Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,685
Sijawahi kuona mtu bogus kama wewe na mkuluSijawahi Kuona Mwanasheria Bogus kama Tobo Lissu!
Sijawahi kuona mtu bogus kama wewe na mkuluSijawahi Kuona Mwanasheria Bogus kama Tobo Lissu!
Upya wa CCM unatokana na nini? Na Hao "wazalendo" wameingia CCM asubuhi ya leo?Tulia uone CCM mpya ya wazalendo inavyoogopa na kuwachukia wasaliti
Tulia uone CCM mpya ya wazalendo inavyoogopa na kuwachukia wasaliti
Acha kuhisi hisi, kama huna ushahidi kaa kimya. Unaposema "atakuwa kahongwa" inaonesha huna uhakika!lisu hamtishi mtu tunaamshangaa anavyotetea wezi wa madini atakuwa kahongwa lazima
Huogopi kutolewa bastola ?hata ccm huku kwa vijana tunamkubali lissu
Kwi! Kwi! Kwi!lisu hamtishi mtu tunaamshangaa anavyotetea wezi wa madini atakuwa kahongwa lazima
CCM ipagawe na mwehu Lissu kwa kipi,Lissu ana nini cha zaidi,ngalawa yake ya Chadema inaenda halijojo halafu eti CCM ndio imuhofia,Lissu ni sawa na mbwa anayebweka sana akikosa mlo wa wa usiku ,lakini kukamata hata sungura haweziHiki kiwewe cha CCM dhidi ya Tundu Lisu kinatokana na nini hasa? Aliposema kwamba anagombea Urais wa TLS timu nzima ya CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa taifa ikawehuka. Wengine tukajiuliza kwani TLS imeanza wakati Lissu anatangaza kugombea huo Urais wa TLS?
Wakati wa kupitisha Mswada wa Sheria ya Habari tulishuhudia bunge likiendeshwa hadi usiku sana huku wabunge wa CCM kama vile walikuwa wamejifunga kibwebwe dhidi ya Lissu. Hadi wengine tukapata hofu kwamba labda huenda Lissu anamiliki chombo cha habari ambacho sheria husika ikipitishwa basi serikali itafaidika kwa kukifuta chombo hicho.
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 inasemwa kwamba Jakaya Kikwete alipata kusema ni heri watu wa Jimbo la Lissu wasimchague yeye kuwa Rais lakini pia wasimchague na Lissu kuwa Mbunge. Hapa tena tukasema inakuwaje mtu anayetaka kuwa Rais anaona ni bora mgombea wa chama chake ashinde ubunge lakini yeye pia asipewe kura na hao hao anaoomba wamchague mgombea wake ubunge!? Kisa Lissu!
Kwa nini Jeshi zima la CCM huamia kwenye mapambano na Lissu kwenye kila jambo analolisimamia? Wakati Lissu anawatetea watu wa Bhulyankulu dhidi ya wachimbaji wawekezaji, CCM nzima ilikuwa kinyume chake. Leo wanadai anaogopa kesi wakati hajawahi kukosa kuhudhuria hata zile kesi wanazomzushia kila uchao.
CCM kwa nini inapagawa kwenye mambo mengi sana anayoyafanya Lissu?
CCM- WAZALENDO, chama kipya hiki. Sasa kwa nini kinaogopa na kuwachukia wasaliti badala ya kupambana nao? Kama kinawaogopa ndio watafanya wanavyotaka sasa.Tulia uone CCM mpya ya wazalendo inavyoogopa na kuwachukia wasaliti
Mkuuanmekufatilia xana reply zako cjawahi kuona point zaidi ya ,,,,,kama wenzio wa lumumbaHakuna anaowatisha ila Tanzania inashangazwa na Vichwa chake kilivyo Debe tupu eti Mtu anakuibia halafu unasema
Mi simwambii wala siendi Popote atanishtaki kudadeki Kama mwanangu natandika Viboko tuu
View attachment 522026
Hivi wewe unaelewa anachosema Lisu! Au na wewe akili yako kama ya Kibajaji. Ni wapi Lisu amewatetea wezi?lisu hamtishi mtu tunaamshangaa anavyotetea wezi wa madini atakuwa kahongwa lazima
Tusisahau mungu ama allah ndie anaetoa karama kwa kila mwana wa adamu,chama la wana mufirisi Tz lumumba wanashindana na nguvu ya mungu juu ya lissu ivi unataka niambia huko kwenu lumumba Hamna mawakili,hadi mpambane nae huyu timu nzima ya vilazaHiki kiwewe cha CCM dhidi ya Tundu Lisu kinatokana na nini hasa? Aliposema kwamba anagombea Urais wa TLS timu nzima ya CCM kuanzia Mwenyekiti wao wa taifa ikawehuka. Wengine tukajiuliza kwani TLS imeanza wakati Lissu anatangaza kugombea huo Urais wa TLS?
Wakati wa kupitisha Mswada wa Sheria ya Habari tulishuhudia bunge likiendeshwa hadi usiku sana huku wabunge wa CCM kama vile walikuwa wamejifunga kibwebwe dhidi ya Lissu. Hadi wengine tukapata hofu kwamba labda huenda Lissu anamiliki chombo cha habari ambacho sheria husika ikipitishwa basi serikali itafaidika kwa kukifuta chombo hicho.
Wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 inasemwa kwamba Jakaya Kikwete alipata kusema ni heri watu wa Jimbo la Lissu wasimchague yeye kuwa Rais lakini pia wasimchague na Lissu kuwa Mbunge. Hapa tena tukasema inakuwaje mtu anayetaka kuwa Rais anaona ni bora mgombea wa chama chake ashinde ubunge lakini yeye pia asipewe kura na hao hao anaoomba wamchague mgombea wake ubunge!? Kisa Lissu!
Kwa nini Jeshi zima la CCM huamia kwenye mapambano na Lissu kwenye kila jambo analolisimamia? Wakati Lissu anawatetea watu wa Bhulyankulu dhidi ya wachimbaji wawekezaji, CCM nzima ilikuwa kinyume chake. Leo wanadai anaogopa kesi wakati hajawahi kukosa kuhudhuria hata zile kesi wanazomzushia kila uchao.
CCM kwa nini inapagawa kwenye mambo mengi sana anayoyafanya Lissu?
Mlilaza wodi moja na Lisu huko Mirembe?hatushangai Lisu ana file lake Mirembe la uchizi itakuwa kichaa chake kimeamka
Uwezo wako wa kutafakari na kuelewa hoja za Lisu uko chini sana. Hauko tofauti na washangiliaji wewe. Maana mshangiliaji hahitaji tafakuri ya kina.Kwa hili la kutetea wezi namshangaa sana Tundu Lissu hata CCM watamshangaa tu
Mkuuanmekufatilia xana reply zako cjawahi kuona point zaidi ya ,,,,,kama wenzio wa lumumba
Mimi mwenyewe nina kadi ya chama chetu tawala ila LISU ni mashine nyingine, Kwenye ukweli tukubali.hata ccm huku kwa vijana tunamkubali lissu
Mkuu kweli nimeamini,hawa jamaa ni zero kwlUlitegemea atakua wa tofauti? Kigezo cha kuwa ccm ni kuwa na uwezo mdogo wa akili.
hahahahaha sisiemu yetu mpya, tutangoja sana, msitu mpya nyani wale wale hahahahaha.Tulia uone CCM mpya ya wazalendo inavyoogopa na kuwachukia wasaliti
Ndo maana sisi CCM wengi ni mamburura, yaani wanasiasa uchwara na wanafiki wakisema kitu tunakidaka na kukariri kama kasuku, amewatetea lini?lisu hamtishi mtu tunaamshangaa anavyotetea wezi wa madini atakuwa kahongwa lazima