CHARLES2016
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 376
- 435
Pure socialism iliishia kipindi cha Nyerere na azimio lake la Arusha, ni kweli aliona socialism inafeli ndo maana akang'atuka mwaka 1985, after that mfumo uliofuata na ambao tunao hadi leo ni mixed economy. Ni mfumo ambao unajaribu kuabsob disadvantages za pure capitalism na Socialism. Ni mfumo ambao unalinda maslahi ya watu wote wafanyabiashara na wakulima wa kawaida vijijini.Kaka
Africa has always been a free market driven continent....Na hii naongelea Before Christ....Africa was full of loca marketplaces and great empires zilizojengwa na free trade between Africans!
Huu upumbavu wa kusema Africa sio capitalist ni socialist ni upumbavu nisioweza uvumilia..
Socialism ni foreign concept to Africans Nyerere na Nkurumah walienda china na USSR wakakopi kama ilivyo na kuja kutuletea upumbavu!
Natural African system ni free market tangu enzi an enzi...mishale ilijengwa na wanakijiji mmoja mmoja na ilikua owned na hao watu na wala sio jamii nzima..
Kila mtu aliwajibika kwenda kuwinda kulisha familia yake....kutoa msaada kwa wenzake ilikua ni jambo muhimu,na kutoa msaada sio socialism get that clear..
Kulikua na masoko ya wananchi wanafanya butter trade tangu enzi na enzi....Empire kubwa kubwa sprung out of nothing in Africa due to free trade,Songhai,Mali,The Great Zimbambwe Empire,etc....
Hazikutokea kwam "sociolism" walizotuletea hawa vichaa akina Nkurumah na mwenzake JKN..
Hawa wehu walienda China na USSR wakakopi huu upumbavu wakatuletea 1960's haikuchukua 20yrz ikafeli badly maana it is not natural African system of living!!!!
Acheni hivi vituko kabisa!