Tundu Lissu: Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru

...hutaki atoe maoni yake sio, unataka afunge mdomo ili wewe na wenzako muendelee kupiga makelele yenu Mbowe dikteta sijui na nini!, kama Mbowe huwa anajiteua mwenyekiti peke yake!, wacha ushamba.
Uzuri wengine tulikuwa tunawesema hivi hivi NCCR wanatuona maboya! Sasa Chadema itakuwa worse kuliko NCCR.
 
Hii ni heko kwako lisu
Je utapenya ktk kundi hili LA demokrasia mbovu ya nchi hii?
Bunge ni suluhisho kubwa lkn mpaka mpate ushawishi mkubwa bungeni lkn pia kwa tume hii mnaweza kushinda vitu 162?
Lisu kasema hoja jubwa lkn wabunge wengi n muhimu
 
Sasa subiri uchaguz mwakani. We tundu lissu ivi unayafaham masisiem yasivyo nahaya yatakomba majimbo yote labda yataliacha la cuf moja hapo ndotajua umuhimu wa kupigania tume huru kwa sasa.. We endeleeni na ngonjera zenu. Af mkiibuwa mje kutuambia tukaandamane yaan nitamtukana tusi moja tuu ambalo nitapigwa ban karne moja
Unazujua taratibu za kuondoa au kurekebisha sheria au utaratibu uliotamkwa na Katiba?
Tusaidie wewe, nj jukwaa lipi unaweza kulitumia kurekebisha katiba nje ya bunge?
 
Yaan kama wanataka et kupitia huko wasubiri maumivu ndugu hapa njia iliyobaji ni moja tuu ni kuandamana.. Ila vinginevyo hakuna labda tusubir magu atoke madarakan
 
Tume huru ipi anayoona inatakiwa kuwepo, ni ile ya kutangaza wapinzani wameshinda hata kama wameshindwa? Ni ile ambayo vyama vinajitangazia ushindi vyenyewe kama alivyofanya Maalim Seif 2015 ? Ni ile ambayo Mbowe akisema mshindi ni Fulani ni lazima ashinde ?

Katika suala la tume ya uchaguzi, malalamiko yalikuwepo toka enzi na enzi na si malalamiko ya msingi Bali ni malamiko ya kudai kuporwa ushindi ambako hawajawahi wala kutegemewa kushinda. Hawa ndio wapinzani wa Tanzania
CCM katika ubora wake , Hivi kuna siku CCM ilishinda Zanzibar ??? Yale majeshi yaliyozingira vituo yalikuwa nayo sehemu ya Tume ??
 
Halafu sumaye eti akae awe mwenyekiti wa CDM haya yangekuwa ni matusi kwa Watanzania achilia mbali Watanzania.Tanzania inahitaji watu wenye akili ya chuma kama Lissu,Zitto,sio huyu sumaye ambaye hata uPM sijui aliloga wapi huyu maana ni watu ambao aijawahi kuwaelewa kabisa .
 
Kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru.

Kwamba tumeridhika na viubunge na viudiwani tunavyopata every five years, etc. Kwamba ili tuweze kushinda na kuchukua dola lazima tuache kushiriki uchaguzi hadi hapo tutakapopata Tume Huru, etc.

Hoja hii ni potofu.

Tume Huru ya Uchaguzi haipatikani nje ya mapambano mapana ya kutafuta demokrasia katika nchi yetu. Tume Huru ni sehemu tu ya tatizo la msingi la nchi yetu: tatizo la ukosefu wa demokrasia.

Tume ya Uchaguzi imeundwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Inafanya kazi, by and large, kwa mujibu wa Katiba na Sheria zilizopo.

Kupigania Tume Huru maana yake ni kupigania Katiba Mpya; au angalau marekebisho ya Katiba iliyopo. Haiwezekani kupigania Tume Huru au marekebisho ya Katiba ya sasa in vacuo; inapiganiwa katika mazingira halisi ya kisiasa, kikatiba/kisheria na kitaasisi tunamoishi.

Kwa maneno mengine, ili upiganie Tume Huru lazima uwe na jukwaa la kusimamia. Iwe Bunge, au vyombo vya habari au mikutano ya hadhara, au kuchukua silaha na kwenda 'msituni', etc. Yote hayo ni majukwaa.

Sasa hoja ni je, tutumie jukwaa gani ili kupata Tume Huru??? Tukiacha kushiriki uchaguzi, tunabakia na jukwaa gani la kudai Tume Huru??? Mazingira ya vyombo vya habari, kama jukwaa la mapambano, ni rafiki na wezeshi kiasi gani??? Mikutano ya hadhara, jukwaa lingine muhimu, ni rafiki na wezeshi kiasi gani???

Ukiachia hii miaka ya Magufuli, je, mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani imekuwa mirahisi kiasi gani siku za nyuma kama majukwaa ya kudai demokrasia na Tume Huru???

Ukiachia wakati huu, vyombo vya habari vimekuwa rahisi kiasi gani kama majukwaa ya kidemokrasia??? Vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa rafiki na wezeshi kiasi gani katika madai yetu ya demokrasia na Tume Huru???

Ukweli ni kwamba maeneo yote haya yamekuwa na matatizo. Lakini hatujaacha kutumia fursa kidogo zilizokuwapo kudai demokrasia zaidi.

Hatuna uhuru wa vyombo vya habari sasa kuliko ilivyokuwa kabla ya Magufuli. Kuna matatizo mengi kwenye eneo hili kuliko zamani.

Lakini hakuna mtu anayedai vyombo vyetu vya habari viache kukusanya, kuandika na kusambaza habari hadi hapo tutakapopata uhuru kamili wa habari. Vyombo hivyo vinaendelea kufanya kazi zao katika mazingira halisi yaliyopo huku vikiendelea kudai uhuru wa habari.

Vivyo hivyo na sisi tunapaswa kuendelea kudai Tume Huru katika mazingira halisi ya kiuchaguzi yaliyopo.

Hatuwezi kususia jukwaa muhimu kama Bunge, licha ya matatizo yake mengi yaliyopo, unless jukwaa hilo lifungwe kabisa. Hatuwezi kususia uchaguzi, unless jukwaa la uchaguzi lifungwe kabisa, kama ilivyotokea majuzi kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji.

Mjadala huu unanikumbusha mjadala wa 'Mageuzi au Mapinduzi' ('Reform or Revolution') kati ya wanamapinduzi wa kijamaa wa Ulaya zaidi ya miaka mia moja iliyopita.

Wenye 'msimamo mkali' wa kimapinduzi walikuwa wanadai hakuna kushiriki harakati za kimageuzi kama vile mapambano ya kibunge; tufanye mapinduzi kwanza, etc.

Wengine wenye 'msimamo vuguvugu' wakidai kilele cha mapinduzi kinafikiwa kwa njia ya mageuzi ya kiuchaguzi, etc. Lenin aliwatuhumu wenye msimamo mkali kuwa wanasumbuliwa na 'ugonjwa wa utoto' ('an infantile disorder'!!!)

Na sisi pia hatutakiwi kuwa na ugonjwa huo. Kila jukwaa la mapambano ya kidemokrasia ni muhimu litumike. Kutumia njia mojawapo tu haitaleta matunda. Tunahitaji kutumia fursa zote zilizopo.
Mbona Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mliingia mitini?
 
Tundu Lissu inaelekea umeanza kukomaa. Utoto na utovu wa nidhamu vinaelekea kuisha. Lugha unayotumia sasa ni ya kiutu uzima! Kila mtu anaweza kusoma maandishi yako bila kugeukageuka - hata mbele ya wanawe. Kabla hujaumizwa ilikuwa siyo rahisi kusoma au kusikiliza hotuba zako. Keep it up (the metamorphosis).
 
Mnapogombea uchaguzi kwa utaratibu huu msije kulia lia juwa mmeibiwa kura. Sisi wenye akili tutawashangaa miaka 25 hamjapata suluhisho la kutoibiwa kura.mtakuwa wapumbavu. Mnafanya kitu kile kile kutegemea matokeo mengine.

Hamuwezi kususa uchaguzi mkuu hata siku moja maana mnasaka ruzuku na ubunge kwa masilahi yenu lakini ule wa serikali za mitaa, mnasusa kwakuwa hauleti masilahi kwenu.
 
Whether u like it or not: sisi wananchi tulio wengi tunapoteza imani kila siku zinavyokwenda. Hivyo kwa kiasi kikubwa hatutokaa foleni kubariki najisi itayofanywa. Sababu kubwa kama hizi za mh Lissu vyama vya upinzani hamko tayarikuunganisha nguvu (alliance). Na njia kepee ya kuunganisha alience ni kwa kuuwa vyama vyote vilivyopo na kuwa na chama kipya kikuu cha upinzani.

Mko tayari kusikiliza kilio cha wananchi au mpo tayari kusikiliza matumbo yenu.
Yours is just one of a hundreth of a wider spectrum for a solution,
 
Kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru.

Kwamba tumeridhika na viubunge na viudiwani tunavyopata every five years, etc. Kwamba ili tuweze kushinda na kuchukua dola lazima tuache kushiriki uchaguzi hadi hapo tutakapopata Tume Huru, etc.

Hoja hii ni potofu.

Tume Huru ya Uchaguzi haipatikani nje ya mapambano mapana ya kutafuta demokrasia katika nchi yetu. Tume Huru ni sehemu tu ya tatizo la msingi la nchi yetu: tatizo la ukosefu wa demokrasia.

Tume ya Uchaguzi imeundwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Inafanya kazi, by and large, kwa mujibu wa Katiba na Sheria zilizopo.

Kupigania Tume Huru maana yake ni kupigania Katiba Mpya; au angalau marekebisho ya Katiba iliyopo. Haiwezekani kupigania Tume Huru au marekebisho ya Katiba ya sasa in vacuo; inapiganiwa katika mazingira halisi ya kisiasa, kikatiba/kisheria na kitaasisi tunamoishi.

Kwa maneno mengine, ili upiganie Tume Huru lazima uwe na jukwaa la kusimamia. Iwe Bunge, au vyombo vya habari au mikutano ya hadhara, au kuchukua silaha na kwenda 'msituni', etc. Yote hayo ni majukwaa.

Sasa hoja ni je, tutumie jukwaa gani ili kupata Tume Huru??? Tukiacha kushiriki uchaguzi, tunabakia na jukwaa gani la kudai Tume Huru??? Mazingira ya vyombo vya habari, kama jukwaa la mapambano, ni rafiki na wezeshi kiasi gani??? Mikutano ya hadhara, jukwaa lingine muhimu, ni rafiki na wezeshi kiasi gani???

Ukiachia hii miaka ya Magufuli, je, mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani imekuwa mirahisi kiasi gani siku za nyuma kama majukwaa ya kudai demokrasia na Tume Huru???

Ukiachia wakati huu, vyombo vya habari vimekuwa rahisi kiasi gani kama majukwaa ya kidemokrasia??? Vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa rafiki na wezeshi kiasi gani katika madai yetu ya demokrasia na Tume Huru???

Ukweli ni kwamba maeneo yote haya yamekuwa na matatizo. Lakini hatujaacha kutumia fursa kidogo zilizokuwapo kudai demokrasia zaidi.

Hatuna uhuru wa vyombo vya habari sasa kuliko ilivyokuwa kabla ya Magufuli. Kuna matatizo mengi kwenye eneo hili kuliko zamani.

Lakini hakuna mtu anayedai vyombo vyetu vya habari viache kukusanya, kuandika na kusambaza habari hadi hapo tutakapopata uhuru kamili wa habari. Vyombo hivyo vinaendelea kufanya kazi zao katika mazingira halisi yaliyopo huku vikiendelea kudai uhuru wa habari.

Vivyo hivyo na sisi tunapaswa kuendelea kudai Tume Huru katika mazingira halisi ya kiuchaguzi yaliyopo.

Hatuwezi kususia jukwaa muhimu kama Bunge, licha ya matatizo yake mengi yaliyopo, unless jukwaa hilo lifungwe kabisa. Hatuwezi kususia uchaguzi, unless jukwaa la uchaguzi lifungwe kabisa, kama ilivyotokea majuzi kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji.

Mjadala huu unanikumbusha mjadala wa 'Mageuzi au Mapinduzi' ('Reform or Revolution') kati ya wanamapinduzi wa kijamaa wa Ulaya zaidi ya miaka mia moja iliyopita.

Wenye 'msimamo mkali' wa kimapinduzi walikuwa wanadai hakuna kushiriki harakati za kimageuzi kama vile mapambano ya kibunge; tufanye mapinduzi kwanza, etc.

Wengine wenye 'msimamo vuguvugu' wakidai kilele cha mapinduzi kinafikiwa kwa njia ya mageuzi ya kiuchaguzi, etc. Lenin aliwatuhumu wenye msimamo mkali kuwa wanasumbuliwa na 'ugonjwa wa utoto' ('an infantile disorder'!!!)

Na sisi pia hatutakiwi kuwa na ugonjwa huo. Kila jukwaa la mapambano ya kidemokrasia ni muhimu litumike. Kutumia njia mojawapo tu haitaleta matunda. Tunahitaji kutumia fursa zote zilizopo.
Hii dhana ni ya kweli.
Chama hicho husubiri hadi miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu ndipo inadai tume huru.
Hata wakati wa mchakato wa Katiba Mpya, JK alikubaliana nao wasimamishe mchakato washughulikie tume.
Wakakubali afu zii.
Sijui limbwata gani Lissu, Mbatia na Mbowe walikunywa kwa ile chai ya Ikulu.
 
wale wanaokubaliana na lissu na wanapendelea jukwaa la mtutu wa bunduki nao wasikae kimya sasa
 
Yaani kuna kitu gani huelewi hapo? Napata tabu Sana kugrade uwezo wako wa kuelewa Ku grade akili yako na ufahamu wako.
Kwahiyo Kwa time ya nzanzima kutangaza matokeo hewa ambayo hayapo ni sawa? Kutangaza Wana CCM walioshindwa kuwa ndo washindi. Hiyo ndiyo tume unayosema ni huru? Tume inayongozwa na chama cha mapinduzi kutekeleza matakwa yake? Itakuwaje huru wakati bosi wake ni mchezaji? Refer huyu ataamuaje kuhusu penalty inayoekekezwa Kwa bosi wake?
Tunis basi akili kidogo kabla hujapinga kitu. Unajiaibisha na unawaaibisha waliokuoeleka shule.

Kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi. Kuna dhana inajengwa kwamba viongozi wa Chama chetu hawataki kupigania uwepo wa Tume Huru.

Kwamba tumeridhika na viubunge na viudiwani tunavyopata every five years, etc. Kwamba ili tuweze kushinda na kuchukua dola lazima tuache kushiriki uchaguzi hadi hapo tutakapopata Tume Huru, etc.

Hoja hii ni potofu.

Tume Huru ya Uchaguzi haipatikani nje ya mapambano mapana ya kutafuta demokrasia katika nchi yetu. Tume Huru ni sehemu tu ya tatizo la msingi la nchi yetu: tatizo la ukosefu wa demokrasia.

Tume ya Uchaguzi imeundwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Inafanya kazi, by and large, kwa mujibu wa Katiba na Sheria zilizopo.

Kupigania Tume Huru maana yake ni kupigania Katiba Mpya; au angalau marekebisho ya Katiba iliyopo. Haiwezekani kupigania Tume Huru au marekebisho ya Katiba ya sasa in vacuo; inapiganiwa katika mazingira halisi ya kisiasa, kikatiba/kisheria na kitaasisi tunamoishi.

Kwa maneno mengine, ili upiganie Tume Huru lazima uwe na jukwaa la kusimamia. Iwe Bunge, au vyombo vya habari au mikutano ya hadhara, au kuchukua silaha na kwenda 'msituni', etc. Yote hayo ni majukwaa.

Sasa hoja ni je, tutumie jukwaa gani ili kupata Tume Huru??? Tukiacha kushiriki uchaguzi, tunabakia na jukwaa gani la kudai Tume Huru??? Mazingira ya vyombo vya habari, kama jukwaa la mapambano, ni rafiki na wezeshi kiasi gani??? Mikutano ya hadhara, jukwaa lingine muhimu, ni rafiki na wezeshi kiasi gani???

Ukiachia hii miaka ya Magufuli, je, mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani imekuwa mirahisi kiasi gani siku za nyuma kama majukwaa ya kudai demokrasia na Tume Huru???

Ukiachia wakati huu, vyombo vya habari vimekuwa rahisi kiasi gani kama majukwaa ya kidemokrasia??? Vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa rafiki na wezeshi kiasi gani katika madai yetu ya demokrasia na Tume Huru???

Ukweli ni kwamba maeneo yote haya yamekuwa na matatizo. Lakini hatujaacha kutumia fursa kidogo zilizokuwapo kudai demokrasia zaidi.

Hatuna uhuru wa vyombo vya habari sasa kuliko ilivyokuwa kabla ya Magufuli. Kuna matatizo mengi kwenye eneo hili kuliko zamani.

Lakini hakuna mtu anayedai vyombo vyetu vya habari viache kukusanya, kuandika na kusambaza habari hadi hapo tutakapopata uhuru kamili wa habari. Vyombo hivyo vinaendelea kufanya kazi zao katika mazingira halisi yaliyopo huku vikiendelea kudai uhuru wa habari.

Vivyo hivyo na sisi tunapaswa kuendelea kudai Tume Huru katika mazingira halisi ya kiuchaguzi yaliyopo.

Hatuwezi kususia jukwaa muhimu kama Bunge, licha ya matatizo yake mengi yaliyopo, unless jukwaa hilo lifungwe kabisa. Hatuwezi kususia uchaguzi, unless jukwaa la uchaguzi lifungwe kabisa, kama ilivyotokea majuzi kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji.

Mjadala huu unanikumbusha mjadala wa 'Mageuzi au Mapinduzi' ('Reform or Revolution') kati ya wanamapinduzi wa kijamaa wa Ulaya zaidi ya miaka mia moja iliyopita.

Wenye 'msimamo mkali' wa kimapinduzi walikuwa wanadai hakuna kushiriki harakati za kimageuzi kama vile mapambano ya kibunge; tufanye mapinduzi kwanza, etc.

Wengine wenye 'msimamo vuguvugu' wakidai kilele cha mapinduzi kinafikiwa kwa njia ya mageuzi ya kiuchaguzi, etc. Lenin aliwatuhumu wenye msimamo mkali kuwa wanasumbuliwa na 'ugonjwa wa utoto' ('an infantile disorder'!!!)

Na sisi pia hatutakiwi kuwa na ugonjwa huo. Kila jukwaa la mapambano ya kidemokrasia ni muhimu litumike. Kutumia njia mojawapo tu haitaleta matunda. Tunahitaji kutumia fursa zote zilizopo.
Lissu The Greatest

Back
Top Bottom