12STONE
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 1,190
- 409
- Thread starter
- #21
Dah! Nilidhani nawe unatueleza yaleyale kwamba Tundu Lisu na Godfrey Lema wanahamia ACT!!! nilianza kutayarisha pa kuangukia nikizimia maana siasa za Tanzania hazieleweki vizuri no real known pre-determinants
Haaa haaaa Pole sana kwa mshituko.
mambo yako vizuri tu.