Tundu Lissu: Nawapa pole Sugu na Goddie Masonga, naunga mkono pendekezo la Zitto kwa wabunge wetu wote

Hivi hawa chadema wamepagawa na nini. Mbona sisi jpm wananchi waliowengi tunamwelewa sana. Kipindi cha jk graduates walikuwa wanaonekna mabwege wanadharaliwa na wanasiasa kisa wana hela japo elimu zero. Leo hii jpm kapandisha hadhi ya watu na tnahshimiana kwa uwezo etu. Akina zitto lazima wapayuke mana walizoea kuiba kupitia kamati ya poac. Lini zitto ukamsikia anamsema vibaya swahiba wake wa nssf au amefichua uozo gani sgirika lolote la umma. Pale udsm tu walimhonga mihela kibao ili asiseme dili la mlimani city. Hilo nilikuwepo kwenye kikao. Jpm wanyooshe wasituchezee hawa wezi wa mali wanaotapatapa kwa kukosa sehemu ya kuipa. Wanafikili mirija yao itarudi tena. Never!!!
 
Mkuu eti Mange, Mbowe, Lema, Nasari, wote wa kasikazini wana hasira na tahadhari waliyopewa na dogo Fulani kuwa Kasikazini wataishia kunawa tu.sanduku la kura limewachosha na pia wameshiba.Jeshi letu tukufu like tayari kuwakabili, lakini walivyo waoga eti wanategemea akina masanja, masunga na jidulamabambasi ndiyo wawatangulize wao wakiwa ndani ya kiyoyozi.hahahahaha kwa mtindo huo sioni dalili ya watu kuingia barabarani
 
Tunahamu kukupokea Mh.Lissu siku utaporudi! Itabidi tuvunje historia ya mapokezi ya kiongozi yeyote Tz. Tafadhali sikuhiyo tupewe taarifa na hamasa itolewe wa mikoani pia wajae airpot...naamini utarudi hivi punde!
Ulichokisema ninakiafiki ila viongozi wenyewe waogo. Kwenye maandamano Mh. Mbowe hukimbia lkn yy husema wananchi tu waoga tunakimbiakimbia tukiskia plc! Lzm akubali kusota jela ama vyovyote...
Mtutangazie mapema ili siku hiyo tusiohusika tusipande madaladala
 
Kuna mtu alitaka kichwa hiki leo kiwe kimelala kaburini ..... long live Lissu because you still have a H/W to do.

Hili ni somo tosha kwetu.

Mungu akubariki tena na tena.
 
Salaam kutoka Belgium

Waheshimiwa wangu salaam kutoka Ubelgiji. Nawapeni pole nyingi kwa yaliyomkuta Mh. Sugu na Goddie Masonga siku ya leo.

Naomba kuzungumzia suala hili kwa kirefu kidogo.

Kwanza, hukumu ya leo sio mwisho wa mjadala mahakamani. Bado kuna fursa, nay haki, ya rufaa High Court na, ikibidi, Court of Appeal.

Pili, hukumu ya leo haina maana Sugu atakaa gerezani muda wote huo. Kuna haki ya dhamana pending appeal. Ndivyo ambavyo tumefanya kwa viongozi na wanachama wetu wengi in the past.

Tatu, hukumu ya leo haina athari yoyote kwa ubunge wa Sugu. Katiba inaweka masharti ya kifungo cha miezi sita au zaidi, na kwa makosa ya 'utovu wa uaminifu.' Uchochezi au kutoa lugha ya matusi sio makosa ya utovu wa uaminifu.

Nne, pamoja na kwamba sijaona nakala ya hukumu, adhabu ya kifungo bila faini kwa kosa la kwanza ni kinyume na sentencing principles. Hii ni mojawapo ya hoja zetu zilizoshinda katika kesi ya Mh. Juakali High Court mwaka jana.

Tano, hata kama atakaa gerezani muda wote huo, hukumu za kesi za kisiasa kama hii hazijawahi kuwapunguzia heshima wapigania haki popote pale duniani.

On the contrary, kifungo cha aina hii ni beji ya heshima kwa kila mpigania haki na uhuru. Orodha ya mifano ni ndefu sana: Nyerere (ijapokuwa yeye alilipa faini), Kenyatta, Mandela, Mugabe, Fidel Castro, etc.

Alichokifanya hakimu leo ni kuwaongeza Sugu na Masonga kwenye orodha hii ya heshima. They'll come out even bigger and stronger than when they went in.

Sita, naunga mkono pendekezo la Mh. Zitto kwamba wabunge wetu wote warekodi maneno aliyofungiwa nayo Sugu na kuyaweka mitandaoni ili watukamate na sisi pia.

Instead of agonising, let's organise and make this issue bigger and bigger mpaka wakimbie wenyewe au watukamate na kutufunga wote.

Na sio wabunge tu, tuhamasishe kila mwanachama wetu na kila anayechukizwa na uonevu huu ayarudie maneno haya ili nao wakamatwe na kufungwa.

Tumlazimishe Magufuli na watu wake waamue: waigeuze nchi nzima kuwa gereza moja kubwa, au akubali kusemwa kwa maneno na lugha asiyoipenda. Hiyo ndio maana pekee ya freedom of speech in a democracy.

Nawatakieni kila la kheri katika hii safari ndefu ya kuelekea kwenye haki.

Tundu Lissu
Acha kudanganya watu. Zingatia Katiba Sura ya kwanza, sehemu ya pili, ibara ya tisa.
Kama jk alipuuza kutukanwa siyo lazima kwa jpm. Matusi si mvua.
Anza wewe kuingia barabarani, yatakayofuata ni yako. Niliona jana picha ya sugu akienda kusikiliza hukumu yake mahakamani akiwa amelowa kama kondoo anayekwenda machinjioni. Ni suala lake na familia yake.
 
You keep provoking pambana na matibabu yako huko umekuwa kama mbwa ambaye akisikia hata upepo anabweka baada ya kujeruliwa.
Kujeruliwa-kujeruhiwa
Hizi elimu watu walizipatia wapi, kwenye shule zenye tundu moja la choo!
 
Acha kudanganya watu. Zingatia Katiba Sura ya kwanza, sehemu ya pili, ibara ya tisa.
Kama jk alipuuza kutukanwa siyo lazima kwa jpm. Matusi si mvua.
Anza wewe kuingia barabarani, yatakayofuata ni yako. Niliona jana picha ya sugu akienda kusikiliza hukumu yake mahakamani akiwa amelowa kama kondoo anayekwenda machinjioni. Ni suala lake na familia yake.
So what?
 
Laiti mbwembwe za chadema zingekua real huku mtaani,Tanzania isingekuwa hapa.Hawa jamaa Mahakama ni social networks na mahakimu ni wafuas wao wa mitandaoni.Mwisho wanataka Tanzania ibadilike
Real mitaani??? Wakiwa real si mkaishia kumuua akwilina au pale walikuwa kwenye social media??
 
Freedom after speech ndicho kikwazo kikubwa kwa huyu bwana mkubwa..

Big up Tundu Lissu, big up Sugu and Masonga....!!
  • Magu-fool kila siku anazidi kujishushia heshima kwa kupambana na Wapinzani na kwasasa ana kama 30% ya heshima ya Urahisi...!!!
  • Nina hakika mpaka anaondoka Ikulu sijui ni lini(muda ndo utaamua) he'll be 0% percent discredited...!!!
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI .

Erythrocyte,
Uko sahihi kabisa...!!Ndiyo maana Majambazi ya CCM na Serikali yao waliitaka roho ya TL..!!
Hapa inaturejesha kwenye Biblia kuhusu ndugu wawili KAINI na ABELI..! Kwamba Kaini alimuua ndugu yake Abeli kwa vile tu ALIMTOLEA MUNGU SADAKA ILIYO BORA...!!! Magufuli, CCM na Polisi ni kina KAINI na Tundu Lissu ni ABELI...!!!
Ikumbukwe kwamba KAINI alikuwa ni uzao wa NYOKA au SHETANI na Abeli alikuwa uzao wa ADAMU....!!
 
Laiti mbwembwe za chadema zingekua real huku mtaani,Tanzania isingekuwa hapa.Hawa jamaa Mahakama ni social networks na mahakimu ni wafuas wao wa mitandaoni.Mwisho wanataka Tanzania ibadilike
Nakupa pole chief
 
Utatumia barabara gani kumpokea ambayo jeshi letu adilifu halitafika?????Mtasubiri sana na huyo jamaa yenu mbunge wa hospital
Ubinaadamu kazi! Kumpokea mgonjwa aliyeshambuliwa vibaya vile kuna ubaya? Mbona mnampokeaga dayamondi na jeshi haliwafati??
Acha uchawi wako ndugu
 
Back
Top Bottom