DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Hata ingekua ivyo,sioni ni kwa jinsi gani ccm mtanusurika.
Dr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.
Linajaa maji hili we fuatilia ya chadema&ukawa tu!
Magufuli anauzika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka. Pole yenu nyie Team Mafisadi
Ni mimi yule yule Lizaboni
Ni mimi yule yule Lizaboni
Dr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.