Chamdomo full cha Kichaga na wadini
Wewe ndiye uliyechor zombie kwenye paper ya geography. You are untrainable. Too bad.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Chamdomo full cha Kichaga na wadini
ni kweli mkuu ni nchi ya wana Uamsho na wamwagia tindikali wageni....Nashukuru sana kumwelimisha the so called cute kuwa ZNZ ni nchi na siyo sehemu ya Tanganyika. Mkumbushe wana rais, katiba, wimbo wa taifa na bunge lao.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Mkuu,CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Lissu yupo wazi sana...na huwa hakurupuki kama mwigulu.
mkuu naomba nifafanulie je kaskazini ya wapi? Msumbiji,kenya ama? Maana napata taabu kidogo hivi mbeya, iringa ni kusini au kaskazini? Je kitaifa ni maeneo gani? Je pemba sio sehemu ya kitaifa?Mkuu,
Mbona hilo lipo wazi Chadema ni chama cha Kaskazini, CUF chama cha Zanzibar, CCM ni chama cha kitaifa.
mkuu ukitaka ugombane na lissu tamka neno ccm mbele yake hataki hata kulisikia hilo neno!Tindu lissu ana akili sana amekosea tu kuwa chadema ni mtu wa ccm huyo.
Amekuwambia nani unguja haipendwi cuf, katika majimbo ya unguja ya uwakilishi 2010 cut ilikuwa ichukue majimbo zaidi yaa kumi, wamepata matatu tu,Chadema imeshika maeneo mengi bara, cuf imebaki pemba na si unguja, waunguja hawaipendi cuf! Tatizo linalopelekea chadema kutokukubalika zanzibar ni hisia za kuchongwa za udini zinazoshabikiwa na cuf na ccm dhidi ya wapinzani wao chadema! Vinginevyo chadema ingekuwa kila mahali pemba na unguja, kwani sera zake ni za kuifanya zanzibar kuwa huru!
Hivi hii tungo bado ipo.....
Mkuu,
Mbona hilo lipo wazi Chadema ni chama cha Kaskazini, CUF chama cha Zanzibar, CCM ni chama cha kitaifa.
Hata kama unalipwa ,huwezi kufanya wasomaji wote wa JF ni fool .
Tafuta kazi nyingine
CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Lissu ana faili la kudumu hospitali ya mkoa wa dodoma ya mirembe. Dr wake ni kigwangalla, anayepatikana jimboni nzega au hapa jf au facebook
imekuuma ee? Chadema ni ya kaskazini tena uchaggani
Tindu lissu ana akili sana amekosea tu kuwa chadema ni mtu wa ccm huyo.
Lakini hana busara. Kwani CDM iko Mtwara na Lindi?
Lakini hana busara. Kwani CDM iko Mtwara na Lindi?