA! NADHANI WANAKUMBUKA ILA WANAJISAHAULISHA TUU. KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE WAMO.
 
Yanga ulitimuliwa sababu ya ubwege na uzuzu kama huu,sasa wewe sio mwanasheria na pia uhusiki na TLS nini povu linakutoka,sikiliza Jerry zamani ulikuaga smart sana lkn toka uanze kufanya vitu kwa Sifa na kilazimisha umaarufu sasa umekuwa poyoyo sana,wanaetakiwa kuhoji na kuwa na wasiwasi na Chama chao ni Mawakili wenyewe wewe kimekupata nini acha uzuzu wewe.

Anataka ateuliwe kuwa Waziri wa Nishati.

Kuishi kwa kutegemea au kuvizia uteuzi ni moja ya changamoto kubwa kwa baadhi ya watu. Huondoa umakini, hugeuza mtu kuwa zezeta, na wakati mwingine humfanya mtu aonekane kama kichaa-ni suala la kisaikilojia zaidi. Ukisoma andishi lote la huyu anayejiita mtaalamu wa commmucation ni rahisi kuona kuwa ni andishi lenye msukumo wa matamanio fulani, na hapa bila shaka ni matamanio ya uteuzi. Anadhani, kwa kuwa andishi lake hili jepesi linamhusu Lissu basi wakubwa wanaweza kumfikiria. Wakimfikiria, kupitia andishi hili, nao watakuwa na matatizo!

Hisia katika matukio ya kijinai haijawahi kuwa ujinga, na wala haijawahi kuwa tatizo kisheria. Ukitaka kufahamu hilo ni rahisi sana. Ukienda polisi kuripoti kuvunjiwa nyumba yako na watu wanaodhaniwa kuwa wezi miongoni mwa maswali muhimu sana ambalo polisi watakuuliza ni je, nani unahisi kuwa amefanya tukio hilo? Hivyo, mpaka hatua hii sio IMMA wala TLS (TL) ambao wana hatia ya kuwahisi polisi katika tukio hili. Kama Nape alionyeshwa bastola mchana kweupe, Roma alitendewa alichotendewa na ikatangazwa kuwa baada ya siku fulani atapatikana na leo anatuambia kuwa "anaenda Zimbabwe", basi hakuna tatizo kwa TLS ya Tundu Lisu kuwa na hisia ya uhusika wa polisi au dola.

Huyu "mjanja mjanja" wa mjini anadai kuwa tamko la TLS linafanana na tamko la CUF. Nini hoja yake hapa? Analazimisha hoja kwamba uwepo wa TL TLS kama Rais unaigeuza TLS kuwa taasisi inayofanya mambo yake katika mwelekeo wa kisiasa za upinzani. Huu ni mtazamo wa awali kabisa wa serikali pamoja na chama chake cha CCM. Wengi wanafahamu kwamba hoja hii ilitumiwa sana kujaribu kumkwamisha TL kuwa Rais wa TLS lakini kilichotokea ni historia iliyoacha maumivu kwa genge la watu wavizia makombo ambao wanashangilia hata matukio yanayovunja haki za raia. Kuna watu wamejitoa mhanga kuunga mkono uvunjwaji wa Katiba na manyanyaso mengine yote ili waweze kudaka makombo yanayotoka kwa wasigina Katiba. Huyu ni miongoni mwao.

Kwani kuna tatizo gani vilio vya taasisi dhidi ya tukio lililofanywa IMMA vikifanana (hata kama kweli vinafanana)? Lakini muhimu zaidi, kwanini "mjanja mjanja" huyu wa mjini kama kweli alitaka kuonyesha mfanano wa statement ya CUF na ya TLS kwenye tukio hili hakuweka kwenye andishi lake hizo paragraph anazodai zimefanana ili kuimarisha hoja yake. Unajua kwanini hakufanya hivyo? -anajua wasomaji wengi ni wavivu hawawezi kuchukua muda kuchunguza taarifa hizo mbili, bali watachukulia alichokiandika yeye ndicho sahihi.

Huyu mvizia makombo anawahoji mawakili ni kwanini walikaa kimya wakati akina marehemu Mwakyusa walipouawa, lakini leo wanataka wagome kutokana na kulipuliwa kwa ofisi za IMMA? Hapa ndipo unaweza kuona zaidi uzwazwa wa "mtaalamu" huyu wa "communication". Sijui kiwango cha elimu yake kwenye eneo hili la communication analojinasibisha nalo, lakini angalau ni wazi kwamba hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa mass communication anaweza kujua pengine kwanini TLS ya wakati ule ilikuwa kimya wakati akina Mwakyusa wakiuawa lakini TLS hii ya kipindi cha "mabadiliko yanayozungumzwa sana na chama chake cha CCM" ime react mara tu ofisi za mawakili za IMMA zilipolipuliwa. Anatumia approach ya kizwazwa kujaribu kuwachanganya mawakili! Maneno kama haya yangezungumwa na watu kama mbunge Msukuma, isingekuwa na tatizo lakini sio mtu anayejitambulisha kama msomi.

Huyu "mjanja mjanja wa mjini" anadhihirisha weupe wake upstairs na matamanio yake ya uteuzi anavyoandika haya, hebu msome vizuri- "Hivi mnajua IMMA advocate ni kampuni "inayotajwa" KUCHOTA mabilioni ya fedha za EPA kupitia kampuni ya DEEP GREEN kiasi cha *BIlioni 8* zilichotwa, mnajua hilo? kama hamjui nendeni Brella kisha mkasome anuani za Kampuni ya *DEEP GREEN,* kisha mtangaze *MGOMO.*

Hivi mnajua huyu Rais wenu Lissu akiwa Bungeni mwaka 2012 Aliitaja kampuni ya IMMA advocate kuwa ilizitetea kampuni za TanGold na Deep green microfinances *KUCHOTA* pesa za EPA, halafu Leo HAWAHAWA imma advocate ndio wanaomtetea Lissu katika kesi zake?

Hivi mnajua maana ya vita ya *KIUCHUMI,* adui yako anaweza kutumia *MKEO, WATOTO* na hata Ndugu zako ili mradi *APATE USHINDI.*

Mwisho, Nawapenda sana *WANASHERIA,* mana najua mchango wao katika taifa la Tanzania, nawathamini sana Wanasheria wamaotanguliza *UZALENDO* kwa taifa Lao pamoja na changamoto tunazopitia kama taifa Changa, Nawapenda Wanasheria wanaosem *KWELI* kwa maslahi ya taifa Lao na Sio *MATUMBO* yao. "

Hicho alichokimalizia nimeona kimesambazwa sana mitandaoni baada ya press conference ya TLS (TL) kufuatia kulipuliwa kwa ofisi za IMMA, sasa mvizia makombo huyo atujibu maswali yafuatayo:
1. Kwa kuwa mpaka sasa hakuna mahakama yoyote iliyowatia hatiani IMMA kuhusika kuchota hizo bilioni 8, na kwa kuwa hakuna mahali popote panapoelezwa kuwa mawakili wa IMMA wamepoteza haki ya uanachama wao TLS, kwanini mvizia makombo unataka mawakili wasishiriki pamoja kulaani walichofanyiwa IMMA?

2. Tangu mwaka 2012 Tundu Lissu kama mbunge alipoitaja bungeni IMMA kuwa ilizitetea kampuni za Tangold na Deep Green serikali inayoongozwa na CCM chama chako unachokitumia sasa kuvizia uteuzi, ilichukua hatua gani?

3. Unafahamu kuwa mawakili unaowakumbusha leo habari za IMMA kutajwa bungeni, wanafahamu pia kuwa mwenyekiti wako wa CCM, ambaye leo unavizia akupe uteuzi, naye alitajwa kwenye kashfa nyingi tu zilizoigharimu serikali, ikiwemo kuuza, kujigawia/kugawia ndugu na 'rafiki' nyumba za serikali; kununua kivuko kibovu na anaendelea kuhusishwa na mengine mengi?

Mtaalamu yeyote wa mawasiliano (mwenye uelewa) hawezi kuwa negative kwenye suala la mgomo wa siku mbili wenye lengo tu la mawakili kuonyesha solidarity katika kulaani tukio kama hilo lililofanywa dhidi ya IMMA bila kujali limefanywa na nani. Lakini kwa kuwa wakati wote watu kama huyu mvizia makombo wanawaza teuzi na makombo mengine, kila jambo hata ambalo ni haki kwa wengine, ili mradi linaonyesha udhaifu wa serikali kwa namna moja au nyingine, wanaligeuza fursa ya kupiga kelele ili mteuzi awasikie!
 
Penda sana hii nyuzi wakuu tukumbushane hawachadema walipigwa bom kipindi cha kikwete na wakasema mkanda wa video ukionesha aliyetupa bom wanao kupitia tukio lile waliteka hisia za watu weengi na kupata kura za huruma na pia walionesha kuwa wao wanasimamia haki na mwishowe chama chao kikakua lakin mpaka leo huo mkanda haukupatikana na mtuhumiwa hakukamatwa sasa nao,a storry za mabom zinaanza tena katika kiki za kisiasa tls wameingia katika mtego wa kisiasa amsoo sorry for them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani amejiwa hapa

Sababu:<br />1.Katika sakata la kulipuliwa kwa ofisi za IMMMA Advocates, Lissu anasimama kama mwanachama na kiongozi wa TLS na si mwanachama wa CHADEMA na kwa maana hiyo hawasilishi wala kusimamia maoni ya CHADEMA au Kambi Rasimi ya Upinzani Bungeni<br /><br />2.Inatambulika Tundu Lissu kama kiongozi wa TLS anawakikisha mawazo na msimamo wa TLS na wala si msimamo au mawazo ya CHADEMA kuhusu IMMM Advocates aliyoyawakikisha Bungeni mwaka 2012(kinachofanywa na mpambe huyu na wengineo ni upotoshaji wa makusudi kwa malengo ya kisiasa).<br /><br />3.Mawakili wa IMMMA Advocates ni wanachama halali wa TLS hivyo baraza la uongozi wa TLS linawajibika kuwasemea katika hili kama wanachama wake vinginevyo baraza lisingetenda haki kama ambayo linashutumiwa kukaa kimya walipouwawa baadhi ya mawakili.<br /><br />4.Ni uendawazimu na chuki za wazi kabisa kuwalaumu viongozi wa TLS ya sasa kwa makosa yaliyofanywa na uongozi wa TLS uliyopita kwa kutowasemea mawakili walioa pata na majanga wakati huo(kina Mvungi na wengineo)<br /><br />5.IMMA Advocates kuwatetea waliochota mabilioni ya EPA hakuhalalishi ofisi zao kulipuliwa na homu hivyo ni uendawazimu wa hali ya juu kutegemea TLS ikae kimya pale mawakili ambao ni wanachama wao wanapopatwa na majanga kama haya.<br /><br />6.TLS haikutamka moja kwa moja kuwa ni Polisi ndio waliovamia na kulipua jengo la ofisi za IMMMA Advocates bali walisema kuwa wamepwa taarifa/wanazo taarifa kuwa watu <b>walioonekana</b> kuvalia nguo za Jeshi la Polisi ndio waliohusika kulipua ofisi hizo(katika matamshi yao sijawasiki wakitamka kuthibitisha kuwa nguo hizo kweli zilikuwa ni sare za Jeshi la Polisi).<br /><br />7.Ni mara ngapi watu wanakamatwa kwa kuvaa nguo za Jeshi la Polisi au zinazofanana na Jeshi la Polisi ili hali wao si Polisi halali wa Jeshi la Polisi Tanzania?<br /><br />8.Katika mazingira haya,kulitaka Jeshi la Polisi kuchunguza tukio hili kuna kasoro gani ili hali hakuna mahali baraza la uongozi wa TLS limewatuhumu Polisi moja kwa moja kuhusika na tukio hili?<br /><br />9.Kama kweli TLS ilitamka wazi kuwa waliovamia ofisi za mawakili wa IMMMA na kuzilipua walikuwa ni Polisi,mbona hatujaona Jeshi la Polisi likiwakamata viongozi hao wa TLS kwa kuchafua Jeshi hilo?<br /><br />10.Ni kwanini kijana huyu asikamatwe kwa kupotosha tamko la TLS na zaidi kwa kumchafua IGP na Jeshi analoliongoza?<br /><br />11.IMMMA Advocates kutetea wezi wa EPA si ndio kazi yao kama mawakili?<br /><br />12.CHADEMA kupitia Tundu Lissu kuhoji IMMMA Advocates kuwatetea wezi wa EPA Bungeni walifanya vile kwasababu IMMMA Advocates walikuwa ni mawakili au walikuwa na sababu zingine?<br /><br />13.TLS wangekaa kimya baada ya tukio hili la ofisi za IMMMA Advocates kulipuliwa ili hali walishatangaza rasimi kuwa shambulio dhidi ya wakili mmoja ni shambulio kwa mawakili wote,mngeacha kulaumu uongozi wa TLS kwa kushindwa hata kukemea na kulaani tukio hili?<br /><br />Acheni unafiki na kutumika kisiasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom