Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,318
Hahahaha walidondoshe tu hilo zigo la tumboniUkiona mtu anakimbilia chooni ujue kabanwa na haja...
CCM imebanwa na haja kubwa... iko tayari ijisaidie kichakani kuliko kuadhirika na uharo hadharani.