Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yule mwana siasa nguri na mtu pekee aliyenusurika kupotezewa uhai wake na wabaya wake baada ya kupigwa risasi za kutosha amepona na sasa hivi yupo ktk studio za BBC nchini uingereza anaelezea kilicho mkuta. Mwenye macho na atazame

View attachment 995391


In God we Trust

======

Jana Lissu aikuwa BBC HARDtalk na Stephen Sackur. Interview itarushwa Jumatatu ijayo.

Aidha, alikuwa pia na Zuhura Yunus wa Idhaa ya Kiswahili. Kipindi kitarushwa kesho (Januari 16, 2019)
Jumatatu saa ngapi mkuu nataka nifuatilie. Akienda Marekani bila shaka atahojiwa CNN na Christina Amanpor(sina hakika na spellings)
 
the guy is finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa kijijini basi atapiga kelele huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo kwasasa ni mwoga kama kunguru! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno vinajenga personality yake!
Malaya mkubwa wewe ngoja nianze kukuchambua nategemea ban potelea mbali wajinga Kama nyie msiachwe hvhv
 
Malaya mkubwa wewe ngoja nianze kukuchambua nategemea ban potelea mbali wajinga Kama nyie msiachwe hvhv
Kwanza ni bahati mbaya Sana jina lako linafanana na mtoto wa afisa usalama mstahafu elisifa ngowi mtu ambae namheshimu ila pia kwasababu wewe sio verified basi ni Malaya tu unaetumia hilo jina na naamini ulizalishwa ukatelekezwa na wanaume sita tofauti ndio maana una roho mbaya wewe mwanamke na Leo utakuwa na joto sio bure.
 
the guy is finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa kijijini basi atapiga kelele huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo kwasasa ni mwoga kama kunguru! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno vinajenga personality yake! mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni! wabongo tuna akili mno tushamjua!

Definetly you are a daughter of a bastard
 
the guy is finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa kijijini basi atapiga kelele huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo kwasasa ni mwoga kama kunguru! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno vinajenga personality yake! mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni! wabongo tuna akili mno tushamjua!
We need to utilize ur butt
 
the guy is finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa kijijini basi atapiga kelele huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo kwasasa ni mwoga kama kunguru! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno vinajenga personality yake! mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni inaitwa asylum!! wabongo tuna akili mno tushamjua!
Yaani umemaliza kila kitu hapo. Ukweli mchungu.
 
the guy is finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa bush basi atapiga kelele huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo kwasasa ni mwoga kama kunguru! yani kila akiwaza bongo picha ya ziraili tu ndo inajaa akilini mwake anaziba macho, anatetemeka! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno vinajenga personality yake! mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni inaitwa asylum!! wabongo tuna akili mno tushamjua!
Wew kweli mfuska kwa maana halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni moja ya programu ya ile ziara ya kuwatembelea mabeberu? Hakuna mjinga anayeweza kuuma kidole kinachomlisha. Mabeberu lazima awanyenyekee.
 
Nasema hili kwa uchungu na masikitiko makubwa kama binadamu! Tindua is clearly finished, ni mtu mwenye ulemavu wa mwili na akili sasa angepumzika tu huko belgium , inauma sana kuwa ni mlemavu sasa alie na vyuma mwilini na anaetembea kwa msaada wa magongo ila hatuna jinsi huu ni ukweli! mtu wa bush basi atapiga kelele mno huku na huko ila bongo hakanyagi tena huyo, kwasasa ni mwoga kama kunguru! yani kila akiwaza bongo picha ya ziraili tu ndo inajaa akilini mwake anaziba macho, anatetemeka, moyo unapiga tii tii tiii! jazba , ulimbukeni, kupenda mno sifa, ushamba , uanakijiji na majivuno viliijenga personality yake! alisahau msemo wa wahenga "werevu mwingi mbele giza" . Mimi nilizaliwa mjini nikasoma mjini na naishi mjini, nafaa kabisa kuelezea tabia za wanavijiji wanapokuja kuishi mjini!daima hujitutumua sana kuonesha watu wa mjini kuwa wanajua sana ila kijiji huwa hakiwatoki! kwasasa Tindua anahaha na kutangatanga uzunguni kuelezea yaliyomkuta ili aonewe huruma apewe makazi huku uzunguni inaitwa asylum!! wabongo wa uzunguni tuna akili mno tushamjua! Huyu kama hawezi tena kupanda ghorofa ya kumi kwa kutumia ngazi na hawezi tena kupiga push up sasa hiki ni kituko cha karne eti agombee urais, au sijaelewa ana maanisha urais wa kuongoza familia yake au ukoo wake au mtaa kule bush kwao kuku wa kienyeji hawaishi karne ya mia mbili sasa, wenyewe wakuja wanapaita Singapore! ha ha ha! hivi nyie watu wa ba - vichaa mnajua uzito halisi wa mzigo wa urais?

Nadhani pia baba yake Tindua huyu msanii bwana Meku Frii mani = selo+kulima kunde kwa meno segerea , anamfanana sana, nae huyu mzee "mtu huru" alie gerezani ni mlemavu wa akili kutoka kule bush panaitwa mfu aka hayi!! majina mengine si ya kuwapa watoto ovyo ovyo aisee Meku ni mikosi na nuksi balaa tupu! yaani jina lako tu basi selo inakuchekea chekea ovyo ovyo tu kila ukikimbia spidi kali kama duma huku umenyoosha vidole viwili juu , ukigeuka nyuma kucheki dah selo hii hapa inakuita wewe injinia frii mani soma hiyo dhamana imeandikwaje?, njoo huku selo ulale! ha ha ha!
Sema tu roho zinawauma kumuona Lissu bado anaishi na sasa anapewa heshima ya kuhojiwa na media kubwa duniani.

Mtateseka sana na roho zenu mbaya.

Alafu mtu kama wewe unaweza kuta kila Jumapili uko kanisani na si ajabu wewe ni wale wa "bwana yesu asifiwe"
 
Yaani hawa watu wana roho mbaya kama nyoka
Sema tu roho zinawauma kumuona Lissu bado anaishi na sasa anapewa heshima ya kuhojiwa na media kubwa duniani.

Mtateseka sana na roho zenu mbaya.

Alafu mtu kama wewe unaweza kuta kila Jumapili uko kanisani na si ajabu wewe ni wale wa "bwana yesu asifiwe"

In God we Trust
 
Mara nyingi wanazipata hizo mimba kwenye sherehe za mbio za mwenge
Mkuu tumsamehe Huyu Malaya Mimba za kubakwa hizi manii zinamuingia mama disco zikiwa zinamchanganyiko wa valuu

In God we Trust
 
Back
Top Bottom