Huwa anabana pua kama wewe unavyombania mumeo?Sauti ile ya Lema unasema anaunguruma! Kubana pua nako ni kuunguruma?
Wote waropokaji, hapo ni matusi mwanzo mwisho!
Makamanda hao wenye ushawishi na wasitindikiwa maneno yaliyojaa Hekima na kuwafanya kwao ni kazi rahisi KUWAVUA MAGAMBA makada na wanachama wengi wa CCM ili kuwavika MAGWANDA na kujiunga na kundi la ukombozi,
Ibainika wako Singida leo.
Mkutano utafanyika kwenye MNYINGA(MNINGA) Madukani kijiji na Kata ni MTUNDURU,Kuanzia saa nane mchana leo hii mpaka saa 12 jioni.
DELETE CCM NDIO MPANGO MZIMA.
Uwe na sikio la kusikio nitakuza kinachoendelea.
Hivi huko singida kuna wachaga kweli,
hata ww unakubali kumsikiliza mtu aliemtusi marehemu mzee wetu hayati mwl nyrere
Lema akipita tena Arusha kutakuwa na mkono Wa MTU walahi!!!
Wote waropokaji, hapo ni matusi mwanzo mwisho!