Tundu Lissu: Nawapa pole Sugu na Goddie Masonga, naunga mkono pendekezo la Zitto kwa wabunge wetu wote

Salaam kutoka Belgium

Waheshimiwa wangu salaam kutoka Ubelgiji. Nawapeni pole nyingi kwa yaliyomkuta Mh. Sugu na Goddie Masonga siku ya leo.

Naomba kuzungumzia suala hili kwa kirefu kidogo.

Kwanza, hukumu ya leo sio mwisho wa mjadala mahakamani. Bado kuna fursa, nay haki, ya rufaa High Court na, ikibidi, Court of Appeal.

Pili, hukumu ya leo haina maana Sugu atakaa gerezani muda wote huo. Kuna haki ya dhamana pending appeal. Ndivyo ambavyo tumefanya kwa viongozi na wanachama wetu wengi in the past.

Tatu, hukumu ya leo haina athari yoyote kwa ubunge wa Sugu. Katiba inaweka masharti ya kifungo cha miezi sita au zaidi, na kwa makosa ya 'utovu wa uaminifu.' Uchochezi au kutoa lugha ya matusi sio makosa ya utovu wa uaminifu.

Nne, pamoja na kwamba sijaona nakala ya hukumu, adhabu ya kifungo bila faini kwa kosa la kwanza ni kinyume na sentencing principles. Hii ni mojawapo ya hoja zetu zilizoshinda katika kesi ya Mh. Juakali High Court mwaka jana.

Tano, hata kama atakaa gerezani muda wote huo, hukumu za kesi za kisiasa kama hii hazijawahi kuwapunguzia heshima wapigania haki popote pale duniani.

On the contrary, kifungo cha aina hii ni beji ya heshima kwa kila mpigania haki na uhuru. Orodha ya mifano ni ndefu sana: Nyerere (ijapokuwa yeye alilipa faini), Kenyatta, Mandela, Mugabe, Fidel Castro, etc.

Alichokifanya hakimu leo ni kuwaongeza Sugu na Masonga kwenye orodha hii ya heshima. They'll come out even bigger and stronger than when they went in.

Sita, naunga mkono pendekezo la Mh. Zitto kwamba wabunge wetu wote warekodi maneno aliyofungiwa nayo Sugu na kuyaweka mitandaoni ili watukamate na sisi pia.

Instead of agonising, let's organise and make this issue bigger and bigger mpaka wakimbie wenyewe au watukamate na kutufunga wote.

Na sio wabunge tu, tuhamasishe kila mwanachama wetu na kila anayechukizwa na uonevu huu ayarudie maneno haya ili nao wakamatwe na kufungwa.

Tumlazimishe Magufuli na watu wake waamue: waigeuze nchi nzima kuwa gereza moja kubwa, au akubali kusemwa kwa maneno na lugha asiyoipenda. Hiyo ndio maana pekee ya freedom of speech in a democracy.

Nawatakieni kila la kheri katika hii safari ndefu ya kuelekea kwenye haki.

Tundu Lissu
Baba la matumaini asante sana Lissu, Mungu akutir nguvu zaidi. Huyu uchwara tutapambana nae kwa nguvu zote mpka kieleweke.
 
Walikuwa ni kipi cha tofatuti mpaka wakifananishwa na Sugu uone sio?
Sugu anapigania nini uhuru anao nchi imeshakombolewa, nyumba na mahoteli anajenga gari la kutembelea mpaka anagonga wasio na hatia amepewa analipa taratibu, tumbo limejaa anajambia mdomoni!
 
Rais 2020 kanena!!!naona Tindu Lissu na Zitto ku team up Mnyika msimsahau
 
Naombeni mwenye maneno aliyotamka Sugu na kupelekea kufungwa aniwekee hapa nianze kuyatumia rasmi
Baadhi ya maneno 'Hawezi kupendwa kwa kumshuti Lissu, kumfunga Lena miezi minne, kumteka Ben Saanane, kumteka Roma au kumfunga mdomoni Sugu asiongee''
 
"Hayo ndiyo mambo ambayo JPM angefanya kama anataka kupendwa...huwezi kupendwa kwa kumshuti LISU, huwezi kupendwa kwa kumtupa LEMA miezi minne gerezani, huwezi kupendwa kwa kumkataza SUGU asiongee hivi asiongee hili au lile, huwezi kupendwa kwa kuteka watu, umemteka ROMA, unamteka BEN SAANANE mtoto wa watu hadi leo hatujui alipo..."
Cha ajambu ninkwamba bado anajifanya yu mwenye furaha huku anafanya yote out of "frustration". Uongozi si lelemama!
 
Salaam kutoka Belgium

Waheshimiwa wangu salaam kutoka Ubelgiji. Nawapeni pole nyingi kwa yaliyomkuta Mh. Sugu na Goddie Masonga siku ya leo.

Naomba kuzungumzia suala hili kwa kirefu kidogo.

Kwanza, hukumu ya leo sio mwisho wa mjadala mahakamani. Bado kuna fursa, nay haki, ya rufaa High Court na, ikibidi, Court of Appeal.

Pili, hukumu ya leo haina maana Sugu atakaa gerezani muda wote huo. Kuna haki ya dhamana pending appeal. Ndivyo ambavyo tumefanya kwa viongozi na wanachama wetu wengi in the past.

Tatu, hukumu ya leo haina athari yoyote kwa ubunge wa Sugu. Katiba inaweka masharti ya kifungo cha miezi sita au zaidi, na kwa makosa ya 'utovu wa uaminifu.' Uchochezi au kutoa lugha ya matusi sio makosa ya utovu wa uaminifu.

Nne, pamoja na kwamba sijaona nakala ya hukumu, adhabu ya kifungo bila faini kwa kosa la kwanza ni kinyume na sentencing principles. Hii ni mojawapo ya hoja zetu zilizoshinda katika kesi ya Mh. Juakali High Court mwaka jana.

Tano, hata kama atakaa gerezani muda wote huo, hukumu za kesi za kisiasa kama hii hazijawahi kuwapunguzia heshima wapigania haki popote pale duniani.

On the contrary, kifungo cha aina hii ni beji ya heshima kwa kila mpigania haki na uhuru. Orodha ya mifano ni ndefu sana: Nyerere (ijapokuwa yeye alilipa faini), Kenyatta, Mandela, Mugabe, Fidel Castro, etc.

Alichokifanya hakimu leo ni kuwaongeza Sugu na Masonga kwenye orodha hii ya heshima. They'll come out even bigger and stronger than when they went in.

Sita, naunga mkono pendekezo la Mh. Zitto kwamba wabunge wetu wote warekodi maneno aliyofungiwa nayo Sugu na kuyaweka mitandaoni ili watukamate na sisi pia.

Instead of agonising, let's organise and make this issue bigger and bigger mpaka wakimbie wenyewe au watukamate na kutufunga wote.

Na sio wabunge tu, tuhamasishe kila mwanachama wetu na kila anayechukizwa na uonevu huu ayarudie maneno haya ili nao wakamatwe na kufungwa.

Tumlazimishe Magufuli na watu wake waamue: waigeuze nchi nzima kuwa gereza moja kubwa, au akubali kusemwa kwa maneno na lugha asiyoipenda. Hiyo ndio maana pekee ya freedom of speech in a democracy.

Nawatakieni kila la kheri katika hii safari ndefu ya kuelekea kwenye haki.

Tundu Lissu
You keep provoking pambana na matibabu yako huko umekuwa kama mbwa ambaye akisikia hata upepo anabweka baada ya kujeruliwa.
 
Lakini anapendwa! Na anapendwa kweli. Lissu huku Tanzania umebaki na mashabiki wachache sana. Ukija kutoka hospitali watu watakushangaa na kujiuliza "huyu nani?" Maana utakuta Ndege nyingi, reli ya speed kali, barabara za ghorofa, umeme kutoka Rufiji. Uwanja wa kimataifa Chato, viwanda vya kuchuja dhahabu nk. Watu watakushangaa.
Kama kuna dunia ya Ma bwege, basi, utakuwa ni namba moja!!!!
 
Kama kukaa gerezani ni beji ya ushujaa, kwa nini wakate rufaa?
Haka kaswali kagumu kwelikweli, tena si kukata rufaa tu ili hukumu ifutwe baada ya kuwa gerezani na kupata beji ya ushujaa, bali waombe awe nje pending appeal!
 
Mkuu magonjwa mtambuka unaweza kudhani hilo jina ulilichagua kwa bahati ( by chance) lakini si kweli. Kweli nimeanza kuamini mada za ndg Mshana Junior katika mada zake hasa kweli ulimwengu wa kiroho na matukio yanayotokea huku duniani. Hiyo power iliyokufanya kuchagua hilo jina ni la kiroho zaidi. Hilo jina limesadifu kabisa uwezo wako kifikra.
Huyo ni mgonjwa ana kuwepo milembe sahv

Ova
 
Sugu anapigania nini uhuru anao nchi imeshakombolewa, nyumba na mahoteli anajenga gari la kutembelea mpaka anagonga wasio na hatia amepewa analipa taratibu, tumbo limejaa anajambia mdomoni!
Kwa hukumu hii kituko Lumumba mtatokwa mapovu very soon kwenye rufaa
86857bd81b21743c813d9c576ae54e84.jpg

Kwa huu ugoro hakimu amewatia aibu mliyemtuma.
 
Back
Top Bottom