Tundu Lissu anawatisha nini CCM?

blackT yaani watu wamekaririshwa kama maroboti. Lissu huyu huyu ambaye kwenye lile sakata la Agustine Lyatonga Mrema kudaiwa "mkanda wa video" ya watu wa bulyankulu kufukiwa Mashimoni alisimama pamoja na kina Nshala Lugemaliza kuwatetea wananchi. Na yeye na hao wenzake walishambuliwa sana na CCM kwamba wanatisha "wawekezaji" ambao leo hao hao CCM wanawaita wezi, Ajabu kabisa!!
 
Mungu ni mwema, wanayopanga gizani yanaonekana kabla hakujakucha. Lissu anawapasha kidogo wao wanaunguzana wenyewe
 
Uwezo wako wa kutafakari na kuelewa hoja za Lisu uko chini sana. Hauko tofauti na washangiliaji wewe. Maana mshangiliaji hahitaji tafakuri ya kina.
wewe mwenye mahabaha na Lissu haujapanua mawazo yako na kutafakari alichokisema Lissu ungekuwa na uwezo wa kutafakari ungetafakari juu ya taifa lako na sio Lissu .......Huyu huyu unayemshangilia ndio huyu huyu alikuwa namba moja kusema Lowassa ni fisadi lakin leo hii anamuona ni malaika .......Huna unachokielewa kwa Lissu zaidi ya kuwa na mahaba na atakachokisema unaona poa tu .....Fikiria Taifa lako kwanza
 
blackT yaani watu wamekaririshwa kama maroboti. Lissu huyu huyu ambaye kwenye lile sakata la Agustine Lyatonga Mrema kudaiwa "mkanda wa video" ya watu wa bulyankulu kufukiwa Mashimoni alisimama pamoja na kina Nshala Lugemaliza kuwatetea wananchi. Na yeye na hao wenzake walishambuliwa sana na CCM kwamba wanatisha "wawekezaji" ambao leo hao hao CCM wanawaita wezi, Ajabu kabisa!!
Na si kama maroboti tu, napenda kutumia neno Zombie. Kuna wakati unafikiri tunafanya makusudi.
 
wewe mwenye mahabaha na Lissu haujapanua mawazo yako na kutafakari alichokisema Lissu ungekuwa na uwezo wa kutafakari ungetafakari juu ya taifa lako na sio Lissu .......Huyu huyu unayemshangilia ndio huyu huyu alikuwa namba moja kusema Lowassa ni fisadi lakin leo hii anamuona ni malaika .......Huna unachokielewa kwa Lissu zaidi ya kuwa na mahaba na atakachokisema unaona poa tu .....Fikiria Taifa lako kwanza
Wewe leo ndio unakurupuka eti unatetea rasilimali za nchi hii, unafiki mtupu. Ninachokiona kwako ni chuki tu dhidi ya Tundu Lisu au uviziaji wa teuzi mbalimbali na si vinginevyo. Hauna hata haya kujilinganisha na Tundu Lisu katika utetezi wa rasilimali za nchi. Wasiwasi wangu ni kuwa wewe ni zao la shule za kata za miaka ya 2010s usiyejua lolote kuhusu historia ya uwekezaji katika sekta ya madini katika nchi hii. Umevalishwa shati la kijani na kofia yake chini ya U UVCCM kisha unakurupuka eti unajua kutetea maslahi ya nchi kuliko Tindu Lisu kumbe unavizia ulaji tu na si vinginevyo.
 
Wakulima in wanaweza jibu swali hili je gugu iliyo karibu na ngano nukingowa kwa pupa utangowa na ngano.tufuwate njia sahihi ya kupata haki na sii kukurupuka ,hakika tutakosea ,hiyo ndio hatutaki baadaye matasema tulijaribu,fuateni utaratibu
 
Leo tumesahau alivyojitahidi na wenzake wa upinzani huku wabunge wetu (CCM) wakipiga makofi na vigelegele kuwatetea hao hao unaowaita wazungu. Au unafanya makusudi au ulikuwa bado mtoto miaka hiyo au umejitoa network au ndo unakopatia kibaba cha kila siku.
mambo ya zamani hayatusaidiii...tunazungumzia wakati huu
 
wewe mwenye mahabaha na Lissu haujapanua mawazo yako na kutafakari alichokisema Lissu ungekuwa na uwezo wa kutafakari ungetafakari juu ya taifa lako na sio Lissu .......Huyu huyu unayemshangilia ndio huyu huyu alikuwa namba moja kusema Lowassa ni fisadi lakin leo hii anamuona ni malaika .......Huna unachokielewa kwa Lissu zaidi ya kuwa na mahaba na atakachokisema unaona poa tu .....Fikiria Taifa lako kwanza
Sasa hivi kuna Kasuku wengi sana wanaoimba 'lowasa, lowasa, lowasa', kila kukicha hadi wachinjwe
 
Wewe leo ndio unakurupuka eti unatetea rasilimali za nchi hii, unafiki mtupu. Ninachokiona kwako ni chuki tu dhidi ya Tundu Lisu au uviziaji wa teuzi mbalimbali na si vinginevyo. Hauna hata haya kujilinganisha na Tundu Lisu katika utetezi wa rasilimali za nchi. Wasiwasi wangu ni kuwa wewe ni zao la shule za kata za miaka ya 2010s usiyejua lolote kuhusu historia ya uwekezaji katika sekta ya madini katika nchi hii. Umevalishwa shati la kijani na kofia yake chini ya U UVCCM kisha unakurupuka eti unajua kutetea maslahi ya nchi kuliko Tindu Lisu kumbe unavizia ulaji tu na si vinginevyo.
Huna lolote zaidi ya kuwa na mahaba na Tundu Lissu ndio maana unaona kila anachoongea kwako ni sheria na kiko sawa
 
Hakuna anaowatisha ila Tanzania inashangazwa na Vichwa chake kilivyo Debe tupu eti Mtu anakuibia halafu unasema

Mi simwambii wala siendi Popote atanishtaki kudadeki Kama mwanangu natandika Viboko tuu
View attachment 522026
Kama hii Ndiyo tafasili yako kwa kile alichosema Lissu !!! Mungu akusimamie, maana mzigo uliobeba ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom