Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions).

Tunaamini huu pia ndio msimamo wa CHADEMA kwani hawajawahi kujitenga nao. Kwa vile sasa tuko kwenye maridhiano ni bora CHADEMA mliweke hili wazi na mna fursa hiyo 21.01.2023 kwenye mkutano wenu wa hadhara Mwanza na kanda ya ziwa- kanda ya kwao na JPM.
162033367_1330017047375929_831188534219967358_n.jpg
Umesema "kwa vile mpo kwenye maridhiano"
Unafikiri hayo maridhiano ni kutengenza uharibifu uliosababishwa na nani?
Kama ni uharibifu uliosababishwa na Magu, unadhani kungekuepo na jambo la maridhiano katika uhai wa mtu yule yule anaeharibu na kuufurahia uharibifu?
Jibu ni Hapana!!
 
position yourself katika mazingira ya lisu au kaka/mdogo wa watu waliopotezwa enzi za jamaa kama ben saa nane na wengine wengi, achilia mbali walioteswa na jpm as mfariji mkuu alipotezea tu...... Kwa Lisu hata ibada za kumuombea polisi waliwafuata watu katika nyumba za ibada wasimuombee lisu apone. Kimsingi utawala wa jpm ulitaka Lisu afe tu.....then try to adjust your lame argument
Mkuu yeye Lissu si alikuwa anapambana na serikali, sasa wewe ulitarajia apewe tuzo gani zaidi ya hiyo.
Ata CIA ukienda tofauti na mipango ya nchi yao unaliwa kichwa!
 
Umesema "kwa vile mpo kwenye maridhiano"
Unafikiri hayo maridhiano ni kutengenza uharibifu uliosababishwa na nani?
Kama ni uharibifu uliosababishwa na Magu, unadhani kungekuepo na jambo la maridhiano katika uhai wa mtu yule yule anaeharibu na kuufurahia uharibifu?
Jibu ni Hapana!!
Maridhainoyalianza kutafutwa hata kabla ya JPM hajawa raisi wala kufikiria kuwa
wapinzani-722362.jpg
 
Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita...
Kwani wewe kifo cha shetani Magufuli hukufurahia? Au ndiyo ile ya kujionyesha mbele ya machawa wenzako kuwa ulisikitika kifo chake!

Kumbuka hata machawa wa CCM walishangilia na kuchekea chooni kifo cha mshenzi yule sasa sisi wengine ni nani tusimshukuru Mungu kwa kutuondolea nduli yule!
 
Mfano lissu angekuwa baba yako halafu akapigwa risasi zile ungemfurahia magufuli?
Mimi nisingeshangaa maana kila unachofanya kina matokeo hasi au chanya. Serikali yoyote Duniani ina mipango yake, sasa ukitokea wewe unapinga mipango yake, unafikiri nini kitakupata, aidha ufe au upone kwa kukimbia nchi. Unafikiri Kambona alikuwa mjinga kukimbia nchi baada ya mission yake ya kupinga sera za serikali kubuma!
 
Kwani wewe kifo cha shetani Magufuli hukufurahia? Au ndiyo ile ya kujionyesha mbele ya machawa wenzako kuwa ulisikitika kifo chake!

Kumbuka hata machawa wa CCM walishangilia na kuchekea chooni kifo cha mshenzi yule sasa sisi wengine ni nani tusimshukuru Mungu kwa kutuondolea nduli yule!
Unafurahia nini kana kwamba Magufuli ndiye wa kwanz ana wa mwisho kufa?
 
Back
Top Bottom