Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Sio kuumia tu mkuu " nakujikojolea pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda adandie midege yake akalale hewani.
giphy-6.gif
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Upumbavu na uwelewa mdogo na chembechembe za roho za unyama ndo ndo unakusumbuwa!!!!!!!!
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo(Mashariki), Kenya (wale choka mbaya) na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Upumbavu na uelewa mdogo na chembechembe za roho za unyama ndo ndo unakusumbuwa!!!!!!!!
 
Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!

Kwani kura siku hizi zina maana?Kazi moja ambayo serikali ya awamu ya tano imefankiwa sana kuifanya ni kuwaaminisha Watanzania kuwa kura zao hazina maana. Inahitajika muujiza wa Mungu kuwafanya raia kupiga kura. Uchaguzi utakuwa unashirikisha tu mabalozi wa mashina ya ccm.
 
Back
Top Bottom