Mtu hawezi kukoasea akisema kuwa CHADEMA ni chama cha Tanganyika. NI ukweli hakina mbunge hata mmoja katika Zanzbar.
Sio cha Tanganyika ni cha Kichaga ndio jibu sahihi bila kumung'unya maneno
Mtu hawezi kukoasea akisema kuwa CHADEMA ni chama cha Tanganyika. NI ukweli hakina mbunge hata mmoja katika Zanzbar.
CDM is business entity and not political party.
CCM 😕:thumbup::thumbup:😕
Kwa kauli hyo je CDM ngome yk wapi sasa
"Liberal Member"
CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Wewe ulimwongezea lini thamani na ikamsaidiaje, halafu udini unaingiaje hapo au Ndo mwisho wako wa kufikri.Kama ni kwelu Leo mh. TUNDU nimekushusha thamani,
hivi kweli lengo letu ni kuondoa hawa mafisadi ccm.
Ama ndio ule wimbo kwamba chadema mnawachukia waislam na watu wenye asili ya uislam kama znz.
Mimi si Mchaga na ni mwana CHADEMA. Kule kwetu ukisema wewe ni ccm unaonekana kama mtu wa mwaka 47! Chadema ipo Kigoma hadi Dar. Ipo Mwanza kupitia Singida hadi Mbeya!Ipo Musoma hadi Manyara mpaka Iringa! Wachaga waliopo CDM n i wachache sana! Ila tu haipo Zanzbar!Sio cha Tanganyika ni cha Kichaga ndio jibu sahihi bila kumung'unya maneno
Cuf ni chama pekee chenye wabunge unguja pemba na tanganyika.ccm hawana mbunge pemba, chadema hawana mbunge pemba wala unguja.
Huyu tundu kweli ugoro mtupu cuf ipo tanzania wakati yeye akiwa niki nda ktk siasa.hoja aliyeitoa haina mashiko kwani kuwa na wabunge wachache bara si kipimo,mbona cuf ina madiwani na wenyeviti wa mitaa kibao bara au kwakua chama chake hakikubaliki zanzibar ndo aneleta sababu mfu. Mbona nccr,tlp,tadea havizungumzii! bila shaka huyu tundu anawashwa. Namshauri akae kitako kudili na chama chake ka siasa zinamshinda akalime viazi ikungi.
teh teh, kweli jf ina mambo, hivi kumbe lissu ni mchaga eeh? Kwi kwii...Sio cha Tanganyika ni cha Kichaga ndio jibu sahihi bila kumung'unya maneno
teh teh, mkuu kipi kinabebeka?Zungumzeni ila chadema mwaka 2015 itaambulia patupu,kama mnabisha tumwombe mungu atujalie uzima.Chadema hakibebeki kwa vyovyote vile itakavyokuwa.
teh teh, mkuu sina mbavu mie!Nakusifu Kamanda Lissu, Uwe mkweli daima wala usiwaogope hao cuf (ccm-b). Wanataka wakae upinzani lakini upinzani wao ni kwa vile walikosa huo uongozi kule zenji kwao. Tena siyo Zenji bali Pemba. Jimbo hata mtaa wa Togo Kinondoni mkubwa! Hico umekipaisha sana kukiita cha Zanzibar. Hicho ni cha nchi jirani tu. Ngoja wauvunje huo muungano wao uone watakavyo parangana. Kidumu ccm - b! Jibu; Kidumu. Kwa heri
mkuu afadhali kuishi somalia kuliko hiyo nchi inayoitwa zanzibar, wazee watindikali...Ukweli kinakubalika kina upande, pemba, unguja ( zanzibar) na Tanganyika japo mmoja hivyo hivyo , ukipima jibu ni kwamba cuf inakubalika katika nchi hizi mbili. chadema haina mbunge unguja wala pemba, na ccm haina mbunge pemba, ukiangalia cuf imechukua pandeo zote za nchi .
Haki sawa kwa wote.
Serikali tatu.
Zanzibar mamlaka kamili, asio ipelea mema zanzibar aondoke zake aende somalia.
teh teh, mkuu wadini kivip? Tuthibitishie hilo!Chamdomo full cha Kichaga na wadini
mkuu zenji sio sehemu ya Tz ni nchi jirani na Tanganyika