mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,612
- 8,245
Kwanza hiyo ndege ilikwenda kufanya nini huko Uholanzi ?? ATC wanayo route ya kwenda huko ilikoshikwa !!?Wakati mnavunja mikataba kibabe ya wawekezaji mlikuwa mnategemea/mnafikilia nini?
Kwanza hiyo ndege ilikwenda kufanya nini huko Uholanzi ?? ATC wanayo route ya kwenda huko ilikoshikwa !!?Wakati mnavunja mikataba kibabe ya wawekezaji mlikuwa mnategemea/mnafikilia nini?
Mzungu amelikataa lidege libovu,anataka nzima.Kawa mkweli, mwingine angedanganya. Cha muhimu lipeni deni kabla ndege haija pigwa mnada.
Nadhani kumbukumbu zinanikumbusha kwamba hata ile issue ya ACACIA pia kulikuwa na mkono wake Lissu!.Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Ilipeleka mzigo wa ngadaKwanza hiyo ndege ilikwenda kufanya nini huko Uholanzi ?? ATC wanayo route ya kwenda huko ilikoshikwa !!?
Ameshabikia wapi?Kwa sasa itakuwa Lissu ndie Mshauri wa hiyo kampuni kisheria.
Sio bure,ila hii nchi tulistahili tuchapane Risasi kama Rwanda na Sudan ili akili zitukae sawa!
Hauwezi kuwa shabiki wa Mali za nchi yako kukamatwa,halafu ukaendelea kusema unapenda nchi hii.
Duh. !!Ilipeleka mzigo wa ngada
Ulikuwa hujui???Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mre
Wewe ni mpumbavu.Lissu ni mjinga
Binafsi suala la shambulizi la Lissu huwa sijipagi jibu jepesi tu kwamba Magufuli kama Magufuli ndio alitaka kumuuwa kisa kumkosoa.Msaliti na ndio maana Jiwe alitaka kummaliza
Mfanye upumbavu wenu wa kuvunja mikataba kishamba! na mlipewa tahadhali. lakini mkashupaza shingo! na kujiona mnajua kila kitu! leo Bundi wenu amekamatwa. Mnaanza kusingizia watu!Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Akili za zipo makalioni.Hakuwa presidential material na hatakaa awe hat' akisokomezwa huko ikulu! Munielewe jamani.
Ni kosa kwa mujibu qa katiba ya nchi? Au ni kwa mujibu wa masabuli yako?Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be Kuna watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Nazani wewe ndio unaliwa kiboga.Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mrefu
Ndio alishauri Mzungu anyang'annywe shamba?Ndo ujue wasio kupenda Ni wengi na wasaliti wamo
Kama mulivyo Familia yenu yote? Mashoga na Wasagaji?Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mrefu
Hata mimi ningefanya hivyoLissu ndio alikuwa anawachochea wafungue kesi, wao hawakuwa na haja na kesi, ni kama zile za migodi, jambo jema watu wa migodi walimpuuza, isipokuwa watatu ambao ni rafiki zake, na anahisa katika kampuni zao.