Tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2017, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa chadema Mh. Tundu Lissu alipigwa risasi mchana kweupe

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2017, Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa ChademaTz Mh. Tundu Lissu alipigwa risasi mchana kweupe mkoani Dodoma Akiwa katika majukumu yake ya kibunge.

Leo imetimia miaka 2 tangu shambulizi lililokusudia kumwua Mbunge mwenzetu Tundu Lissu. Tunamshukuru sana Mungu kwa uwezo wake na maajabu yake ambayo yamemweka hai mwenzetu na sasa amepona na kuweza kushiriki nasi katika mapambano ya kuhami na kukomaza demokrasia yetu

Siku ya Tarehe 7/9/2017 ilianza kama siku nyengine tu kwa Wabunge na Watanzania. Rais Magufuli alikuwa Ikulu akizungumzia sarakasi za makanikia, Tundu akiwa Bungeni akitimiza majukumu yake kwa kujadili Azimio la Malawi-Tanzania ( Mto Songwe). Ilipofika saa 7/8 mchana mzizimo

Serikali na vyombo vyake vya dola mtajiondoa kwenye lawama za shambulizi la AIBU la Lissu wetu pale tu mtakapotumia utaalam na weledi wenu wote kuwabaini na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria washenzi wale waliotekeleza shambulio lile. Mmetuambia mara kadhaa uwezo huo mnao.

Tukijidai kusahau shambulizi lile la kipumbavu kwa Tundu Lissu, ipo siku litajirudia ila hatujui ni lini na kwa nani. JINAI ina tabia ya kuendelea kuwepo isipokemewa, watenda jinai wasipobainika na sheria kuchukua mkondo wake.

.
 
Kama kweli alipigwa risasi mbona hakuenda kumjulisha Spika wa bunge, mpaka leo hajulikani aliko.
 
Acha apigwe tu hakuna namna

Cell phone Tower dump ndo keyword,

means record ya mnala wa simu wa eneo la tukio kwa mda wa tukio,
namba za simu zote zilizokuwepo eneo la tukio,

tracking movements za hizo namba kutoka eneo la tukio,
obviously kuna namba zingeonekana kuliacha eneo la tukio na kuuacha mji wa dom asap,

hizo ndo zingekuwa tracked na kuwa monitored na kupelekea kukamatwa kwa wahusika
 
Mungu ashukuruwe kwa kuendelea kumpa uhai Lissu.
Waliohusika (wasiojulikana) wapate mapigo hadi waombe msamaha,ila waeleze nia yao ovu hadharani.Vinginevyo waendelee kupukutika
 
Kila shetani lazima atakufa siku moja.

Meko lazima atabue hilo
 
Back
Top Bottom