Tundu Lissu: CUF ni chama cha Zanzibar!

Tundu Lissu: CUF ni chama cha Zanzibar!

Mh.Tundu Lisu yu mkweli zaidi,hiviii,wale majaji makanjanja wa JK wamehitimu?
 
Mbunge wa Singida Mashariki mh Tundu Lissu,amesema kuwa CUF ni chama cha Zanzibar. Akizungumza kipitia Star tv ktk kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA NA UCHUMI.

Akihojiwa na mtangazaji wa star tv amesema kuwa hakuna haja ya kutafuta ushahidi kuhusu hilo kwani tangia kuanzishwa kwa vyama vingi nchini Tanzania CUF haijawahi kupata wabunge zaidi ya 3 wa kuchaguliwa huku bara. Hii inaonyesha wazi kwamba CUF ngome yake ni Zanzibar.

Akiulizwa kuhusu CDM kuwa kutokuwa na Wabunge Zanzibar,alijibu kuwa ni kweli ila ukweli ni kuwa uweze kushinda uchaguzi Tanzania huitaji kushinda Zanzibar. Kwanza Zanzibar haina hata kura milioni moja zaidi sana ni kura laki tano,na Jimbo la Ubunge pekee lina zaidi ya kura laki nne.

Huyo ndie Tundu Lissu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni. Je yawezekana ni kweli CUF ni chama cha Zanzibar?

Kwani sote si tunajuwa kuwa kutembea ni kushoto kulia au kulia kushoto? Haieleweki kusema chama fulani ni cha upande fulani na usiseme na chengine ni cha upande fulani iwapo vigezo viko sawa.

Bwana Lissu unataka tuelewe vipi kuwa ushindi lazima uhesabiwe kwa tofauti ya millioni? Laki tano ni idadi na nyongeza ya idadi ndio kushinda sasa hizi laki tano laiti zingepatikana na CDM si ingeengeza na kupunguza katika hesabu ya ushindi? Na jee viti 50 vya Zanzibar vingekwenda kwa CDM si angalau ruzuku ingepatikana? Na pia hayo majimbo ya Bara si yote yana idadi kama hiyo ya ubungo na ikiwemo jimbo lako sasa thamani yako iwe tofauti na ya Mnyika?

Uanasiasa kama huu ndio unaosababisha tuambiwe kuwa hamuaminiki. Kwani tatizo lipo wapi iwapo utasema ukweli kuwa sera za CDM hazina wafuasi wengi kule Zanzibar badala ya kutumia lugha ya kudharau.
 
mbona kama habari hii imejurudia? na hao star tv kila siku wana muuliza maswali yale yale? hii habari hipo humu.
 
Lissu ana faili la kudumu hospitali ya mkoa wa dodoma ya mirembe. Dr wake ni kigwangalla, anayepatikana jimboni nzega au hapa jf au facebook

utotoni mzigo.
 
Nampenda Lissu kwa kusema ukweli bila kumumunya maneno. Cuf ni kweli ni chama cha Zanzibar ndio maana hata walio Zanzibar wana kauli tofauti na walio bara chini ya Lipumba(ambao kauli zao haziheshimiwi ndani ya chama)

Bora useme ukweli mapenzi yako kwake ni nini lakini hadi sasa Lissu hajasema ukweli juu ya Zanzibar kwani kama ni msema ukweli basi angehitimisha kwa kusema kuwa CDM ni chama cha wapi. Tena haoni aibu kutamka kuwa haizidi viti 3 huku akimungunya ya sifuri ya CDM kwa Zanzibar.
 
Mkuu,
Mbona hilo lipo wazi Chadema ni chama cha Kaskazini, CUF chama cha Zanzibar, CCM ni chama cha kitaifa.
Ritz mbona wewe ni zaidi ya hapo? Usijishushe kama wale wengine. Hivi Mbeya,Iringa,Mpanda,Kigoma na kwingineko ni kaskazini? Acha hizo za wale wa buku 7! Umepatwa na nini mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukweli mtupu,cuf ni ya nchi jarani pekee.
Kuna watu wanampinga Lissu kwa kuwa mkweli lakini ni vema ukweli ukasemwa wazi.
Lissu hawa wachache wasikutoe kwenye hoja, kwanza wale ni ccm tu.

Ukweli uko wapi hapo au ni kipofu ndugu yangu? Mkweli humaliza hasemi nusunusu sasa hawa viongozi walioko huko Bara kwa kiti cha CUF ni nini na uliona wapi akaingizwa asiehusika?
 
Tatizo la Tundu Lissu ni kweli mno na waTanzania wengi wanapenda unafika, kujikomba na ujanja ujanja tu, kwahiyo akitokea mtu akasema ukweli anaonekana wa hovyo, wale wanaompinga Lissu waisome vizuri historia ya CUF na watakuja kuona kuwa Lissu yuko sahihi
nakuunga mkono mkuu!
 
Kwani sote si tunajuwa kuwa kutembea ni kushoto kulia au kulia kushoto? Haieleweki kusema chama fulani ni cha upande fulani na usiseme na chengine ni cha upande fulani iwapo vigezo viko sawa.

Bwana Lissu unataka tuelewe vipi kuwa ushindi lazima uhesabiwe kwa tofauti ya millioni? Laki tano ni idadi na nyongeza ya idadi ndio kushinda sasa hizi laki tano laiti zingepatikana na CDM si ingeengeza na kupunguza katika hesabu ya ushindi? Na jee viti 50 vya Zanzibar vingekwenda kwa CDM si angalau ruzuku ingepatikana? Na pia hayo majimbo ya Bara si yote yana idadi kama hiyo ya ubungo na ikiwemo jimbo lako sasa thamani yako iwe tofauti na ya Mnyika?

Uanasiasa kama huu ndio unaosababisha tuambiwe kuwa hamuaminiki. Kwani tatizo lipo wapi iwapo utasema ukweli kuwa sera za CDM hazina wafuasi wengi kule Zanzibar badala ya kutumia lugha ya kudharau.
mkuu sera ya serikali 3 wazanzibar hawaipendi? Kiukweli sera za chadema hata wazanzibar wanapigania!
 
Mbunge wa Singida Mashariki mh Tundu Lissu,amesema kuwa CUF ni chama cha Zanzibar. Akizungumza kipitia Star tv ktk kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA NA UCHUMI.

Akihojiwa na mtangazaji wa star tv amesema kuwa hakuna haja ya kutafuta ushahidi kuhusu hilo kwani tangia kuanzishwa kwa vyama vingi nchini Tanzania CUF haijawahi kupata wabunge zaidi ya 3 wa kuchaguliwa huku bara. Hii inaonyesha wazi kwamba CUF ngome yake ni Zanzibar.

Akiulizwa kuhusu CDM kuwa kutokuwa na Wabunge Zanzibar,alijibu kuwa ni kweli ila ukweli ni kuwa uweze kushinda uchaguzi Tanzania huitaji kushinda Zanzibar. Kwanza Zanzibar haina hata kura milioni moja zaidi sana ni kura laki tano,na Jimbo la Ubunge pekee lina zaidi ya kura laki nne.

Huyo ndie Tundu Lissu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni. Je yawezekana ni kweli CUF ni chama cha Zanzibar?

Huyu Lisu Ni Kiongozi Kweli? Kwa Hoja Dhaifu Kiasi Hiki, Anathubutu Kuupinga Ukweli???
Je, Kuna Utofauti Upi Katika Usajili Wa C.U.F na C.D.M??
 
orodha ya maeneo hayo ni kama ifuatavyo:
Arusha
Dar
Kilimanjaro
Kigoma
Singida
Manyara
Mbeya
Iringa
Mwanza
Shinyanga
Morogoro
...,...n.k

Tanga, Dodoma, Rukwa, Kagera, Njombe, Ruvuma, Tabora etc
 
Cuf ni chama cha tanzania na wasiwasi na elimu ya huyu Tundu Lissu I can prove huyu sio kiongozi makini na wasiwasi na elimu yake kwani znz sio sehemu ya tz?

Zanzibar ni nchi!!!..
 
teh teh kweli kuna vijimambo, iringa,mbeya,singida na ubungo kumbe ni kaskazini na uchagani, kwi kwii..

ifweero aka Mchange, 2010 alikuwa mchaga na kugombea ubunge Kibaha mjini.. Sasa ni mhutu wa Kigoma aka Muha, aka Leka DUtigite!
 
Cuf ni ya zanzibar na bara kidogo mtu mjinga asiyeelimika vizr kila mada atatumbukiza udini wake badala ya hoja kumbuka zanzibar na Tanganyika siyo dini ni nchi tena zisizo na dini na wala usituaminishe eti zanzibar ni nchi ya kiislamu someni ukuze ubongo wako kwani inaonyesha wewe ni -------- mkubwa
 
Back
Top Bottom