Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,020
Magufuli anauzika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka. Pole yenu nyie Team Mafisadi
Utendaji uliotukuka wa kuuzia nyumba ndugu na kuipa serikali hasara.
Magufuli anauzika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka. Pole yenu nyie Team Mafisadi
Mkuu waonee huruma Makamanda wa BAVICHA Maana wanazidi kuchanganyikiwa.... Hizi habari uwe unazitoa kwa mafunguNi mimi yule yule Lizaboni
Dr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.
Narudia tena hii ni riwaya kama riwaya zako zote unazoletaga hapa
Riwaya hii ilitakiwa iwe UWAZI au IJUMAA
Yaani kukataa kuwa mateka wa Fisadi Lowassa ndiyo kawaangasha?Dr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.
Dr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.
Sasa majembe yenu yanabaki kuwa LOWASSA, ROSTAM, CHENGE NA KARAMAGI. Hkika siasa ni mchezo mchafu.......tathmini ya kisiasa inaonesha faida kubwa kwa Lowassa kuliko kuzira kwa Slaa, Mnyika na wenzaooooo... imekula kwao, waende ACT