Tundu Lissu: Nitarejea Tanzania iwapo nitaruhusiwa kuanika ‘Maovu’ ya Utawala wa Magufuli

Wala hatuna uhitaji nae kwani Kuna mtu yeyote aliyewahi kupiga kelele kuwa unahitajika urudi kwanza ukirudi utaishi wapi wakati huku hauna makazi ya kuishi huna Ajira wala kazi? Baki hukohuko wala hatukuhitaji kwanza tunatamani na wengne walio kama wewe nao waondoke.
We endelea kujiuza huko kwa mabepali wako.
 
Kuja kutaja maovu yake hakutusaidii kitu moving forward. Na hii ni obsession isiyo na tija.

Hiyo nguvu na muda ni bora vikawa invested kwenye kujenga chama vijijini, kudai mabadiliko ya kweli kwenye mfumo wa uchaguzi na kuonyesha nini cha tofauti chama kitafanya kama kitapewa ridhaa ya kuongoza Nchi
 
Mtu ameshafariki, unataka uanike maovu ili apelekwe mahakamani au? Aendelee kulamba miguu huko huko kwa mabeberu, asirudi
 
LISSU NAKUPENDA SANA ILA YA MAREHEMU TUYAACHE! WW RUDI TU MIKONO NYUMA UJE UFANYE YA WATANZANIA WOTE NA SI YA MAREHEMU..!✌️
 
Hakuna kipindi kibaya kwa Serikali ya CCM kama kipindi hiki. Hofu kwa Watendaji wa Serikali imetoweka ghafla. Ni kipindi cha kila kundi kulipiza kisasi kwa wabaya wao. Makundi hayo ni
1.CCM Asili
2.CCM Mtandao
3.CCM Mpya.

Wakati huo huo ni furaha kwa Wapinzani kwani hakutukuwepo na kundi litakalokuwa na nguvu ya kupambana nao moja kwa moja.

CCM kuna uwezekano mkubwa kutofika 2025 wakiwa wamoja. Hii ni kutokana na misimamo ya kila kundi.
Umenena vema, ila naona ccm asili ni rahisi sana kufanya kazi pamoja na ccm mtandao kuliko hawa ccm mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom