Tundu Lissu: I Am Coming Home

Tundu Lissu: I Am Coming Home

Bahati nzuri hakuwahi kusema hatorudi na siku zote alikuwa akisisitiza akiambiwa na madactari wake sasa upo fiti waweza kwenda nyumbani yeye kesho yake atakuja TANZANİA.

Karibu mheshimiwa huna kosa ulilowatendea watanzania wewe ni mpiganaji na mpambanaji, mjenge hoja mzuri sana karibu TANZANİA ni yetu sote hakuna mwenye mamlaka ya kukuzuia usirejee.
 
Nini kuwa chini sema ni 0 kabisa ila ukweli upo kuwa wbank wamesitisha mabilioni waliyokuwa wamekusudia kuwafadhili baada ya kuwabagua watoto wa kike,hutaki kamuulize chakubanga
Wewe jamaa IQ yako ipo chini sana, huwezi kufanya argument yoyote ya maana zaidi ya ushabiki maandazi

In God we Trust
 
Safari hii lazima mtokwe na makamasi kama kondoo wa kitulo
Wewe kweli mmawia, hii ni jamii ya wakimbizi kutoka msumbiji walioko kule mtwara wanaochukuliwa kama watu duni. Yaani unajivunia ulinzi wa kibinadamu? angekuwa anapewa huo ulinzi angeomba pesa ya kula, pango na ada za watoto? acheni kumpoteza mwenzenu maboya

In God we Trust
 
Nini kuwa chini sema ni 0 kabisa ila ukweli upo kuwa wbank wamesitisha mabilioni waliyokuwa wamekusudia kuwafadhili baada ya kuwabagua watoto wa kike,hutaki kamuulize chakubanga

In God we Trust
Ndo maana nikasema uwezo wako wa akili upo chini, sasa kama mabilioni yamesitishwa wewe hilo limekufaidisha nini
 
Ndiyo ujue kuwa wewe unaongea kama kasuku bila kujua unacho kiongea juu ya nyinyi kutembeza bakuli alafu watu hao hao mnawaita mabeberu wakati mnawategemea kwa kila jambo hadi kondomu mnaomba!
Ndo maana nikasema uwezo wako wa akili upo chini, sasa kama mabilioni yamesitishwa wewe hilo limekufaidisha nini

In God we Trust
 
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika kabisa ndani ya ccm zinasema kwamba yale maccm majinga majinga na kamati zao za roho mbaya wanajamba cheche hivi sasa tunavyozungumza.

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Safari hii lazima mtokwe na makamasi kama kondoo wa kitulo

In God we Trust
Kuna mtu wa kutokwa kamasi zaidi ya yule anayepigwa na baridi kali ulaya kwa kukosa pesa ya pango? kumbuka hata gharama za kulipia billi ya umeme kupasha chumba joto zipo juu. utumwa mbaya
 
Akili lazima ikurudie
Kwani alikwenda kujithaminisha? Gabbage!
FB_IMG_1550477529716.jpeg
FB_IMG_1550226275677.jpeg

In God we Trust
 
Tulia kwanza mtazame rais wetu wa 2020 yupo na wapenda demokrasia na maendeleo ya Tanzania
Kuna mtu wa kutokwa kamasi zaidi ya yule anayepigwa na baridi kali ulaya kwa kukosa pesa ya pango?
FB_IMG_1550477529716.jpeg

In God we Trust
 
Ndo maana nikasema uwezo wako wa akili upo chini, sasa kama mabilioni yamesitishwa wewe hilo limekufaidisha nini
Kwani ulikuwa unazitaka? Mlijitangaza kuwa donnors, kumbe ilikuwa changa la macho? Isitoshe mliwaita mabeberu huku mkiimezea mate misaada yao! Mbona kama wewe na unaofanana nao mna tabiaza sungura mhoro! Mtajitambua tu hata kama sasa mnaiwinda sympathy ya wananchi ambayo kimsingi wamewaignore! Mtalia na bado!
 
Ndiyo ujue kuwa wewe unaongea kama kasuku bila kujua unacho kiongea juu ya nyinyi kutembeza bakuli alafu watu hao hao mnawaita mabeberu wakati mnawategemea kwa kila jambo hadi kondomu mnaomba!

In God we Trust
Huna hata akili ya kujadiliana na mimi, tafuta level yako
 
Back
Top Bottom