Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa

Wanasheria wa Lissu wangekubaliana jamaa aamue kukaa kimya,,ili hao jamuhuri watimize hyo adhma waliyo ipanga ya kumfunga kwa haraka badala kuendelea kupoteza muda wakati hukumu waliyo ipanga lazima waitekeleze.. Lisuu Amepambana imetosha,,rekodi zipo.
 
Then ndio maji yatatoka mikoa yote? Mshahara wako utaongezeka?

Folen za dar zitapungua?

Shule zote zitakuwa na vyoo.?

Wizi na ufisadi ndio vitapungua?
tuliza mihemko na porojo gentleman :KEKLEO:
 
NI MUHIMU LISU AKAWA NA ADABU KIDOGO MAHAKAMANI VINGINEVYO ATASOTA MNO KOROKORONI KABALA YA HUKUMU YA MILELE HAJITOKA :KEKLEO:
Mwambie Baba yako kwenu Huko kijinini aache uchawi alafu ukishamaliza Rudi Kwa TUNDU LISSU
 
Wanasheria wa Lissu wangekubaliana jamaa aamue kukaa kimya,,ili hao jamuhuri watimize hyo adhma waliyo ipanga ya kumfunga kwa haraka badala kuendelea kupoteza muda wakati hukumu waliyo ipanga lazima waitekeleze.. Lisuu Amepambana imetosha,,rekodi zipo.
Lissu asikae kimya ili tujue uongo/ukweli wa hao Jamhuriya.
Huwezi kususia kima shamba la mhindi.
 
NI MUHIMU LISU AKAWA NA ADABU KIDOGO MAHAKAMANI VINGINEVYO ATASOTA MNO KOROKORONI KABALA YA HUKUMU YA MILELE HAJITOKA :KEKLEO:
POLEPOLE 😔 🥺 ALISEMA IVYO IVYO KOSA LA POLEPOLE LILIKUA NINI?! UNAJUA DUNIA SIO SEHEMU YA MILELE..

GENTLEMAN NAONA UPO KAZINI NDUGU ILA MOYONI NAJUA UNAJUA DUNIA INAJUA..
 
GENTLEMAN,
KAZI YANGU NI KUELEZA UKWELI MTUPU TENA KWENYE MAMABO YA MSINGI TU,

JUKUMU HILO HALICHOSHI KWASABABU NI KWA NEEMA NA BARAKA ZA MUNGU TU NA SI VINGINEVYO.
ISHI NA UKWELI HUO MTUPU GENTLEMAN PAMOJA NA WADAU WENGINE WA JF:CouldYouNot:
 
Siku 307 kesi imesikilizwa mara 14, gentleman wanasheria na wadau mbali mbali wameshaur na for sure lissu ni tishio kwa mama SAMIA na CHAWA WAKE WOTEEEEEEE HUKO CCM.

Haina tija Lissu kuendelea kusota GEREZANI kwa mashitaka ya michongo..

Kila mwenye nia njema na hili taifa anajua kua kwenye hili CCM inazidi kupoteza MVUTO NA KUAMINIWA NA watanzania wengi (majority)
 
gentleman,
huyo ni kibaraka muhaini,
kusota korokoroni ni haki ya muhaini yeyote yule duniani, na for sure anastahili hata kukaa zaidi ya siku elf2 bila chochote kuskizwa dhidi yake, ili iwe fundisho kwa waropokaji vibaraka wengine wenye tabia nonsense kama huyo muhaini.

suala la mvuto sijui ni wa kimapenzi au vinginevyo, mdeal nalo huko kwenye chama chenu.
CCM ina dhamana ya wananchi na ina wajibu wa kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea waTanzania wote maendeleo na si vinginevyo,

Hakuna kitisho cha usalama tena Tanzania :CouldYouNot:
 
Encerramos esta discussão de maneira educada e civilizada...

Nikuage kwa lugha ya wapenda haki na amani..
 
Back
Top Bottom