Tundu Lissu hapa umechemka

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
83
Nimesikitishwa na kitendo cha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida.

Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao.

Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu?

Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema.

Taasisi haiendeshwi hivyo.
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.
 
Umechemka wewe kuacha kujibiwa kule kwenye maelezo yake unakuja kuleta michemsho hapa .Huna akili mpwa wangu
 
Nani mzee?kitundu ni bendera tu huyu! watu kama hawa wanaofikiri bila wao CHADEMA haiendi wamepotea njia Zitto na hao lazima wapigwe chini tu
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.

waliopata vilema na wengine kupoteza ndugu zao wao waseme nini??
Kumbe yeye hakuwa mwanamageuzi basi alikuwa anaganga njaa tu. Kakutana na tapeli nchemba, si ajabu hata hio sebule amejengewa na ccm ndio maana kaamua sasa kuonyesha uhalisia wake.
 
Hoja siyo umuhimu wa Mzee Kitundu. Hoja ni kuwa ilikuwa sahihi Tundu Lisu kujibishana tena hapa katika FJ wakati tuliambiwa mjadala umefungwa?

Nani mzee?kitundu ni bendera tu huyu! watu kama hawa wanaofikiri bila wao CHADEMA haiendi wamepotea njia Zitto na hao lazima wapigwe chini tu
 
Mpuuuzi wewe
mpuuzi ni wewe, sura nzitooo kama ugali wa muogo. unachotakiwa ni kutoa maoni yako na si matusi wewe wa wapi? mbona hujielewi? unawawakilisha akinanani? hii ni disaini ya wabunge wanaowaza kwa kutumia Mwakajambile.
 
Msikimbie hoja Wakuu, Nauliza tena Tundu lisu kafanya busara kujibishana kwenye JF wakati tuliambiwa kuwa mjadala umefungwa na sisi wengine tukaa kimya?

waliopata vilema na wengine kupoteza ndugu zao wao waseme nini??
Kumbe yeye hakuwa mwanamageuzi basi alikuwa anaganga njaa tu. Kakutana na tapeli nchemba, si ajabu hata hio sebule amejengewa na ccm ndio maana kaamua sasa kuonyesha uhalisia wake.
 
Hoja siyo umuhimu wa Mzee Kitundu. Hoja ni kuwa ilikuwa sahihi Tundu Lisu kujibishana tena hapa katika FJ wakati tuliambiwa mjadala umefungwa?

Mjadala uliofungwa ni kuhusu usahihi wa kuondolewa CC kwa Zitto na wenzie. Sasa TL kachemsha nini hapa?

mzee kitundu ni kimasalia cha zitto kiondoke kabisa sisi tubaki salama chadema ngoma mdundo. mpango wa mungu
 
Hawawezi kujibu hoja hawa cdm zaidi ya matusi na kashfa ndio mungu alichowajaalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…