deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 947
Na CDM ni cha kaskazini.
kumbe mbozi ni kaskazini buku 7 weee umetisha
Na CDM ni cha kaskazini.
CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Kwani sote si tunajuwa kuwa kutembea ni kushoto kulia au kulia kushoto? Haieleweki kusema chama fulani ni cha upande fulani na usiseme na chengine ni cha upande fulani iwapo vigezo viko sawa.
Bwana Lissu unataka tuelewe vipi kuwa ushindi lazima uhesabiwe kwa tofauti ya millioni? Laki tano ni idadi na nyongeza ya idadi ndio kushinda sasa hizi laki tano laiti zingepatikana na CDM si ingeengeza na kupunguza katika hesabu ya ushindi? Na jee viti 50 vya Zanzibar vingekwenda kwa CDM si angalau ruzuku ingepatikana? Na pia hayo majimbo ya Bara si yote yana idadi kama hiyo ya ubungo na ikiwemo jimbo lako sasa thamani yako iwe tofauti na ya Mnyika?
Uanasiasa kama huu ndio unaosababisha tuambiwe kuwa hamuaminiki. Kwani tatizo lipo wapi iwapo utasema ukweli kuwa sera za CDM hazina wafuasi wengi kule Zanzibar badala ya kutumia lugha ya kudharau.
Cuf ni chama pekee chenye wabunge unguja pemba na tanganyika.ccm hawana mbunge pemba, chadema hawana mbunge pemba wala unguja.
Tatizo la Tundu Lissu ni kweli mno na waTanzania wengi wanapenda unafika, kujikomba na ujanja ujanja tu, kwahiyo akitokea mtu akasema ukweli anaonekana wa hovyo, wale wanaompinga Lissu waisome vizuri historia ya CUF na watakuja kuona kuwa Lissu yuko sahihi
Kigwangala?tabibu wa kunyofoa mimba pale WAMA?
kumbe mbozi ni kaskazini buku 7 weee umetisha
mkuu zenji sio sehemu ya Tz ni nchi jirani na Tanganyika
Kwanza ni dhahiri haukiamini CDM hata kabla ya kauli ya Lissu... halafu Lissu hakuja na kauli hiyo ila alikua akijibu swali kuwa CDM ni chama cha Tanzania Bara tu (na wengine wanasema ni cha Kaskazini) na alichagua kujibu kwa kukilinganisha CDM na CUF....hakuzungumzia kuwa idadi siyo muhimu alichosisitiza ni kuwa idadi ya Zanzibar pekee haitoshi kukupa ushindi ... Kwa maana kwa uchache wa kura husika hii ni tathmini ya Lissu .... nashangaa tathmini ya Lissu ndiyo inakuwa moja ya sababu ya CDM kutoaminika? Mbona hata walio endelea sana kidemokrasia huwa wanatoa tathmini za kitakwimu...? au hua hajifunzi zaidi ya uelewa wako?
CUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
CDM is business entity and not political party.
CCM 😕:thumbup::thumbup:😕
Kwa kauli hyo je CDM ngome yk wapi sasa
"Liberal Member"
ni kweli mkuu nasikia ata msigwa ni mchaga!ifweero aka Mchange, 2010 alikuwa mchaga na kugombea ubunge Kibaha mjini.. Sasa ni mhutu wa Kigoma aka Muha, aka Leka DUtigite!
Una allergy na neno KilimanjaroCUF chama cha Zanzibar, Chadema chama cha maeneo fulani Tanzania Bara.
Una allergy na neno Kilimanjaro
na cuf utasemaje mkuu? Usiishie hapo tu..Chadema ni Chama cha Wakristo, asilimia .99.09% ni wanachama na wapenzi wake ni wakristo.