Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

Inaonekana CHADEMA wakiingia madarakani Mtei atatangazwa kuwa Baba Mpya wa Taifa
 
  • Thanks
Reactions: cpt
mkuu unanikumbusha enzi za mwl kaijage na thread za zitto,sasa imekuwa wewe na thread zako za kuiponda CDM
 
Lizaboni

Kazi uliopewa huifanyi wewe kutwa kuwataja viongozi wa CDM na Ukawa. Ningekuwa mimi Nappe ningekatisha ajira yako .
 
Last edited by a moderator:
mkuu unanikumbusha enzi za mwl kaijage na thread za zitto,sasa imekuwa wewe na thread zako za kuiponda CDM
Mkuu, nilikuwepo kabla ya Mwl. Kaijage na nitaendelea kuwepo baada yake
 
Mwaka huu wanalo,povu linawatoka kila muda lowassa anapotajwa,sasa wewe ndo Dr Silaa? kumsemea?yeye aliongea kuwa yuko CDM,na ataendelea kuwa,wewe na breaking news sijui za wapi,hamchomoki mwaka huu,mliona hafai CCM, sasa yuko CDM amekuwa muhimu kutwa lowassa mtuache tupange yetu,2015 ndo ukombozi kuanzia madiwani mpaka urais
 
Mkuu una moyo sana unabadilisha chupa tu lakini WINE ni ile ile.
 
Na utueleze mrithi wa Mwenyekiti wa CCM baada ya Oct,25 baada ya JK kustaafu maana Makufuli hatakuwa Rais.

CC; minyoo jamaa yako kaibuka na mpya
 
Last edited by a moderator:
Mdau Lizaboni hebu rudi kwenye uzi wa Rushwa ya katibu mwenezi wa CHAMA DOLA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom