Tundu Lissu hapa umechemka

Kama unaamini Lissu yupo sawa basi nimeanza kuamini kuwa CHADEMA haina miiko ya uongozi. Kila mmoaja anaamua lake na kusema. Ukitaka kuthubitisha hili ona matamko yalivyo mengi. Kwa mtindo huu hatuwapi nchi mkaangoza maana kila mtu anasema tu.

Msaliti huyo hakuna haja ya kumjadili.LISSU YUPO SAWA
 
Msikimbie hoja Wakuu, Nauliza tena Tundu lisu kafanya busara kujibishana kwenye JF wakati tuliambiwa kuwa mjadala umefungwa na sisi wengine tukaa kimya?

mzee kitundu ni kimasalia cha zitto kiondoke kabisa sisi tubaki salama chadema ngoma mdundo. mpango wa mungu
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.

Katika hili chadema wanatakiwa watueleze vizuri, Hivi ni kweli wameshindwa kujenga Office za chama? Hivi pale ufipa jamaa akiwapa Notes wataenda wapi? Ifike mahali tuwe wakweli kwenye mambo yanayohusu maslahi ya taifa.

Naunga mkono Zitto na Kitila kuvuliwa uanachama, ila suala la kutokuwa na ofisi hilo Mbowe na CC yake wanatakiwa watueleze vizuri
 
Mjadala uliofungwa ni kuhusu usahihi wa kuondolewa CC kwa Zitto na wenzie. Sasa TL kachemsha nini hapa?

Journey is journey! Mjadala ulusha fungwa kwa mujibu wa katibu mkuu, kama ubamtetea TL ingefaa useme "Mjadaka umefunguliwa na TL" kwa maana alizungumzia mambo yale yale yaliyofungwa na katibu mkuu wake!
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.

ulitaka tumpakate? mjinga kabisa wewe na yeye.....
 
Katika hili chadema wanatakiwa watueleze vizuri, Hivi ni kweli wameshindwa kujenga Office za chama? Hivi pale ufipa jamaa akiwapa Notes wataenda wapi? Ifike mahali tuwe wakweli kwenye mambo yanayohusu maslahi ya taifa.

Naunga mkono Zitto na Kitila kuvuliwa uanachama, ila suala la kutokuwa na ofisi hilo Mbowe na CC yake wanatakiwa watueleze vizuri

mpuuzi tu wewe.....
 
kaka TL alishawahi kukufikisha mahakamani nini?!!

hoja ya msingi dhidi yake ni ipi?!!!!
au umefurahia kuanzisha thread hata kama haina mantiki?!!
mfuate kwenye thread yake hapo juu atakuhabarisha zaidi.

mchana mwema......au haujauona?!! maana naambiwa tangu nepi alipomwabia nchembee ngulu kuwa ziara yake ya u.s na uk hazikuwa za kichama, lfc wazee wa b7 njaa inataka kuwauwa ati.
 
mpuuzi tu wewe.....

Upuuzi wangu ni upi kaka? kwa maana hiyo unapenda in next 20 yrs tuje kudhalilishwa kama ilivyotokea Singida? hivi kunatofauti gani kati ya Rage na Mbowe, Rage kashindwa kutujengea uwanja japo wa mazoezi huku mbowe kashindwa japo kujenga office yenye chumba kimoja toka aingie madarakani, Tuache ushabiki usiokuwa na maana.
 
Hii habari haijaletwa JF na TL. Watu wameitoa sijui Wavuti na kuileta hapa kama ambavyo wengine huleta habari za Zitto au Malecela kutoka FB. Ukitaka kumjibu, mfuate huko ujumbe ulikoletwa na mkapambane kama una ubavu huo.

Mwisho kumbuka kuwa Mwenyekiti kamshutumu yeye moja kwa moja na yeye kaamua kumjibu..... ahhh, siyo Mwenyekiti tena na wala siyo Mwana Chadema.
 
I stand to be corrected, Nilidhani issue yoyote yenye uhusiano na kuvuliwa madaka kwa Zito imefungwa. Kujiuzuru kwa Mzee Kitundu ni continuation ya Zito saga hivyo sikutegemea mwana Chadema tena Kiongozi kuizungumzia jukwaani . Nilidhani kama kiongozi, TL angekuwa kimya kama ilivyokuwa kimya kwa baadhi ya hoja. Kinachoonekana sasa ni ngonjera tu. Huku Lisu, huku Mrema, huku Afande Sele, nadhani nidhamu ya usemaji haijakaa sawa.

Mjadala uliofungwa ni kuhusu usahihi wa kuondolewa CC kwa Zitto na wenzie. Sasa TL kachemsha nini hapa?
 
Nimesikitishwa na kitendo cha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida.

Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao.

Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu?

Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema.

Taasisi haiendeshwi hivyo.

Chadema ni taasisi iliyo imara sio kama nyinyiem ambayo kila mtu anaongea lake.
 
Kwa kuwa habari hii imeletwa hapa, bila shaka imeonekana inafaa zaidi kujadiliwa hapa na siyo huko kwingine kusikojulikana.Hivyo bado kijadili hapa ni sahihi tu. Tuje kwenye hoja ya msingi, hata kama kamataja kwa jina lakini huoni kama TL ni kiongozi mkubwa katika Chadema na tamko lake linaonekana zaidi kubeba ujumbe wa Chedeama kama chama na si binafsi. Pili kama kila aliyetajwa akiaanza kujibu, si itakuwa vioja hapa? Mwisho hatubishani kwa ubavu bali ni hoja. Mpaka sasa sijapata hoja ya msingi kushawishi uhalali wa TL kumjibu mzee Kitundu.

Hii habari haijaletwa JF na TL. Watu wameitoa sijui Wavuti na kuileta hapa kama ambavyo wengine huleta habari za Zitto au Malecela kutoka FB. Ukitaka kumjibu, mfuate huko ujumbe ulikoletwa na mkapambane kama una ubavu huo.

Mwisho kumbuka kuwa Mwenyekiti kamshutumu yeye moja kwa moja na yeye kaamua kumjibu..... ahhh, siyo Mwenyekiti tena na wala siyo Mwana Chadema.
 
Wenzio washarogwa siku mingi na huwezi kujibiwa kwa hoja hapa zaidi ya kejeli kwa kukosoa Tundu la Lisu utadhani wao ni malaika hawawezi kukosolwa, ila ungeleta mada ya Nape kafanya hiv Mwingulu kafanya vile hapo ungewakosha nyoyo zao

Msikimbie hoja Wakuu, Nauliza tena Tundu lisu kafanya busara kujibishana kwenye JF wakati tuliambiwa kuwa mjadala umefungwa na sisi wengine tukaa kimya?
 
Sina uhasama na TL wala sijawahi kufikishwa mahakamani. Lakini mbona ninyi hamjibu hoja? kuna busara TL kujibishana na Mzee Kitundu kwenye Jf?
progress.gif

kaka TL alishawahi kukufikisha mahakamani nini?!!

hoja ya msingi dhidi yake ni ipi?!!!!
au umefurahia kuanzisha thread hata kama haina mantiki?!!
mfuate kwenye thread yake hapo juu atakuhabarisha zaidi.

mchana mwema......au haujauona?!! maana naambiwa tangu nepi alipomwabia nchembee ngulu kuwa ziara yake ya u.s na uk hazikuwa za kichama, lfc wazee wa b7 njaa inataka kuwauwa ati.
 
Nashukuru umenifumbua macho, inawezekana najaribu kutakatisha kaniki hapa.

Wenzio washarogwa siku mingi na huwezi kujibiwa kwa hoja hapa zaidi ya kejeli kwa kukosoa Tundu la Lisu utadhani wao ni malaika hawawezi kukosolwa, ila ungeleta mada ya Nape kafanya hiv Mwingulu kafanya vile hapo ungewakosha nyoyo zao
 
Nashukuru umenifumbua macho, inawezekana najaribu kutakatisha kaniki hapa.

Chadomo ndivyo walivyo, wanashingo ngumu hawa mkuu hivyo usijichoshwe, mara nyingi wakiambiwa ukweli baada ya kujibu kwa hoja wanaleta porojo na matusi ili kupoteza maana, wachukulie hivyo hivyo mkuu kwani ni watanzania wenzetu inabidi tuende nao taratibu
 
Nimesikitishwa na kitendo gcha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida.

Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao.

Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu?

Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema.

Taasisi haiendeshwi hivyo.

Fungu alilopokea toka Ccm kakupatia hapo kidogo au? maana naona unaongea kama jamaa wa nk7
 
waliopata vilema na wengine kupoteza ndugu zao wao waseme nini??
Kumbe yeye hakuwa mwanamageuzi basi alikuwa anaganga njaa tu. Kakutana na tapeli nchemba, si ajabu hata hio sebule amejengewa na ccm ndio maana kaamua sasa kuonyesha uhalisia wake.

Acha dharau dogo mnatumia nyumba za watu kama ofisi then leo mnawaona si kitu....
 
Hivi huoni kwamba huyo mmzee kamu-attach Lissu, Lema na Msigwa moja kwa moja ? Sasa wewe ulitaka awe attacked halafu awe kimya ?

Msikimbie hoja Wakuu, Nauliza tena Tundu lisu kafanya busara kujibishana kwenye JF wakati tuliambiwa kuwa mjadala umefungwa na sisi wengine tukaa kimya?
 
Back
Top Bottom