Kwani pure siku hizi zina maana. Kazi moja ambayo serikali ya awamu ya tano imefankiwa sana kuifanya ni kuwaaminisha Watanzania kuwa kura zao hazina maana. Inahitajika muujiza wa Mungu kuwafanya raia kupiga kura. Uchaguzi utakuwa unashirikisha tu mabalozi wa mashina ya ccm.
Ni vizuri tukajadili issues badala ya watu!! Uwanja wa chato mbona hushangai tena kwa fedha za umma!! Hacha unafiki k ww!!!!Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?
Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sita enzi za uhai wake pia alijenga ofisi kubwa ya mbunge jimboni kwake
Kuwa fair !! Hacha ujinga!!! Uwanja wa kimataifa chato???Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?
Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe matter-core kweli,kila siku unalalamika kuwa "Chadema hawana ofisi" leo hii wameanza kwa kujenga ofisi ndogo kwenye jimbo umeamua kuharisha!Ametoa wapi hela za kujenga ofisi nzuri namna hii jimboni kwake alafu hela za kujengea makao makuu ya chama hana?
Mbowe acha usanii hela za jimbo badala ya kuzipeleka kwa wanachi kama Sugu anavyofanya wewe unazijengea ofisi ya mbunge kana kwamba utakuwa mbunge wa milele??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Amempa mammmmma yko amuhfadhie kwa muda!Magongo kayaficha wapi sasa?
THivi @Mods huyu mtu hamumuoni?
HahahahaUnataka aende Kupanik pale avunje na zile meza za Vioo.
Hilo jinga na ZEZETA linashindwa kutofautisha HURUMA NA IMANI.Unamuonea nani imani muuwaji wewe?!!
Huo ni ukoo wako. Mi siko kwenye ukoo wa kipuuzi kama huo.
Anaweza kula nyama ya watu huyu msichana.ISIS
Jamaa ana kifua kipana sana hata katikati ya mateso aliyopitia aliweza kutabasamu kuwatia watu moyo ...
Lingekuwa lile dubwana ndio limekula mvua za risasi kama Lisu sijui na jisura lake lile kama angeweza tabasamu
Sent using Jamii Forums mobile app