Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

Kwa jinsi mnavyo jua kugeukana, tunawasubiri mgeukane muda si mrefu, badala ya UKAWA utakua UKIWA
 
Kama ni kweli slaa ameonyesha udhaifu wa hali yajuu.nilikuwa namfagilia sana lakini kwa hili aende zake tu.padri gani hajui kusamehe,kama alikuwa na ushahidi wa lowasa kwa nn hakumpeleka mahakamani?Nenda zako msaliti wa pili toka zzk.TUKO KWENYE UKOMBOZI WA NCHI HATUTAKI MCHEZO NA MTU.
 
Wadau amani iwe kwenu.

Taarifa nilizopata hivi punde kutoka ndani ya CHADEMA zinasema kuwa Tundu Lissu ndiye atakayemrithi Dr Slaa endapo chama kitapata taarifa rasmi za kujiuzulu kwake. Chanzo hicho kinasema kuwa tayari Dr Slaa ameandika barua ya kujiuzulu na imefika kwenye mamlaka husika.

Chanzo hicho kinasema kuwa baada ya ujio wa Lowasa, hali ndani ya chama hicho ilikuwa tete hasa baada ya Tundu Lissu, John Mrema, John Mnyika na Dr Slaa kuanza mgomo wa kutoafiki maamuzi ya chama ya kumchukua Dr Slaa. Chanzo hicho kimenitokeza kuwa, chanzo cha mgomo huo ni kutokana na kukerwa na kauli ya mwasisi wa chama hicho, Edwin Mtei aliyetishia kuwafukuza viongozi hal endapo wangeendelea kuwa na msimamo wa kupinga ujio wa Lowasa. Kutokana na hali hiyo, chanzo hicho kimenidokeza kuwa ilibidi Freeman Mbowe amuombe Mzee Mtei abatilishe msimamo wake wa kuwafukuza wanasiasa hao.

Kutokana na maombi hayo ya Mbowe kwa Mtei, hatimaye deal lilifanyika ambapo juzi Jumatano kilifanyika kikao cha falagha baina ya Lissu, Mbowe na Mtei. Katika kikao hicho Lissu alisema kuwa aliwafikishia ujumbe wenzake wa kuhudhuria kikao hicho isipokuwa wamekataa. aidha, Lissu alitoa maelezo yake kwa nini aliungana na Dr Slaa kupinga ujio wa Lowasa. kubwa alilolieleza ni tuhuma za ufisadi zinazomkabili Lowasa na kwamba watakuwa na wakati mgumu wawapo majukwaani kumnadi mwanasiasa huyo.

Hata hivyo, Mzee Mtei aliwaeleza kuwa tishio la kuwafukuza wanasiasa hao lilitolewa kwa ghadhabu na kwamba suluhu zaidi inahitajika kuliko mabavu. Pia alisema kuwa wakati uliopo mchango wao unahitajika sana na yeye yupo tayari kufuta kauli yake endapo watamhakikishia kuwa watakuwa tayari kumnadi Lowasa na kubadilisha fikra za Watanzania ili waamini kuwa tuhuma za ufisadi hazikuwa za msingi. Aidha, kutokana na Dr Slaa kuendelea na mgomo, Mzee Mtei alimuomba Lissu kujitokeza kwenye Media na kutoa maelezo kuwa yupo pamoja na Lowasa. Aidha, Lissu pia aeleze kwa nini Lowasa alijumuishwa kwenye List of Shame na aeleze kwamba ni yeye ndiye aliyeandaa orodha hiyo na kwamba alimpa tu Dr Slaa aisome. Likifanyika hilo, Mzee Mtei alisema kuwa watakuwa wamefanikiwa kuondoa List of Shame kutoka mikononi mwa Dr Slaa na kwamba kazi ya kumsafisha Lowasa itakuwa nyepesi.

Aidha, kwa vile Dr Slaa ameonekana kuendelea kukataa kumuunga mkono Lowasa, kikao hicho kilifanya maamuzi ya kumteua Tundu Lissu kujaza nafasi ya Dr Slaa. Kutokana na maamuzi hayo, ni dhahiri kwamba, Tundu Lissu ndiye atakayekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuziba nafasi ya Dr Slaa.

Kinachosubiriwa kwa sasa ni kutolewa kwa taarifa rasmi ya kujiuzulu Dr Slaa ndipo taratibu za kichama zifanyike.

Mjumbe hauawi.

Lizaboni huo ukuwadi wako wa ccm Safari hii utachanika msamba, thread zako za maji taka peleka lumumba.
 
Ulivyo malizia ujumbe wako inanitia shaka hata kuamini hizi propaganda. Unaonekana wazi kutojiamini ndo maana unamalizia mjumbe hauawi
 
Hivi kuna watu wanataka kuamini propaganda hizi za kitoto? Hizo ni tungo za wafa maji. Dawa imewaingia. UKAWA NI MOJA WALA HAKUNA MGOGORO WOWOTE.
 
lizaboni umekuwa msemaji wa ukawa? kila posti yako lazima umtaje lowasa na ukawa....umenyimwa buku 7 Lumumba?
 
Chadema kinaenda na mabadiliko mpka ukomboz wa kweli upatikane sio miaka yote anasimamishwa mgombe mmoja tu
2005 mbowe
2010 slaa
2015 lowassa na ndo rais
 
Kama ni kweli slaa ameonyesha udhaifu wa hali yajuu.nilikuwa namfagilia sana lakini kwa hili aende zake tu.padri gani hajui kusamehe,kama alikuwa na ushahidi wa lowasa kwa nn hakumpeleka mahakamani?Nenda zako msaliti wa pili toka zzk.TUKO KWENYE UKOMBOZI WA NCHI HATUTAKI MCHEZO NA MTU.

Hi Chidodolo,huyo lizaboni,asikupe shaka anajifurahisha nafsi yake hakuna kitu kama hicho hivyo asikuharibie siku.Anachofanya ni kucreate chuki dhidi ya Dr na wafuasi wake tats divide and rule.
 
Lizaboni anadhani ndiye anajua ukachero ndani ya vyma vyote kumbe kanyabwoya
11800038_735024306642419_230355770383400585_n.jpg
 
Uongo wakonuna
Unajidhiirisha unapodai

eti Mtei kasema atawafukuza kienyeji

hivooooooo Hakuna kitu kama hicho
 
Kama ni kweli slaa ameonyesha udhaifu wa hali yajuu.nilikuwa namfagilia sana lakini kwa hili aende zake tu.padri gani hajui kusamehe,kama alikuwa na ushahidi wa lowasa kwa nn hakumpeleka mahakamani?Nenda zako msaliti wa pili toka zzk.TUKO KWENYE UKOMBOZI WA NCHI HATUTAKI MCHEZO NA MTU.

Wewe acha kukurupuka hizo ni propaganda za magamba Dr. sio mjinga kiivo au na wewe gamba.
 
Mtampigisha mbizi ndo auzike nyau nyie

Yan kiongoz kama uyo mwenye maneno "kama huna pesa piga mbizi" ana tofaut gan na yule " ikibid wananchi wale majan lalin ndege ya rais ni lazima inunuliwe"
 
Akili/ubongo /philosophy ya DK slaa haikubaliani na lowasa kupokelewa na wakati huo huo kuwa mgombea urais bila kuonja nginjangija ya kukijenga chama
 
Endelea kuota lizaboni ukistuka uliza katibu mkuu wa cdm ni nani
 
Nimekuta sehemu hiii;
Wadau amani iwe kwenu.

Taarifa nilizopata hivi punde kutoka ndani ya CHADEMA zinasema kuwa Tundu Lissu ndiye atakayemrithi Dr Slaa endapo chama kitapata taarifa rasmi za kujiuzulu kwake. Chanzo hicho kinasema kuwa tayari Dr Slaa ameandika barua ya kujiuzulu na imefika kwenye mamlaka husika.

Chanzo hicho kinasema kuwa baada ya ujio wa Lowasa, hali ndani ya chama hicho ilikuwa tete hasa baada ya Tundu Lissu, John Mrema, John Mnyika na Dr Slaa kuanza mgomo wa kutoafiki maamuzi ya chama ya kumchukua Dr Slaa. Chanzo hicho kimenitokeza kuwa, chanzo cha mgomo huo ni kutokana na kukerwa na kauli ya mwasisi wa chama hicho, Edwin Mtei aliyetishia kuwafukuza viongozi hal endapo wangeendelea kuwa na msimamo wa kupinga ujio wa Lowasa. Kutokana na hali hiyo, chanzo hicho kimenidokeza kuwa ilibidi Freeman Mbowe amuombe Mzee Mtei abatilishe msimamo wake wa kuwafukuza wanasiasa hao.

Kutokana na maombi hayo ya Mbowe kwa Mtei, hatimaye deal lilifanyika ambapo juzi Jumatano kilifanyika kikao cha falagha baina ya Lissu, Mbowe na Mtei. Katika kikao hicho Lissu alisema kuwa aliwafikishia ujumbe wenzake wa kuhudhuria kikao hicho isipokuwa wamekataa. aidha, Lissu alitoa maelezo yake kwa nini aliungana na Dr Slaa kupinga ujio wa Lowasa. kubwa alilolieleza ni tuhuma za ufisadi zinazomkabili Lowasa na kwamba watakuwa na wakati mgumu wawapo majukwaani kumnadi mwanasiasa huyo.

Hata hivyo, Mzee Mtei aliwaeleza kuwa tishio la kuwafukuza wanasiasa hao lilitolewa kwa ghadhabu na kwamba suluhu zaidi inahitajika kuliko mabavu. Pia alisema kuwa wakati uliopo mchango wao unahitajika sana na yeye yupo tayari kufuta kauli yake endapo watamhakikishia kuwa watakuwa tayari kumnadi Lowasa na kubadilisha fikra za Watanzania ili waamini kuwa tuhuma za ufisadi hazikuwa za msingi. Aidha, kutokana na Dr Slaa kuendelea na mgomo, Mzee Mtei alimuomba Lissu kujitokeza kwenye Media na kutoa maelezo kuwa yupo pamoja na Lowasa. Aidha, Lissu pia aeleze kwa nini Lowasa alijumuishwa kwenye List of Shame na aeleze kwamba ni yeye ndiye aliyeandaa orodha hiyo na kwamba alimpa tu Dr Slaa aisome. Likifanyika hilo, Mzee Mtei alisema kuwa watakuwa wamefanikiwa kuondoa List of Shame kutoka mikononi mwa Dr Slaa na kwamba kazi ya kumsafisha Lowasa itakuwa nyepesi.

Aidha, kwa vile Dr Slaa ameonekana kuendelea kukataa kumuunga mkono Lowasa, kikao hicho kilifanya maamuzi ya kumteua Tundu Lissu kujaza nafasi ya Dr Slaa. Kutokana na maamuzi hayo, ni dhahiri kwamba, Tundu Lissu ndiye atakayekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuziba nafasi ya Dr Slaa.

Kinachosubiriwa kwa sasa ni kutolewa kwa taarifa rasmi ya kujiuzulu Dr Slaa ndipo taratibu za kichama zifanyike.

Narudia ni tetesi.
 
Historia inaonesha kuwa vipindi fulani katika mstakhabali wa nchi unalazimisha kupima nini ni janga zaidi ya jingine. Marehemu Samora Machel na Frelimo walikubali kutia saini Mkataba wa Nkomati wa ushirikiano na Makaburu kama mkakati wa kujinusuru na kutoa nafasi kukabiri janga kubwa kuliko zote wakati huo la kuondolewa serikali ya Frelimo na Renamo ikisaidiwa na Makaburu. Wakomunisti wa Afrika ya Kusini waliingia ubia na ANC ya mabweneyenye weusi ili kutokomeza kwanza ukaburu na mapambano na ubepari yaje baadaye. Katika Vita Kuu ya Dunia ya Pili wakomunisti walishirikiana na mabwenyenye wa mrengo wa kulia na kati kutokomeza janga kubwa zaidi wakati huo la ufashisti, yaani ubepari wa mrengo wa wa kulia kupitiliza. Hivyo hivyo mapambano ya kuleta uhuru wa Tanganyika yalivyo unganisha nguvu za mabwenyenye wazungu na waasia pamoja na zile za wakulima na wafanyakazi wa rangi zote kwa azimio lile la mkutano wa mkuu wa Tanu wa 1958 pale Tabora. Hivyo hivyo Mandela na ANC waliingia "urafiki wa mashaka" na De Clerk kiongozi wamakaburu ili kuondolewa ukaburu kuwe kwa amani ya "kula matapishi" ya kuwalaani huko nyuma kuwa ni wabaya wa Mwaafrika!!

Mabadiriko ya haraka haraka yanayoendelea hapa Tanzania yenye lengo la kuondoa CCM madarakani kama chama dola kinachodumaza na kudhoofisha ushindani wa kisiasa miongoni mwa mabwenyenye watabaka tawala Tanzania ni mbadiliko yatayoleta neema kwa Watanzania wote. Ile tu CCM kudhoofishwa na kujiunga UKAWA kwa Lowasa ni kuvuja kwa pakacha ambayo ni nafuu ya mchukuzi.....Nikuondoa kizingiti kikuu cha kushamiri kwa demokrasia pana na maendeleo endelevu Tanzania ambacho ni kuhodhiwa na ukiritimba wa chama dola cha CCM kinachojinadi kama chama cha mrengo wa kushoto wakati ni chama cha mrengo wa kulia kama vyama vyote vya siasa Tanzania kwa sasa.

Kumeguka kwa CCM-Mambo Leo kama taasisi ya kakundi kawana mtandao ulioingiza serikali ya sasa ya Tanzania madarakani mwaka 2005 ni faraja kwa wote wenye kuitakia mema nchi hii na ni kiashiria cha kukomaa kwa vuguvugu la ukombozi wa pili wa Tanzania utakao chukua sura ya demokrasia zaidi ilikuwa na na maendeleo endelevu zaidi yapatikane kupitia kupatikana nafasi chanya zaidi ya kupitishwa kwa Katiba Mpya kama ilivyopendekezwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba. Kwa mara ya kwanza vyama vy siasa vya upinzani kiuhalisia ( tofauti na vile ambavyo vimebebwa na watawala wa sasa kwa lengo la kuua upinzani wa kisiasa kijanja kijanja kama ACT- Wazalendo) sasa vimeunganishwa na kupigania Katiba Mpya iliyotokana na maoni ya wananchi yaliyokusanywa na Tume ya Jaji Warioba ( UKAWA) badala ya kuunganishwa na kutaka kuondoa CCM madarakani pekee.

Ghafla mwanasiasa mwenye nguvu nyingi ndani ya chama cha kifisadi cha CCM, mwanasiasa ambaye umaaarufu wake umetokana na kuongoza mtandao uliouweka utawala wa sasa wa CCM madarakani, Ndugu Edward Lowasa, amekasirishwa na kukatwa jina lake na aliodhani ni rafiki zake ndani ya CCM na kuamua kusema basi na lolote liwe kwa kujiunga na vuguvugu la kupigania katiba mpya!! Naye sasa kang'amua kuwa Katiba ya sasa na ile Pendekezwa ni za ovyo maana haziruhusu kuwepo mgombea huru bila mizengwe. Hasira za Lowasa zimezaa tunda zuri la kug'amua kuwa Watanzania wanaitaji mabadailiko kupitia Katiba Mpya iliyobebwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba. Hasira hizi za mkizi ni furaha ya kunguru na ni busara kwa viongozi wa Chadema na UKAWA kwa ujumla kutoongopa "kula matapishi yao" kwa kumkaribisha Ndugu Lowasa ...huyu huyu waliomwita fisadi... kujiunga na UKAWA na kugombea urais. Nafasi ya kihistoria imejitokeza ya kukiondoa CCM madarakani kwa amani!!

Sishangai wasaliti wa vuguvugu la kukiondoa CCM madarakani wanatushauri sisi Watanzania wenye shauku ya kuutumia upenyo huu wa mpasuko ndani ya CCM kukiondoa CCM madaraka!!!Eti tuombe radi kwa" kula matapishi yetu" wote tulio wahi kumwita Lowasa fisadi! Wao wanataka tuendelee kuvumilia kutawaliwa na CCM labda kwa miaka mitano au zaidi hivi mpaka chama kipya cha watakatifu kiitwacho ACT-Wazalendo kitakapo kuwa tayari kututawala badala ya CCM!! Sishangai kusikia ushauri huu kutoka kwa wasaliti hawa ambao kazi yao hata huko nyuma imekuwa nikuudhoofisha upinzani dhidi ya CCM na kukisaidia CCM kiendeleee kuwa madarakani!! Hawa jamaa ni wasomi sana na ni wajanja sana, ilo lazima kulikiri!!!

Sitashanga kama haya ninayoyasema yatapigwa madogo na wasaliti hawa!! Historia itakapoandikwa baada ya UKAWA kupata viti vingi zaidi Bunge lijalo au hata kuuchua urais na kupata Katiba Mpya iliyobebwa ndani ya Rasimu ya Pili ya Tume ya Rais iliyoongozwa na Jaji Warioba itawapa hukumu yao stahiki, wajanja na welevu hawa! Bila shaka wanaoomba UKAWA ishindwe kupata viti vingi Bunge lijalo na iukose urais na hivyo tuendelee kutawaliwa na CCM na wao wapate viti vya kutosha kuwa viongozi wakuu wa eti upinzani muruwa wenye maadili ya Azimio la Arusha Tanzania!! Ni haki yao ya binadamu kuendelea na matumaini haya kama na sisi tulivyo na haki ya kuendelea na matumani yetu ya uwezakano wa ushindi mnono chini ya UKAWA dhidi ya ukiritimba wa chama kimoja chama dola cha CCM!

Mwl. Lwaitama
 
Wadau amani iwe kwenu.

Taarifa nilizopata hivi punde kutoka ndani ya CHADEMA zinasema kuwa Tundu Lissu ndiye atakayemrithi Dr Slaa endapo chama kitapata taarifa rasmi za kujiuzulu kwake. Chanzo hicho kinasema kuwa tayari Dr Slaa ameandika barua ya kujiuzulu na imefika kwenye mamlaka husika.

Chanzo hicho kinasema kuwa baada ya ujio wa Lowasa, hali ndani ya chama hicho ilikuwa tete hasa baada ya Tundu Lissu, John Mrema, John Mnyika na Dr Slaa kuanza mgomo wa kutoafiki maamuzi ya chama ya kumchukua Dr Slaa. Chanzo hicho kimenitokeza kuwa, chanzo cha mgomo huo ni kutokana na kukerwa na kauli ya mwasisi wa chama hicho, Edwin Mtei aliyetishia kuwafukuza viongozi hal endapo wangeendelea kuwa na msimamo wa kupinga ujio wa Lowasa. Kutokana na hali hiyo, chanzo hicho kimenidokeza kuwa ilibidi Freeman Mbowe amuombe Mzee Mtei abatilishe msimamo wake wa kuwafukuza wanasiasa hao.

Kutokana na maombi hayo ya Mbowe kwa Mtei, hatimaye deal lilifanyika ambapo juzi Jumatano kilifanyika kikao cha falagha baina ya Lissu, Mbowe na Mtei. Katika kikao hicho Lissu alisema kuwa aliwafikishia ujumbe wenzake wa kuhudhuria kikao hicho isipokuwa wamekataa. aidha, Lissu alitoa maelezo yake kwa nini aliungana na Dr Slaa kupinga ujio wa Lowasa. kubwa alilolieleza ni tuhuma za ufisadi zinazomkabili Lowasa na kwamba watakuwa na wakati mgumu wawapo majukwaani kumnadi mwanasiasa huyo.

Hata hivyo, Mzee Mtei aliwaeleza kuwa tishio la kuwafukuza wanasiasa hao lilitolewa kwa ghadhabu na kwamba suluhu zaidi inahitajika kuliko mabavu. Pia alisema kuwa wakati uliopo mchango wao unahitajika sana na yeye yupo tayari kufuta kauli yake endapo watamhakikishia kuwa watakuwa tayari kumnadi Lowasa na kubadilisha fikra za Watanzania ili waamini kuwa tuhuma za ufisadi hazikuwa za msingi. Aidha, kutokana na Dr Slaa kuendelea na mgomo, Mzee Mtei alimuomba Lissu kujitokeza kwenye Media na kutoa maelezo kuwa yupo pamoja na Lowasa. Aidha, Lissu pia aeleze kwa nini Lowasa alijumuishwa kwenye List of Shame na aeleze kwamba ni yeye ndiye aliyeandaa orodha hiyo na kwamba alimpa tu Dr Slaa aisome. Likifanyika hilo, Mzee Mtei alisema kuwa watakuwa wamefanikiwa kuondoa List of Shame kutoka mikononi mwa Dr Slaa na kwamba kazi ya kumsafisha Lowasa itakuwa nyepesi.

Aidha, kwa vile Dr Slaa ameonekana kuendelea kukataa kumuunga mkono Lowasa, kikao hicho kilifanya maamuzi ya kumteua Tundu Lissu kujaza nafasi ya Dr Slaa. Kutokana na maamuzi hayo, ni dhahiri kwamba, Tundu Lissu ndiye atakayekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuziba nafasi ya Dr Slaa.

Kinachosubiriwa kwa sasa ni kutolewa kwa taarifa rasmi ya kujiuzulu Dr Slaa ndipo taratibu za kichama zifanyike.

Mjumbe hauawi.

Wewe kama hujachanganyikiwa basi umevurugwa au hayo yote mawili yanakukabili,Dr slaa yupo ofisi anapiga kazi,wewe cha msingi jiandae kutumia vizuri hako ka Mshahara kako vizuri na upunguze kwenda kwenye maonyesho ya vijana maarufu maana wanakuchuna kwa urofa wako,pia v8 ya serikali tunaihitaji ikiwa salama
 
Back
Top Bottom