Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Mtanzania mwingine ninayemkumbuka kuhojiwa na BBC Hard Talk ni Lazaro Nyalandu...Magufuli na "kingeleza" chake cha kinanilii atakoma kwa wivu
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Wewe ni adui namba 1 wa waafrika kwa kuwa una fikra za kitumwa.
Hujui ulipotoka, ulipo au unakoelekea.
Serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na Magufuli haijipendekezi kwa wazungu.
 
Unafikiri ni sawa na wewe jamvi la wageni?
Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Wafanye jitihada za kuongeza wabunge na madiwani wakati kila siku mnahangaika kuwaua na kuwafunga?

Nchi ipo katika laana kwa sababu shetani na mawakala wake wanahangaika kutekeleza mapenzi ya shetani. Hakuna kiongozi mwenye roho ya Mungu anayeua watu wake, kuteka au kuwapoteza watu. Maombi yetu kwa Mungu yawe ni kuondokana na roho ya shetani kwa watawala wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jaribio la kununua Lissu is the most cowardly act ever committed on the soil of this country. Kama mwanahabari mmoja nguli alipata kuandika kuwa aliifanyia hivyo ni msaliti mkubwa kwa taifà hili. Binafsi naamini kuna siku atajulikana.
 
Kuna taarifa kwamba 85% ya viongozi wa awamu hii wakiwemo vijana kwa wazee wanaishi kwa ARVS , hivi ni kweli hii jamani ?
Shudu ndio linaloendesha nchi hii kwa sasa,sasa moja ya lengo la Lissu ni Viongozi wa A5 wawekewe vikwazo Vya Shudu ili wakati wa kampeni wawe nanabebwa kwenye mifuko wa Rambo.
 
Baada ya kupata kufa angalau wanajifarini kwa kumuona akitembea kwa magongo. Inferiority complex ni hatari sana. Lissu amewafanya watu kukosa ladha ya utukufu hadi ikabidi yeye afe ili watu watawala wapate utukufu wao.


Kila uzi wa Lissu unaingiza pua lako.
 
muda gani mzee!?
Mleta Uzi kasema Jumatatu ijayo,Jumatatu ijayo takuwa tarehe 21/1/2019.

Kama sijakosea Muda wa programu ya HARDtalk kwa siku huwa ni 7:30/12:30/18:30,sina hakika sana.

Lakini jambo zuri nikuwa Makini kwa television BBC siku ya Jumatatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribio la kununua Lissu is the most cowardly act ever committed on the soil of this country. Kama mwanahabari mmoja nguli alipata kuandika kuwa aliifanyia hivyo ni msaliti mkubwa kwa taifà hili. Binafsi naamini kuna siku atajulikana.


Ameshajulikana yuko Mahabusu yetu tayari na Demu wake.
 
Back
Top Bottom