Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

Yaani Mungu mkubwa amepona kwa macho anashuhudia ujambazi wizi na ufisadi wa Magufuli na genge lake
 
Huna akili kabisa!!
 
Stephen Sackur ana maswali ya kukujaza kichwa na kukufanya umwage mboga zako zote afu ndio anaanza maswali ya mitego na maudhi.I cant wait for Hardtalk.
 
Na Iwe hivo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anaogopaga kitu gani jamani?

In God we Trust
Kule hakuna kiki za kupanik, sana watampa Napkin afute jasho halafu maswali yako palepale,..ikifikia akasema "I am the Stone!..watamwambia Calm down Mr President wanampa napkin afute kamasi na jasho.
 
Kipindi saa ngapi? I don't want to miss it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…