Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊👊Mbona CCM imeshindwa kuboresha kwa muda wa miaka 60? KCMC, Mhimbili, Bugando, Haydom nk zilikuwepo kabla ya uhuru.
It irritates when I find some people have highest degree of greed.Tuliza akili kamanda
Ma-Mloganzila yatakuwepo kila mahali hatua kwa hatua. Kumbuka hayawezi kuwepo kila mahali kwa mara moja kama mwanga wa Jua. Serikali itafikisha 'Mloganzila' hata huko Mpui ndugu zetu mnapoishi kadiri uchumi wa nchi utakvyoruhusu. Nia ya serikali ni kila mwananchi anufaike na matunda ama rasilimali za nchi hii kadri inavyowezekana.Mloganzila ilitakiwa iwepo na Mpui nnakoishi mimi, hayo ndio maendeleo.
Hata hao unaosema tunawaonea wivu wengi wanaoongea hiyo lugha wapo mijini, vijijini huko ndani ni lugha ya asili tu labda wamalawi. Nilikwenda sehemu nikalazimika kuongea Kiswahili na yeye aongee kikwao ili tuelewane, binafsi nawaonea wivu watanzania wenzangu wanaoongea lugha zao za asili basiUmeona wivu na mwenzako kuandika Kizungu?
Wewe unajua zaidi,yanini umsimange asiejua kama wewe?Anakutisha nini mpaka unakua uncomfortable?
Plus umekimbilia kizungu badala ya kujibu hoja!
Sisi Watanzania lugha ya Kingereza tunaipenda kupita maelezo lakini unfortunately English haijawahi kutukubali hivyo tunawaonea wivu sana wanaokijua kama Wakenya,Zambians,Ghanaians,etc
Wakudadavua nae ndio wale wale....muoga wa kivuli cha Elephant in the room...ambacho ni Kingereza!
Tanzania na English ni kama maji na mafuta....
Thread ya kipuuzi kabisa pumba grade A.Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji.
Leo hata huduma ya kisheria anatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Non sense comments.
MkuuHata hao unaosema tunawaonea wivu wengi wanaoongea hiyo lugha wapo mijini, vijijini huko ndani ni lugha ya asili tu labda wamalawi. Nilikwenda sehemu nikalazimika kuongea Kiswahili na yeye aongee kikwao ili tuelewane, binafsi nawaonea wivu watanzania wenzangu wanaoongea lugha zao za asili basi
Usinipangie mkuuMkuu hebu achana na mambo ya hospitali huyajui tafuta mengine uandike la sivyo endelea kuwa msomaji tu wa huu Uzi.
Heko JF! Ha ha ha aa..! JF raha sana.Wacha weee!!!
Muongo mkubwa Wewe !!!!!!Ndugu zangu,
''Ukweli mchungu'', hata ukimsikiliza Tundu Lissu yeye anazungumzia ''mikataba'' ''sheria'' huku waziwazi akipuuza uboreshwaji wa elimu, afya, huduma za jamii na miundombinu ya msingi. Hii si bahati mbaya, familia yake inapata huduma za afya, elimu na malazi kutoka Ubelgiji.
Leo hata huduma ya kisheriaanatumia za mawakili waliopo Ulaya ni dhahiri Lissu hana mpango na Watanzania. Na hata baada ya uchaguzi atatokomea huko huko kuganga njaa.
Tutafakari kwa makini, hoja kwa hoja.
Je. Mloganzila pia ilikuwepo?
Benjamin Mkapa Hospital, Mloganzila, Mbeya regional Referral Hospital, JKCI nazo zilikuwepo hata kabla ya uhuru?
Hakuna pahala nimesema zimejengwa awamu ya tano, bali nimeuliza kama zilijengwa enzi ya ukoloniHizo zote ulizozitaja zimejengwa AWAMU ya tano?
Acha UONGO basi.
Huu Ni ukweli mchungu.Mkuu
Heri hao wanaoongea lugha zao za asili....
Tanzania lugha za asili zilishakufa...kila mtu kaacha lugha yake ya mababu zake ana assume yeye ni Mswahili 100%..
Kizazi cha kuanzia 1980 kuja mbele hakuna hata mmoja anaejua lugha yake ya asili....
Unachosema kua Watanzania wanaongea lugha za asili Mkuu utakua huna takwimu...
Official estimation ni kwamba lugha za asili Tanzania nzima zitakua extint ndani ya miaka 50 toka year 2000!
Case in point,wewe hapo una kabila lenu,haupo fluency na lugha ya kwenu hata kidogo....Watoto wako ndio sahau kabisa....wajukuu zako ndio hata kabila hawatalijua kabisa!
Lugha za Tanzania haziifadhiwi kwenye vitabu...Tanzania nadhani ni kosa la kwenda mahakamani ukijenga kitabu cha kamusi za lugha ya kienyeji....
Hakuna literature preserved ya hizi lugha...Serikali ime criminalize lugha zetu...
Hatuna lugha,hatuna utamaduni,hatuna chochote....Kiswahili sio chetu kilitoka Mombasa kwa Wagede
We are useless people!
Watanzania ni maskini sana wa fikra, sasa unapotaja Mloganzila mie mtu wa Mpui Sumbawanga inanihusu nini.
Talk about the health system. Hiyo ni mbovu sana. Juzi tu Corona imebidi wagonjwa wakimbie Amana hali ilivyo mbaya.
CCM mna dhambi sana.
Weka ushahidi wapi kaongopa?Muongo mkubwa Wewe !!!!!!
Sasa Kama kapeleka kijijin kwake roho inakuuma Nini Kwan kule hakuna watu...Angalau hatojijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake na hazitopotea 1.5 trl ( ambazo nyingi zaidi kuliko jumla ya kashfa za Rada, Buzwagi, meremeta, richmond kwa moja).
Yaan we ndo zuzu kweli .....walikuja Africa wakajenga vimiundo mbinu lakini unajua kilichokua kinajengwa ulaya au akili huna tu......ulaya ndo kila kitu kikubwa ndo kilikua kinajengwa international airport ,viwanda Sasa unaongea nnWakudadavuwa,
Wakoloni walitujengea hospitali na miundombinu bora kabisa huku familia zao wakiwa wameziacha kwao Ulaya. Ambacho hawakufanya wakoloni ni kujijengea international airports huko vijijini kwao!
Bora hata huyo mawazo yake mgando yanaonekana .....mbona hoja yako nzito ciioni....au ndo ulijaliwa akili za kukosoa af akili za solution hunaHakii hii nchi inahitaji ukombozi wa kifikra kama bado kuna watu wana mawazo mgando kama wewe kibaya zaidi waweza kuta umesoma na kidiploma unacho nauliza huko shule mwaenda somea ujinga?