maccm yataweweseka sana na hoja dhaifu ya ukabila na ukanda,cdm tumeenea kila kona ya nchi,akili ndogo utaijua tu..cdm tuna wabunge Mwanza,Mara,Shy,Singida,Mbeya,Iringa,Dar n.k,unataka kutwambia hii mikoa ipo kanda ya kaskazini? nyambafu!!! na kwa faida yenu magamba KANDA YA ZIWA HAMNA CHENU TENA,WASUKUMA TUMEAMKA NA 2015 TUTAWAONESHA,HABARI YA "NDUHU TABU" TUMEIKATAA NA SASA TUNASEMA KUNA TAABU INAYOLETWA NA CCM