Mbunge wa CDM ukanda wa kusini anaitwa nani?Upo sahihi kabisa, hasa kanda ya Ziwa, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Pwani, Kanda ya Nyanda za juu na Kanda ya Kusini, maana katika kanda hizo zote CHADEMA au ina wabunge au ina madiwani, wenyeviti wa serikali za vijiji/mitaa au wote kwa pamoja. Kuwa na macho ni kuwa na uwezo wa kuona siyo kuwa tu na lile duara linaloitwa jicho.
orodha ya maeneo hayo ni kama ifuatavyo:
Arusha
Dar
Kilimanjaro
Kigoma
Singida
Manyara
Mbeya
Iringa
Mwanza
Shinyanga
Morogoro
...,...n.k
He coulnd't have put it any betterMbunge wa Singida Mashariki mh Tundu Lissu,amesema kuwa CUF ni chama cha Zanzibar. Akizungumza kipitia Star tv ktk kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA NA UCHUMI.
Akihojiwa na mtangazaji wa star tv amesema kuwa hakuna haja ya kutafuta ushahidi kuhusu hilo kwani tangia kuanzishwa kwa vyama vingi nchini Tanzania CUF haijawahi kupata wabunge zaidi ya 3 wa kuchaguliwa huku bara. Hii inaonyesha wazi kwamba CUF ngome yake ni Zanzibar.
Akiulizwa kuhusu CDM kuwa kutokuwa na Wabunge Zanzibar,alijibu kuwa ni kweli ila ukweli ni kuwa uweze kushinda uchaguzi Tanzania huitaji kushinda Zanzibar. Kwanza Zanzibar haina hata kura milioni moja zaidi sana ni kura laki tano,na Jimbo la Ubunge pekee lina zaidi ya kura laki nne.
Huyo ndie Tundu Lissu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni. Je yawezekana ni kweli CUF ni chama cha Zanzibar?
orodha ya maeneo hayo ni kama ifuatavyo:
Arusha
Dar
Kilimanjaro
Kigoma
Singida
Manyara
Mbeya
Iringa
Mwanza
Shinyanga
Morogoro
...,...n.k
mkuu zeunji sio sehemu ya Tz ni nchi jirani na Tanganyika
orodha ya maeneo hayo ni kama ifuatavyo:
Arusha
Dar
Kilimanjaro
Kigoma
Singida
Manyara
Mbeya
Iringa
Mwanza
Shinyanga
Morogoro
...,...n.k
Mbunge wa Singida Mashariki mh Tundu Lissu,amesema kuwa CUF ni chama cha Zanzibar. Akizungumza kipitia Star tv ktk kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA NA UCHUMI.
Akihojiwa na mtangazaji wa star tv amesema kuwa hakuna haja ya kutafuta ushahidi kuhusu hilo kwani tangia kuanzishwa kwa vyama vingi nchini Tanzania CUF haijawahi kupata wabunge zaidi ya 3 wa kuchaguliwa huku bara. Hii inaonyesha wazi kwamba CUF ngome yake ni Zanzibar.
Akiulizwa kuhusu CDM kuwa kutokuwa na Wabunge Zanzibar,alijibu kuwa ni kweli ila ukweli ni kuwa uweze kushinda uchaguzi Tanzania huitaji kushinda Zanzibar. Kwanza Zanzibar haina hata kura milioni moja zaidi sana ni kura laki tano,na Jimbo la Ubunge pekee lina zaidi ya kura laki nne.
Huyo ndie Tundu Lissu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni. Je yawezekana ni kweli CUF ni chama cha Zanzibar?
Mbunge wa CDM ukanda wa kusini anaitwa nani?

mkuu zenji sio sehemu ya Tz ni nchi jirani na Tanganyika
Ungetutajia maeneo hayo kama ni Mbeya kwa akina Sugu, Iringa kwa Msigwa, Kigoma kwa Zitto,au Singida kwa Tundu Lissu? Funguka mkuu!CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Mbunge wa Singida Mashariki mh Tundu Lissu,amesema kuwa CUF ni chama cha Zanzibar. Akizungumza kipitia Star tv ktk kipindi kiitwacho MEDANI ZA SIASA NA UCHUMI.
Akihojiwa na mtangazaji wa star tv amesema kuwa hakuna haja ya kutafuta ushahidi kuhusu hilo kwani tangia kuanzishwa kwa vyama vingi nchini Tanzania CUF haijawahi kupata wabunge zaidi ya 3 wa kuchaguliwa huku bara. Hii inaonyesha wazi kwamba CUF ngome yake ni Zanzibar.
Akiulizwa kuhusu CDM kuwa kutokuwa na Wabunge Zanzibar,alijibu kuwa ni kweli ila ukweli ni kuwa uweze kushinda uchaguzi Tanzania huitaji kushinda Zanzibar. Kwanza Zanzibar haina hata kura milioni moja zaidi sana ni kura laki tano,na Jimbo la Ubunge pekee lina zaidi ya kura laki nne.
Huyo ndie Tundu Lissu Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni. Je yawezekana ni kweli CUF ni chama cha Zanzibar?
Na CDM ni cha kaskazini.
Katika mada kama hizi ukiingiza dini unajidhihirisha kuishiwa hoja.na chadema ni cha kaskazini....
chadema kimeanza kupata kura nyingi uchaguzi ulopita baada ya kanisa kumsusia kikwete.....lakini uchaguzi ujao ...mtaona nguvu ya cuf tanganyika
CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.