Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 770
- 1,433
Baadhi ya Sisi wanaccm tunapenda Sana Watu wagombane na kuchukiana.. NAO Huo ni ushetani
Mkuu, mambo muhimu kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi, na mustakabali mwema wa taifa, watu wanayachukulia kama mambo ya mzaha. Mchakato unaoendelea wa maridhiano haya una baraka zote za vyombo vya ulinzi na usalama.Kinachowasumbua Ni wivu tuu! Cdm kukaa na watawala, mlipenda Sana cdm kijitenge na serikal(CCM) kitu ambacho manguli wa siasa Akina kinana wamekiona Ni vigumu kurusu siasa Tz halafu cdm ukawatenga. Lkn kwa sababu wengi wenu humu jf Ni wachanga kisiasa hamuwezi kujua akili ya CCM.
Mkuu, hayo ya Katba/Tume Huru siyo ya CHADEMA, hayo ni yetu, waTanzania wote.Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi. Kumbuka hapa unaridhiana na mtu mwenye msumeno kwenye mpini wewe umeshika makali. Lazima busara itumike
Katiba ni ya Taifa lakini wenye nguvu ni ccm. Hilo ulijueMkuu, hayo ya Katba/Tume Huru siyo ya CHADEMA, hayo ni yetu, waTanzania wote.
Hapa haitengenezwi katiba ya CHADEMA au CCM, ni katiba ya nchi; na ukiangalia ni wazi kabisa kwamba hata hiyo Katiba CHADEMA hawana tena msukumo nayo. Umesikia ikitajwa hata kwenye mkutano mmoja tu?
Hivi juzi, hukuona Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akiteuliwa na Mwenyekiti wa CCM.
Hii Katiba na Tume Huru nani anayeipa msukumo kwa sasa na kwa manufaa ya nani? Bado unaamini Katiba itapatikana kabla ya 2024, au hata 2025? Hiyo itakuwa ni Katiba, ya nchi, au makubaliano tu kati ya CHADEMA na CCM jinsi ya kuwanyonga waTanzania vizuri huku wao wakifaidi matunda ya jasho la wananchi?
Nimalizie kwa kusema hivi. Tanzania sasa hakuna vyama vya upinzani.
Comment bora kabisa kwenye uzi huuMkuu, mambo muhimu kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi, na mustakabali mwema wa taifa, watu wanayachukulia kama mambo ya mzaha. Mchakato unaoendelea wa maridhiano haya una baraka zote za vyombo vya ulinzi na usalama.
Vyombo vya dola vinatambua kuwa CCM na CDM vinaungwa mkono kwa kiasi kikubwa na makundi yote muhimu ya Watanzania. Ukiruhusu chuki miongoni mwa vyama hivi vikuu viwili ni kutaka kulipasua taifa.
Kama cdm haijafa 2015 na 2020 basi tena haitakufa kamwe.Licha ya rafu za kisiasa katika chaguzi za 2015, 2019 na 2020, lakini nguvu za CDM kutwaa dola bado ni tishio kubwa kwa CCM, achilia mbali vyama ambavyo vipo kwenye balehe kama ACT Wazalendo. Ushauri mbaya ulitolewa na wahafidhina ndani ya CCM ili kukidhoofisha na hata ikiwezekana kukiua CDM, lakini haikuwezekana.
Heshima mkuu 'Rasterman'.Katiba ni ya Taifa lakini wenye nguvu ni ccm. Hilo ulijue
😅😅😅sawa. Wanajidai wenyewe wana DolaHeshima mkuu 'Rasterman'.
"Wenye nguvu" ni wananchi, na hilo ndilo lililoanza kuwatia kiwewe CCM wakati CHADEMA ikielekea kukubaliwa na wananchi.
Huoni jinsi CCM walivyoanza kuhangaika kabla ya kubuni maridhiano?
😅😅😅😅harafu mko wengi sanaBaadhi ya Sisi wanaccm tunapenda Sana Watu wagombane na kuchukiana.. NAO Huo ni ushetani
AmeenRais samia ni mtu mwenye Mungu Hana makuu.Mungu mpe Maisha marefu.
Ni kweliHapa Chadema wamekosea. Hii taarifa alitakiwa aitoe Mnyika mara tu alipopokea hundi. Kwa kuchelewa inaonekana kama walikuwa wanaficha jambo.
Amandla...
Hii ya dola iliondoka na Magufuli. Hakuna tena ndani ya CCM mwenye uwezo wa kuitumia dola kipuuzi kama alivyofanya Magufuli.😅😅😅sawa. Wanajidai wenyewe wana Dola
Kama Magufuli aliweza wengine watashindwa vipi?Hii ya dola iliondoka na Magufuli. Hakuna tena ndani ya CCM mwenye uwezo wa kuitumia dola kipuuzi kama alivyofanya Magufuli.
Samia anatafuta asifiwe na ulimwengu kama siyo Tanzania, hawezi kutumia dola kwa njia alizotumia mtangulizi wake.
naona hukusoma na kunielewa nilichoandika hapo.Kama Magufuli aliweza wengine watashindwa vipi?
Nimeelewa vizuri...usiwaamini sana ccmnaona hukusoma na kunielewa nilichoandika hapo.
Kwani ruzuku itatokana vipi na akina Mdee? Kwani ndiyo walikuwa wagombea Urais?So uchaguzi wa 2020 ni halali ama sio halali? Ruzuku inatokana na kina Mdee? So ni wabunge halali?
Mlishakuwa matapeli sana na njaa zenuSukuma gang tena mtalala na viatu
Sio hivyo..So uchaguzi wa 2020 ni halali ama sio halali? Ruzuku inatokana na kina Mdee? So ni wabunge halali?