johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,038
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema ukiisoma kwa Makini hukumu ya Bandari iliyotolewa jana utagundua tatizo Kuu ni Ukosesefu wa Uzalendo wa Wabunge ambao kimsingi wote waliteuliwa tu na mtu mmoja Magufuli hivyo hawamuwakilishi mwananchi bali aliyewateua.
Sugu anasema ushahidi ni pale Majaji 3 wanaposema kuna vifungu Vya kurekebisha, maana yake Watu 400 bungeni walivifumbia macho vifungu hivyo.
My take: Ikumbukwe Sugu siyo Mwanasheria.
Jumaa kareem 😄😄
Sugu anasema ushahidi ni pale Majaji 3 wanaposema kuna vifungu Vya kurekebisha, maana yake Watu 400 bungeni walivifumbia macho vifungu hivyo.
My take: Ikumbukwe Sugu siyo Mwanasheria.
Jumaa kareem 😄😄