balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
Jerry Muro ni mwizi kama Makonda tuuuJerry muro ni oppurtunist
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Jerry Muro ni mwizi kama Makonda tuuuJerry muro ni oppurtunist
Ova
Kwa kumbukumbu zangu na kama sikosei,Jerry Muro hata uvamizi wa Bashite clouds aliutetea hadharani.
Si hivyo tu,hata Manji alipokamatwa kwa mara ya kwanza kuhusiana na tuhuma za kutumia dawa za kulevya alionekana kuunga mkono kukamatwa kwake pale alipohojiwa channel 10 katika kipindi cha Mada Moto.
Huyo ndio Jerry.
U-DC unatafutwa kupitia migongo ya watu.
Hongera Professional Communicator, hata sijui ndio nn shule hizi balaa!Jerry Muro ndio yule alikamatwaga kwa kula rushwa ya 10mil. au ni mwingine? Na ambaye alikuwa msemaji wa Yanga akafukuzwa!!?
Jerry Muro ndio yule alikamatwaga kwa kula rushwa ya 10mil. au ni mwingine? Na ambaye alikuwa msemaji wa Yanga akafukuzwa!!?