Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,099
- 24,338
Binti mleta mada atakuwa kwenye siku zake huyu,Okay malizia MP urudi hapa.
Sawa nimekusikia. Naheshimu maoni yako. Lakini yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi kama yalivyo ya Lissu kwa hivyo sio lazima nifuate maoni yako.This is rubbish,ni takataka in lissu's voice
Umeandika upupu,
Hizi pumba pelekea kuku aisee sisi humu humu ni binadamu
Aziweke mara ngapi wakati umejileta mwenyewe na wakuu wameona mfano?Ungeziweka mkuu
Hii hoja inaonesha moja kwa moja ni namna gani unapenda kubishia kiuno.Lkn mtu ambaye siyo native speaker hawezi kusema wengine hawajui hiyo lugha, na ndiyo maana kuna baadhi ya kazi ni lazima uwe native speaker ndiyo uipate kuna sababu kwa nini iko hivyo, isitoshe Mtu mwenye akili hawezi kusema kwamba Majaji wa Tanzania hawajui Kiingereza ili hali wamesomea Chuo alichosomea yeye, wamefanya Mitihani aliyofanya yeye na hata walifaulu zaidi klk yeye, sasa anatumia kigezo gani kama siyo Ugonjwa wa Akili ni nini?
Tundu Lisu leo hii akitaka kwenda kusoma au hata kufanya kazi kama Mwanasheria USA watamtaka afanye TOEFL, unajua ni kwa nini? TOEFL ni Test of English Language as a Foreign Language, lkn mtu aliyezaliwa Uingereza, Kanada, Australia, New Zealand hafanyi Toefl, unajua ni kwanini? Ni kwa sababu wanajua kwamba hajui Kiingereza, ni rahisi kihivyo tu!
Thanx. Your De Best of De bestWa kumwelewa Lissu ni wachache sana. Ili umwelewe fanya haya:
1. Sikiliza bila kuwa n.a. mtazamo/tafsiri hasi.
2.Zingatia hoja ya msingi anayoongelea(msisitizo wake).
3.Usikariri( panua wigo wa kufikiri).
4. Chuki weka pembeni.
Pia lugha hakuna mwenyewe,haijalishi una kiwango gani cha elimu ya darasani( ukiondoa waliobobea ktk lugha hiyo). Wengine ni jinsi unavyoitumia ndo unajenga uwezo wa kuimudu.
Nashukuru kwa ufafanuzi wako kuhusiana na maana ya research.Mada inamhusu Lissu, kumzungumzia Prof. Mhongo itakuwa nje ya mada na umbea. Tujadili hoja husika. Lazima kuwe na parameters za mjadala flani. Hatuwezi kujadili kila kitu bila mpangilio. Kwa kukujibu research ni utafiti/tafiti. Utafiti ni kulitambua tatizo flani kisha kukichunguza hicho kitu kwa kuanza kukusanya taarifa za hicho kitu, kuzichakata, na kuzipembua kisha zinakupatia majibu na/au taarifa sahihi za tatizo lako kwa njia za kisayansi. Sijui kwako research ni nini? Sasa tukijerejea hoja ya Lissu kuita tafiti ya wanasayansi ni takataka (rubish) bila kufanya tafiti yake yenye kuleta majibu tofauti na yale ya tafiti ya wenzie inababidi wenye akili timamu tujiulize hivi kweli huyu mzima? Au anatafuta umaarufu tu au haeshimu taaluma za watu au anajiona mjuaji wa kuliko wote ktk fani yeyote? Sasa wewe usie kalili tupe maana ya research.
Me nafkir upo sawa kwa maelezo ya kufafanua abt research....ila upo wrong kwa kusema mtu afanye research kuprove wrong ...wakat kisheria research ya awali ilikua na makosa!!!!Mada inamhusu Lissu, kumzungumzia Prof. Mhongo itakuwa nje ya mada na umbea. Tujadili hoja husika. Lazima kuwe na parameters za mjadala flani. Hatuwezi kujadili kila kitu bila mpangilio. Kwa kukujibu research ni utafiti/tafiti. Utafiti ni kulitambua tatizo flani kisha kukichunguza hicho kitu kwa kuanza kukusanya taarifa za hicho kitu, kuzichakata, na kuzipembua kisha zinakupatia majibu na/au taarifa sahihi za tatizo lako kwa njia za kisayansi. Sijui kwako research ni nini? Sasa tukijerejea hoja ya Lissu kuita tafiti ya wanasayansi ni takataka (rubish) bila kufanya tafiti yake yenye kuleta majibu tofauti na yale ya tafiti ya wenzie inababidi wenye akili timamu tujiulize hivi kweli huyu mzima? Au anatafuta umaarufu tu au haeshimu taaluma za watu au anajiona mjuaji wa kuliko wote ktk fani yeyote? Sasa wewe usie kalili tupe maana ya research.
Mkuu napata shida kufanya mjadalala na wewe, yeye amepinga na kuita takataka tafiti iliyofanywa na wasomi wa fani husika tena wameelezea namna walivyochukua sample na njia za kisayansi walizotumia kupata aina na viwango vya madini yaliyomo ktk udogo ule. Sasa ktk jumuiya za wasomi angalau wa shahada ya kwanza wanajua ukitaka kukataa majibu ya utafiti ule inabidi uje na wa kwako uoneshe zile takwimu zilizotolewa na utafiti ule zilikuwa sio sahihi, unaeleza matokeo ya utafiti wako na umetumia njia gani za kisayansi kupata matokeo yako yanayopingana na matokeo ya utafiti ule, au unaeleza udhaifu wa kisayansi wa njia na vifaa viliyotumika kupata majibu ya utafiti ule wa tume. Majibu ya majaribio ya kisayansi ya yaliyofanywa maabara hayapingwi kwa kuvitaja vifungu au vyombo vya kisheria vya kusimamia wawekezaji wa kimataifa kama MIGA. Sasa naomba wewe utueleze huo Utafiti aliofanya Lissu ukampa ujasiri wa kutukana watu na taaluma zao alifanya lini na alitumia njia gani kupata majibu yanayokinzana na yale ya anawaotukana kupitia kazi yao ya kisayansi.Nashukuru kwa ufafanuzi wako kuhusiana na maana ya research.
Swali: Je, wewe umefanya "research" ya kutosha kukupa uwezo wa ku-conclude kwamba Tundu Lissu hajafanyia research hicho anachokiongea?
Na kuhusu habari ya Muhongo, nina hakika ubongo wetu ni complex na una uwezo wa kufanya multi-tasking, provided files to be executed are identified appropriately. Hatuwezi kud-deal na mtu mmojahadi tumalize issue zote zinazomhusu. Sometimes inapojadiliwa issue fulani lazima tuunganishe humo watu mbalimbali wanaoguswa moja kwa moja na issue hiyo.
Unakosoa majibu ya kisayansi kwa vifungu vya sheria???? Basi ngoja nikubali hiyo sayansi yako ya sheria against laboratory results, Niambie vifungu gani vya sheria ipi vilivunjwa? Au kwa sababu Lissu kasema?Me nafkir upo sawa kwa maelezo ya kufafanua abt research....ila upo wrong kwa kusema mtu afanye research kuprove wrong ...wakat kisheria research ya awali ilikua na makosa!!!!
Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni rubbish, ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi?
Tatizo kubwa la maswala madini ni mikataba mibovu.
Waliyo ingia watangulizi wa makufuli.
Na swala la mikataba huwa linawahusu sana wanasheria.
Na tundu lissu anahaki ya kuongelea swala mchanga wa madini akiwa kama mwamasheria na rais wa wanasheria tanzania.
Siku zote simuamini Mtu yeyote anayeongea Kwa Kutumia High Convince Power ili aweze Kueleweka Mfano. Sauti Kali Yenye Jaziba, Body Gesture mfano Mikono ,macho Kichwa , Na Anapoongea Empty Words without Document Kiukweli watu kama Hao Cnaga Imani Nao Hata Kidogo.