Tundu Lissu hapa umechemka

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
381
83
Nimesikitishwa na kitendo cha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida.

Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao.

Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu?

Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema.

Taasisi haiendeshwi hivyo.
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.
 
Nimesikitishwa na kitendo cha Tundu Lisu kumjibu Mzee Kitundu, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Singida. Kumjibu mzee huyu aliyejiuzuru uenyekiti ni kuendeleza "ngonjera" au "taarabu" ambazo zimekuwa zikiendelea kila uchao. Mlishatueleza kuwa mjadala kuhusu Zitto umefungwa, sasa kuliuwa na haja gani ya kumjibu mzee Kitundu? Discipline ya kuongea ndani ya CHADEMA nadhani haipo kabisa, kila anayejisikia anasema. Taasisi haiendeshwi hivyo.

Umechemka wewe kuacha kujibiwa kule kwenye maelezo yake unakuja kuleta michemsho hapa .Huna akili mpwa wangu
 
Nani mzee?kitundu ni bendera tu huyu! watu kama hawa wanaofikiri bila wao CHADEMA haiendi wamepotea njia Zitto na hao lazima wapigwe chini tu
 
Huyu jamaa hamna kitu kabisa ofisi miaka 20 ipo sebuleni kwa kitundu leo unakuja kuleta ngonjera humu bila aibu hamna haya nyie chadema hata kidogo.

waliopata vilema na wengine kupoteza ndugu zao wao waseme nini??
Kumbe yeye hakuwa mwanamageuzi basi alikuwa anaganga njaa tu. Kakutana na tapeli nchemba, si ajabu hata hio sebule amejengewa na ccm ndio maana kaamua sasa kuonyesha uhalisia wake.
 
Hoja siyo umuhimu wa Mzee Kitundu. Hoja ni kuwa ilikuwa sahihi Tundu Lisu kujibishana tena hapa katika FJ wakati tuliambiwa mjadala umefungwa?

Nani mzee?kitundu ni bendera tu huyu! watu kama hawa wanaofikiri bila wao CHADEMA haiendi wamepotea njia Zitto na hao lazima wapigwe chini tu
 
Mpuuuzi wewe
mpuuzi ni wewe, sura nzitooo kama ugali wa muogo. unachotakiwa ni kutoa maoni yako na si matusi wewe wa wapi? mbona hujielewi? unawawakilisha akinanani? hii ni disaini ya wabunge wanaowaza kwa kutumia Mwakajambile.
 
Msikimbie hoja Wakuu, Nauliza tena Tundu lisu kafanya busara kujibishana kwenye JF wakati tuliambiwa kuwa mjadala umefungwa na sisi wengine tukaa kimya?

waliopata vilema na wengine kupoteza ndugu zao wao waseme nini??
Kumbe yeye hakuwa mwanamageuzi basi alikuwa anaganga njaa tu. Kakutana na tapeli nchemba, si ajabu hata hio sebule amejengewa na ccm ndio maana kaamua sasa kuonyesha uhalisia wake.
 
Hoja siyo umuhimu wa Mzee Kitundu. Hoja ni kuwa ilikuwa sahihi Tundu Lisu kujibishana tena hapa katika FJ wakati tuliambiwa mjadala umefungwa?

Mjadala uliofungwa ni kuhusu usahihi wa kuondolewa CC kwa Zitto na wenzie. Sasa TL kachemsha nini hapa?

TUNDU LISSU:- Kwa vile aliyejiuzulu ni Mwenyekiti wangu wa Mkoa, na kwa vile amenituhumu specificallykuwa ni mmoja wa 'wavamizi' ndani ya CHADEMA ambao ndio 'vinara' wa migogoro ndani ya chama chetu, nafikiri nitasemehewa nikiweka utetezi wangu hapa jukwaani. Wilfred Kitundu is probably the longest serving regional chairman wa CHADEMA katika nchi hii. Na ni kweli, Kama anavyosema, kwamba kwa muda wa karibu miaka ishirini ya uenyekiti wake, sebule ya nyumba yake ilikuwa ndio Ofisi ya chama ya Mkoa. Which is another way of saying, kwa miaka yote hiyo, chama hakikukua. CHADEMA haikuwa na Mwenyekiti wa kitongoji, wala wa kijiji, wala Diwani, achilia mbali Wabunge.

In fact, viongozi wetu wa kwanza wa kuchaguliwa - wenyeviti wa vitongoji na wa vijiji - walichaguliwa mwaka
2009, mwaka mmoja baada ya mimi kuvamia na/au kuhamia CHADEMA Singida. Mwaka 2010 tulipata, kwa Mara ya
kwanza tangu mungu aumbe mbingu na nchi, Wabunge na Madiwani wasiokuwa maCCM. Sitaki kujisemea sana
katika hili, lakini nafikiri mchango wangu katika kuijenga CHADEMA Singida ni mdogo. On the other hand, zaidi ya kutuwekea Ofisi ya Mkoa sebuleni kwake, sidhani kama Mzee Kitundu ametoa mchango mwingine wowote katika mafanikio haya.
 
mzee kitundu ni kimasalia cha zitto kiondoke kabisa sisi tubaki salama chadema ngoma mdundo. mpango wa mungu
 
Hawawezi kujibu hoja hawa cdm zaidi ya matusi na kashfa ndio mungu alichowajaalia tu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom