Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Kama CCM iliweza kukwepa vikwazo kwenye mauaji ya ZnZ ile mwaka 2000 na Kupita uchaguzi wa ZnZ 2015 kibabe vile. Basi mfahamu hii strategy haitafanya kazi hadi mjue waliweza vipi kuwatuliza hao wazungu.
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...

We chiz kumbe,, Mara unawapondaga wazungu,, Leo tena unasema wangeangalia wazungu iko kipindi ndio ingekuwa tishio ila sio kwa watu weusi ,,unatapatapa Kweli Kama chiz aliemuona nduguye
 
Kipindi kile Trump alikuwa bado anasoma
Kama CCM iliweza kukwepa vikwazo kwenye mauaji ya ZnZ ile mwaka 2000 na Kupita uchaguzi wa ZnZ 2015 kibabe vile. Basi mfahamu hii strategy haitafanya kazi hadi mjue waliweza vipi kuwatuliza hao wazungu.

In God we Trust
 
Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?

Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ninao uhakika hujaelewa kinacho zungumzwa.
 
Tunaanza kuwaona na nivizuri maana hao ndiyo watapeleka salamu
hahahahahaa hatari kaka mkubwa!
wanaanza kujionesha ngozi zao mapema yote hii,kabla anayewapa kiburi hatujamtoa October 2020

#My God Iz Awesome

In God we Trust
 
Back
Top Bottom