Tundu lissu: asema kuna Ishara ya Umagufuli bila Magufuli mwenyewe

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Wakati akihojiwa na DW!

Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
 
Nataman nihame Tanzania, CCM imenichosha. Na sifurahii kuongozwa na mwanamke. Mwanamke kazi yake ni kupika na kulea watoto.. sio kuongoza wanaume na ndevu zao.. Ni aibu hii
 
Wakati akihojiwa na DW!

Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
Acha dawa imuingie tena. Mama aendelee kukaza tu, hana jipya Huyo,ashakuwa compromised.
 
Mtu kutoka chama kile kile zao la mfumo ule ule unategemeaje jambo jipya toka kwake? zaidi ya hotuba za maneno matamu hakuna kingine cha maana waimba mapambio watakachofurahia, baada ya siku kadhaa akili zitawarudia.
 
Endeleeni kupiga vigeregere na makofi..
Au mmebadili gia tena?
 
Upinzani bado sana kuongoza nchi hii, unataka chama akabidhiwe Mbowe na genge lake? Bado sana, suala la Mzee Mdee tu wanalishindwa, wataweza kuongoza nchi?
 
Endeleeni kupiga vigeregere na makofi..
Au mmebadili gia tena?
Jamaa sometimes hawaeleki wanataka nini, unaweza ukadhani upinzani wa tz ni watu wa system pia, upo kuwafurahisha mabeberu, ila nyuma ya pazia ni CCM damu (Rejea Sakata la Slaa, Lowasa, Sumaye, Zitto CDM na sasa ACT na wengineo wengi)
 
Kwa hiyo alikuwa anasubiri ajibiwe hoja zake na masharti kwenye mkutano wa Rais ama
Bora atulie tu huko akapokee giro zake
 
Nataman nihame Tanzania, CCM imenichosha. Na sifurahii kuongozwa na mwanamke. Mwanamke kazi yake ni kupika na kulea watoto.. sio kuongoza wanaume na ndevu zao.. Ni aibu hii
Hama tu umetoaa hoja za kipuuzi sana
 
Uachiwe wewe una mchango gani?
Sema mwana katusua kuwa Houseboy wa Masaki si sawa na wa Buguruni. Hakika kweli wote wanaosha magari na kukatia bustani sema huyu wa Masaki anatumia mashine ya umeme na huyu wa Buguruni anatumia kidumu na fyekeo!
 
Back
Top Bottom