Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

Tundu lisu Hawezi Kamwe kuwa na kuja kuwa Rais wa nchi hii, Lisu Hawezi Hata kidogo kuwa Amiri Jeshi mkuu wa nchi hii, Lisu Ni mropokaji, mpayukaji, Amejaa mihemuko na jazba, Hana hekima Wala busara, Hana Subira Wala Nidhamu ya kiuongozi, Hajuwi miiko ya kiongozi, Lisu siyo kiongozi Yule, Hawezi kuwa Rais Hata TFF tu, Amejaa kauli za kuwagawa watu na kuwadharau watu, Hawezi kuwaunganisha watu zaidi ya kuwagawa watu, mdomo wake Hauna breki wala hajuwi aongee Nini na kwa wakati gani, Yule Lisu anapaswa kuongozwa na siyo kuongozaa
Mimi nashangaa yani ile sifa yake ya kupenda ubishi watu ndio huona kuwa ni mtu akili sana. Jamaa ana mihemuko hatari.
 
Lisu akirudi kwa jinsi alivyokuwa na vibe, ni lazima CCM wapore tena uchaguzi, na matumizi makubwa tena ya vyombo vya dola yakae hadharani. Lisu ana nyota kali sana ya mvuto.

Zile kampeni za 2020 zilimuacha Magufuli na msongo wa mawazo, hakutegemea kama Lisu angeweza kupata uungwaji mkono wa kiwango kile. Na sababu hiyo ilibidi apore uchaguzi maana alijua matokeo halali yangemuacha na fedheha yeye na ccm yake.
Very correct. Wanazi watabisha ila wenye akili timamu wanajua hilo.
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Hilo linaweza kutokea

Wapo watu wanachukulia mama kapata urais kwa bahati tu... Na sio chaguo la wengi... Pia ktk uchaguzi mama asitarajie ushindi, wapo watakao kataa kuchagua mwanamke yaan kukataa kuongozwa na mwanamke...
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Na watu wote waseme... Ameeen!!
 
Nitakupa referencw ndogo ndogo visa vifuatavyo.

Kitabu cha Samwel wakwanza na wa pili

Daudi akiwa kijana mdogo alikuwa mpinzani wa Utawala wa Mfaulme Saul.

Saul alijua ktk utawala wake kuna mtoto mtukutu na siku z usoni atakuja kuchukua kiti chake.

Daudi alikuwa kijana mkakamavu, asiye na woga hata mbele ya jeshi la Saul na Wafilisti.

Watu wengi walimshangaa sana Daud ule ujasiri kiasi cha kutokuogopa kufa.

Siku moja Saul akapanga njama za kumuua Daudi. Mtoto wake Saul aitwaje Jonathan akiqa ikulu akazinyaka zile taarifa za Intelijensia akamtonya Daud.
Jonathan alimweleza unapaswa kuondoka Nchini kwani Baba yangu ametangaza kukumaliza na vikosi viko tayari kwa kazi hiyo.

Kwa kuwa ilikuwa usiku akaanza safari akaenda kujificha porini. Jonathan akawa anampelekea chakula kwa kificho.

Hatimaye Daud akafanikiwa kuokoa uhai wake.

Na baadae akawa Mfalme wa Dola ya Israel.

Soma kisa cha Mfalme Yeroboam alivyoakimbilia Misri kujificha baada ya kutaka kuuliwa na Mfalme Suleiman baada ya Suleiman kutambua kuwa Yeroboam anakubalika kwenye tawala yake na anaweza kuchukua ufalme. Ukumbuke Yeroboam alikuwa mtumishi mwenye akili na maarifa mengi akiwa chini ya Suleiman. Suleiman hakufanikiwa hatimaye Unabii wa Abia ukatimia kuwa Yeroboam atakuwa mfalme.

Kisa cha Nabii Daniel kwenye ufalme wa Umedi na uajem wa Mfalme Dario(Darius) na Ashatasta baadae.
Ila haya hayamo katika Qur'an.
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Kumbe watoto wa Sheikh Yahaya Hussein wapo wakiendeleza utabiri wa baba yao . Nitakutafuta unitabirie nyota yangu
 
Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.

Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa.

Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will become the next president after Samia.

Tunza hii kwenye kumbukumbu ya memory ya kichwa chako kwamba Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii.
Which bhang do you smoke?
 
Ameshakuwa raia wa ubelgiji, haruhusiwi kugombea huku, ndio maana analia Kila siku katiba ibadilishwe ili imruhusu kugombea, anataka ale vya huku na bya ubelgiji.

Na hayo mavyuma, hataweza mikiki mikiki ya uraisi, yatamtoboa mwili yatokeze nje
 
Back
Top Bottom