Then badilisha huo mtazamo wako (kama ulivyosema you stand to be corrected), kwa sababu si mtazamo sahihi.....Mzee Kitundu amefanya personal attacks. Ni haki ya mtu aliyekuwa attacked ku-respond, akipenda kufanya hivyo !
I stand to be corrected, Nilidhani issue yoyote yenye uhusiano na kuvuliwa madaka kwa Zito imefungwa. Kujiuzuru kwa Mzee Kitundu ni continuation ya Zito saga hivyo sikutegemea mwana Chadema tena Kiongozi kuizungumzia jukwaani . Nilidhani kama kiongozi, TL angekuwa kimya kama ilivyokuwa kimya kwa baadhi ya hoja. Kinachoonekana sasa ni ngonjera tu. Huku Lisu, huku Mrema, huku Afande Sele, nadhani nidhamu ya usemaji haijakaa sawa.