Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,186
- 6,402
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.
ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.
anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.
membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.
jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.