Tundu Lissu hapa umechemka

Nimesikitishwa na kitendo cha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida.

Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao.

Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu?

Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema.

Taasisi haiendeshwi hivyo.


Kweli nami nimepotea....sikujua kama Zitto ndiye Kitundu. Ni kweli Lissu hakupaswa kumjibu if Kitundu ndiye Zitto. Noted.
 
Back
Top Bottom